Seneta Wa GenZ retweeted
Hela za kukabiliana na maafa ya mvua zilitoka sijui zimetumika au laah wanajua wao mitihani ikasogezwa mbele nk...leo hii ile taasisi ya watabiri inakuja na story mara El sio mvua mara ilianza since May
😅😅😅😅
Seneta Wa GenZ retweeted
CHAGUZI kuu 7 tangu 1995, LAKINI pamoja na upinzani mkali sana hasa 1995, 2000, 2010 na 2015, hatukuwa na hali hii ya sasa ya UGAIDI na UHAINI! What changed?
Kumbuka walisema zile maiti ni AI
Seneta Wa GenZ retweeted
Nilikuwa nasema mbona sioni VIDEO ZA DRONE za mlebanon akiwa kwenye KIFUMBWA😂😂😂
Watanzania mmejua kupuuzia tukio la MASHOGA aisee. Nimewakubali🤝
Video kama hizi CHAWA WANAPITA KAMA WANAAGA MAITI.😂😂😂
REPOST 200
Ndio huyu?
📍 RUKWA
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, kitakachofanyika Oktoba 14 katika Uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga. Maadhimisho hayo yataambatana na kuzimwa rasmi kwa Mwenge wa Uhuru baada ya kukimbizwa katika halmashauri 195 za Tanzania Bara na Visiwani.
Seneta Wa GenZ retweeted
Jamaa alijua akienda yeye watu watamuogopa hawatafurahia POLISI WAKIFA.😁
Unatulazimisha tupendane na POLISI waliotuulia ndugu zetu MO29 na wanaotuteka kila siku. teapawt.net/Twaha_Mwaipaya/status/…
Seneta Wa GenZ retweeted
Niffer si angemshukuru tu mzito wa jamhuri kwan kulikua na ulazima gani kusema MTAKE MSITAKE?😅
Au ni kijembe kilikua kinatumwa maali?
Seneta Wa GenZ retweeted
Replying to @Benji_Fernandes
Tuombe tuh asianze kwa kusema Asante Mama kwa kunipa urembo 😁😁😁
She is Our Misleader . Ni rahisi HARAMU.
Had a productive meeting with President @SuluhuSamia. Thanked her for championing maternal and child health in #Tanzania and across Africa. @WHO will continue to support this lifesaving effort.
We also discussed the impacts of the climate crisis and El Nino on health, as well as the importance to finalise the WHO Pandemic Agreement annex on Pathogen Access and Benefit Sharing.
They are more interested in retaining political power than in building institutions that genuinely serve their people.
Tumia Spotify ,YouTube ,TikTok.
I’ve been thinking about starting a political/advocacy podcast. 🎙️
A weekly show featuring different guests from around the world, bringing together diverse perspectives, experiences, and voices on politics, human rights, democracy, and global issues.
I’d love to hear your ideas and advice. Like. what should I call/name the podcast?
I’m open to name suggestions!
I still can’t believe that just a few years ago, you couldn’t have paid me to make a video where I had to speak. I was so uncomfortable with my stutter and constantly worried about how I sounded.
Now? You couldn’t pay me to stop making speaking videos, as I have become more comfortable with my stutter.
The dilemma: I can’t decide whether the podcast should be in English or Swahili.
If I do it in Swahili, I feel like I’d be limiting it primarily to Tanzania and Kenya. But if I do it in English, the potential audience becomes global, but the reality is that many Tanzanians aren’t fully comfortable or fluent in English.
So now I’m wondering: Should I narrow my target audience and focus on reaching Tanzanians and East Africans more deeply, or use English to give the podcast a truly global reach?
SWAHILI
Nimekuwa nikifikiria kuanzisha podcast kuhusu siasa na utetezi wa haki. 🎙️
Itakuwa kipindi cha kila wiki, kikiwa na wageni tofauti kutoka sehemu mbalimbali duniani, tukileta pamoja mitazamo, uzoefu na sauti mbalimbali kuhusu siasa, haki za binadamu, demokrasia na masuala ya kimataifa.
Ningependa kusikia mawazo na ushauri wenu. Kwa mfano, niite podcast hii jina gani?
Niko tayari kupokea mapendekezo ya majina!
Bado siamini kwamba miaka michache iliyopita, usingeweza kunilipa nifanye video ambayo nilipaswa kuzungumza. Nilikuwa najisikia vibaya sana kuhusu kigugumizi changu na nilikuwa na wasiwasi muda wote kuhusu jinsi nilivyokuwa nasikika.
Lakini sasa? Huwezi kunilipa niache kutengeneza video za kuzungumza, kwa sababu nimekuwa comfortable zaidi na kigugumizi changu na nimejifunza kukikubali.
Sasa kuna dilemma: Siwezi kuamua kama podcast iwe kwa Kiingereza au Kiswahili.
Ikiwa nitafanya kwa Kiswahili, nahisi nitakuwa nailenga zaidi Tanzania na Kenya. Lakini ikiwa nitafanya kwa Kiingereza, potential ya audience ni kubwa zaidi na inaweza kufika duniani kote. Tatizo ni kwamba ukweli ni kuwa Watanzania wengi hawako comfortable sana kuzungumza au kusikiliza maudhui marefu kwa Kiingereza.
Kwa hiyo sasa najiuliza: Je, nipunguze target audience yangu na kulenga kuwafikia Watanzania na Waafrika Mashariki kwa undani zaidi, au nitumie Kiingereza ili kuipa podcast hii nafasi ya kufikia audience ya kimataifa? 🤔🎙️




















