Pinned Tweet
Ukipata changamoto usiwahi kumwambia mama yako sababu yeye anaumi mara mbili yako na ukipata jambo la kheri mtu wa kwanza kumwambia ni mama yako sababu yeye ndiye atafurahia zaidi kuliko mtu yoyote.
Admin wa nida tanesco na yas huko tiktok wana mchuoano mkali wa nani zaidi admin wa nida kamjibu admin wa tanesco kuwa kitambulisho chake kimewafikia chap kama ahadi za ex wake huku tanesco anamwambia atachagua amuwashie nida umeme au amuwashie wa ngorongoro wamulike wanyama
24
Vitu nilivyofanikiwa kuvicontrol ndani ya hii miaka mitatu ni hasira pamoja na kujioverthink hasira zilikua zinanifanya mpaka nakosa haki zangu nilikua naonewa ila hasira zinafanya nionekane mimi ndio mwenye makosa kitu cha muhimu unapaswa kufanya ni kucontrol hasira zako
94
Diamond na hela zote alizonazo kweli kashindwa kununua vyombo vizuri vya kuvutia kashindwa kununua ya mahotpot classic akawawekea wageni mimi na ufukara wangu ila kiukweli kwenye upande wa vyombo vizuri navijaza ndani kwangu sasa super star mkubwa unakua na vyombo kama vile kweli
2
85
Jamaa kaenda kumfumania mke wake na jamaa kawakuta kwenye show kachomoa panga amkate mgoni wake mfumaniwaji kaliwahi kamkata mfumania panga la kichwa kafa kesi imeenda mahakamaji jamaa kaachiwa hana hatia mambo ya sheria ni magumu sana 🙌
4
244
Kwenye music wa country Kenny Rogers atabaki kuwa goat The Gambler ukiisikiliza ile asubuhi unajiandaa kwenda kazini kuna namna unashinda una vibe kubwa sana 🔥
Kuna sehemu nilikua na vijana wakasema sister ngoja tukachukue changamoto zetu salon nikasema mbona ni waisilamu wanakulaje nguruwe na nguruwe inauzwa salon? Kumbe ni wake zao ndio wanawaita changamoto 🤣🤣🤣
115
Izumacheli na bulongelo kule kuna wazee wana miaka 80 hawajawahi kuona gari ikoje na watoto wao hawajui gari inafananaje nilishangaa sana 🤣 hawajawahi kuvuka nje ya kisiwa na wanaishi kwa raha kabisa na ni sehemu kutoka Nkome mpaka huko unatumia saa sita kwenye maji 🙌
Replying to @hamis_abas
Aje huku mwanza kuna visiwa viko katikati ya victoria havijui hata serikali ni nini?
1
1
131
Hili jua la dar leo linawakia kwenye utosi hii soda ya nne mpaka kufika jioni ntakua nimekunywa soda zaidi ya saba 😔
84
Nendeni kwenye page ya huyu kaka mkajionee wenyewe namna wanaume walivyo wakatili ukiona vipigo kwenye ndoa ondoka tu jamani ndoa sio jela bora uondoke ukiwa salama kuliko kuondooa ukiwa kilema au maiti
136
Bingwa wa Uzazi na Magonjwa ya Wanawake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dkt. Nathanael Mtinangi anashauri wanandoa wanaohangaika kutafuta Watoto wasishiriki tendo la ndoa kila siku ili kumpa nafasi Mwanaume kutengeneza mbegu nyingi, zenye Ubora unaoweza kurutubisha yai.
Katika mahojiano haya yaliyofanyika kupitia Mwananchi Digital, Dkt. Mtinangi anabainisha kuwa njia hii inaweza kuongeza uwezekano kwa Mwanamke kupata Ujauzito hasa ikiwa changamoto inatoka kwa Mwanaume
Hauwezi kumbadilisha mtu mzima aliyekomaa na maisha utake kumbadilisha kwa siku moja utaishia kugombana na watu watu hubadilika pindi wanapokua tayari wao kubadilika watu hufanya vitu pindi wanapokua tayari wao kufanya hivyo vitu hawez kufanya hivyo eti kwa sababu wewe umemwambia
Cosmas Chidumule:
Kurudi nyumbani mama tunaona haya
Mikono mitupu mama tutarudi vipi
Kweli pesa pesa inaleta maneno 🎶
143
Kwa wazazi wenye watoto wapole kuja kulalamika mitandaoni sio suluhisho kuna vitu vinahitaji action huko shuleni kuna watoto wana roho mbaya na tabia mbays walizozitoa nyumbani kwao wanazileta mpaka shule kwa jambo kama hili.hakikisha unavunja siku yako unafunga safari kwenda
1
1,081
Huko huko shuleni hakikisha ukifika kule unakua mwehu yaani unakua mkali kuanzia kwa huyo mtoto unamuita unamfokea kisha unafokea walimu wote na unaondoka kwa shengesha moja matata hakikisha ukiondoka hapo nyuma unaacha historia nakuhakikisha hakuna mtu atagusa mtoto wako tena
1
86








