Pinned Tweet
𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗪𝗘 𝗟𝗜𝗡𝗔𝗛𝗔𝗠𝗜𝗔 𝗖𝗢𝗡𝗚𝗢🇨🇩
Wanachama, Mashabiki na Wapenzi wa Young Africans SC sasa tunapeleka 𝗦𝗛𝗔𝗡𝗚𝗪𝗘 la Kimataifa twende 𝗖𝗢𝗡𝗚𝗢 kwa Tsh 700,000 tu! (Full Package)
Kwa Tshs 700,000 utapata⬇️
Wasiliana : 0754 346 698
#daimambelenyumamwiko
107
🚨 Klabu ya Yanga SC iko katika mazungumzo na kocha Omar Najhi 🇲🇦 mwenye uraia pacha Mzaliwa wa Morocco pia raia wa Uingereza 💛
Omar Najhi amewahi kuifundisha klabu ya Wydad Casablanca akiwa kama kocha msaidiz na kufanikiwa kutwa ubingwa wa Klabu bingwa barani Africa CAF Champi
122
𝗪𝗔𝗢 𝗡𝗔 𝗦𝗜𝗦𝗜.
Wananchiiiiiiiiiii ubingwa huu ambao tunakwenda kuutangaza wa mara 29 lazima tumalizane na makolo kwa kuwafumua.April 16 jipange mapema Wananchi tuna jambo letu.
Tunaongoza ligi Nbc,,Tunaongoza kundi Caf confederation cup,,na tupo robo fainali Asfc
18
𝗠𝗔𝗡 𝗢𝗙 𝗧𝗛𝗘 𝗠𝗔𝗧𝗖𝗛
Mchezaji wa Tanzania Dickson job amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mchezo wa leo Kati ya Uganda na Tanzania.
#Tanzania🔵⚫🟢🇹🇿
𝗠𝗕𝗔𝗡𝗗𝗔
Dakika ya 46 Banda ameingia uwanjani.Dakika ya 60 Banda katolewa uwanjani 😂.
Ushajua nini namamisha 🙌.
11
Rais wa Young Africans SC Eng. Hersi Said amenunua tiketi 1500 kwa ajili ya mashabiki kwenda Uwanjani kuishangilia timu yetu ya Taifa, Taifa Stars itakapocheza na Uganda, siku ya Jumanne.
Hersi alinunua tiketi hizo kwenye kampeni
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko
18
𝗝𝗔𝗡𝗚𝗪𝗔𝗡𝗜 𝗟𝗘𝗢
"Tuna idadi kubwa ya wachezaji walioitwa kwenye timu zao za taifa, wachezaji ambao wapo watarudi rasmi mazoezini kesho tayari kwa maandalizi ya mchezo wetu ujao na wa mwisho kwenye hatua ya makundi
#timuyawananchi
#daimambelenyumamwiko🟢🟡
14




















