Tanga Fresh Limited inawatakia watanzania wote kheri ya Sikukuu ya Pasaka . Siku hii usisahau kufurahia maziwa bora kutoka #Tangafresh.
1
4
166
Hello! Usisahau kurudi na maziwa matamu yenye ladha halisi kutoka #TangaFresh
“Tusiache kunywa maziwa, tunywe maziwa salama ambayo ni yale yaliyosindikwa kwa ubora,”Kutoka Tanga Fresh Limited.
Heri ya sikukuu ya Eid Al Fitr kwa watanzania wote. #EidMubarak2025🌙
3
166
#CHIBONGE MTINDI!
Ujazo unaotosheleza Familia nzima.
1
3
247
Katika kusherekea wiki ya wanawake duniani Tanga Fresh Limited inaungana na wewe pamoja na watanzania wote kuhamasisha na kutambua mafanikio ya wanawake ktk nyanja mbali mbali za maisha
May this holy month bring you peace, prosperity, and endless blessings. #Ramadan Kareem
2
83
Ni maziwa ya #TangaFresh yatamfanya awe na faraja maishani mwake.
Anza wiki na maziwa yenye ladha halisi na utamu wa kipekee kutoka #TangaFresh wahi kwa mangi ujikamatie yako sasa.
3
460
Ukinywa mtindi wa #Tangafresh utakufanya uwe mwenye tabasamu muda wote.
1
210
Tunawatakia Heri ya maadhimisho ya miaka 59 ya mapinduzi ya Zanzibar. #SikuYaMapinduzi #Zanzibar #TangaFresh
Kitafunwa gani kitaisindikiza chai yako ya maziwa ya #TangaFresh



















