Sense International Tanzania (@SenseintTZ) header
Sense International Tanzania (@SenseintTZ) profile picture

Our vision is of a world in which all people with deafblindness can be equal and active members of society.

Tanzania
Joined January 2023
Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)Photo by Sense International Tanzania (@SenseintTZ)
Sense Internationa Tanzania ni shirika lisilokuwa la kiserikali ambalo linalenga kuhakikisha watu wasioona na wenye ulemavu mchanganyiko wanajumuishwa katika shughuli za maendeleo na wanakuwa sehemu ya mipango ya maendeleo bila kuachwa nyuma kutokana na changamoto ya ulemavu.
1
119
Today, we celebrate International Day of Sign Languages! Sign language is more than a means of communication, it is a bridge to learning, participation, relationships, and inclusion.
1
16
Do you know any Sign Langauge?
0%Yes
0%No
0 votes • Final results
5
Leo tunaanza maadhimisho ya Wiki ya Uziwikutoona (Deafblindness Awareness Week) – wakati muhimu wa kuongeza uelewa na kutetea haki za watu wenye uziwikutoona.
11
𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮 𝐖𝐢𝐤𝐢 𝐲𝐚 𝐔𝐜𝐡𝐞𝐜𝐡𝐞𝐦𝐮𝐳𝐢 𝐤𝐮𝐡𝐮𝐬𝐮 𝐔𝐳𝐢𝐰𝐢𝐤𝐮𝐭𝐨𝐨𝐧𝐚! 💙💚 Wiki hii tunaungana kuchochea uelewa kuhusu Uziwikutoona, kusherehekea mafanikio, na kukuza sauti za watu wenye uziwikutoona.
14
Leo tunaadhimisha 𝐒𝐢𝐤𝐮 𝐲𝐚 𝐌𝐚𝐦𝐚 kwa kuwapongeza na kuwashukuru kina mama wote kwa upendo, uvumilivu na nguvu kubwa wanazozionesha kila siku katika malezi ya watoto wao. 💜
1
7
Kwa kina mama wenye watoto wenye uziwikutoona, tunatambua mchango wenu mkubwa katika kuhakikisha watoto wanapata huduma, malezi na mazingira yanayowawezesha kufikia ndoto zao. Ninyi ni chanzo cha matumaini, faraja na maendeleo kwa watoto wenu.
1
6
Asanteni kwa kuwa sauti yao, nguvu yao na mwanga katika maisha yao. Heri ya Siku ya Mama 🌷
4
"Kwa sasa wazazi wanawaleta watoto hospitali kwa ajili ya kufanyiwa ubainishaji, ni vizuri tukaanza utaratibu wa sisi kwenda mtaani ili kuwafikia watoto wengi zaidi" Dkt. Isabella Ipopo Mganga Mfawidhi - Zahanati Mbagala Kizuiani.
12
Heri ya Sikukuu ya Wafanyakazi
8
Siku ya Karume ni fursa ya kukumbuka mchango wa Hayati Abeid Amani Karume katika kujenga jamii yenye usawa na mshikamano. Sense Tanzania tunaendelea kufanya kazi ya kuwawezesha watoto na watu wenye uziwikutoona kupata haki zao za elimu, afya, na ushiriki katika jamii.
1
18
Heri ya Pasaka kutoka Sense International 💜
5
Tunakutakia wewe na familia yako heri ya Eid el Fitir 🎉🎉
8
𝐇𝐚𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐞𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐣𝐮𝐦𝐮𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐛𝐢𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐨𝐰𝐞𝐳𝐞𝐬𝐡𝐰𝐚. 🌱📚 Katika mwendelezo wa utekelezaji wa mradi wa CADiR, maandalizi ya mafunzo kwa walimu kutoka shule 10 zinazoshirikiana kwa karibu na mradi yanaendelea kuimarishwa.
1
6
Katika picha hizi, walimu wa Shule ya Msingi Lukuledi Maalum iliyopo Masasi, Mtwara, wanashiriki majadiliano ya kina kuhusu uziwikutoona (Deafblindness), ikiwemo kuelewa viashiria vyake na namna ya kuwabaini watoto wenye hali hii shuleni..
1
5
Kupitia mradi wa CADiR, walimu wataendelea kuimarishwa kwa mafunzo na mbinu bora za ufundishaji ili kuhakikisha watoto wenye uziwikutoona wanapata fursa sawa ya kujifunza, kukua na kushiriki kikamilifu katika elimu. #ElimuJumuishi #CADiR #Deafblindness #UsawaKwenyeElimu
7
Heri ya Siku ya Wanawake Duniani #WomensDay #WomensDay2026
12
Siku ya Kimataifa ya Kiti Mwendo 🌏👩‍🦼
4
Moja ya mafanikio ya mradi wa Task Order 51 tuliokuwa tunautekeleza kwa mikoa ya Shinyanga na Mwanza ni kuwawezesha wazazi wa watoto wenye ulemavu kiuchumi kwa kuwapatia msaada wa kifedha unaowawezesha kuanzisha biashara ndogondogo ili waweze kumudu gharama za shule za watoto wao
4
Kukosekana kwa taarifa na data rasmi kuhusu uziwikutoona bado ninchangamoto kubwa. #deaf #deafblindness #inclusion
7