
PEACE. DOING LIFE.! #VisitKilimanjaro
Joined June 2024
- Tweets21.2K
- Following2.6K
- Followers2.9K
- Likes78.3K
TEMU JR retweeted
Tarehe 29 October 2025 Imetuondolea watu muhimu sana kwenye maisha yetu. Takukumbuka daima rafiki yangu Deo.๐ญHutawasahau ndugu zetu milele. Damu za watanganyika Elfu 10 Damu zao hazitapotea bule. Huwezi kunyosha mikono huku utekaji unaendelea. Msingi imara wa Amani ni Haki.
TEMU JR retweeted
leo ni kumbukizi ya watanzania wenzetu waliopoteza maisha October 29 ya mwaka jana 2025 hakika mtadumu milele mioyoni mwetu.๐๐
TEMU JR retweeted
Ni mwaka sasa siku kama ya lep tulipoteza ndugu jamaa. na marafiki waliokua wakipambania taifa lao .
Keep resting in peace where you are
Haki haizulumi hakika bali inacheleweshwa ni swala la muda mtafurahia huko mlipo๐๐
TEMU JR retweeted
A hidden gem of Tanzania, where nature, culture, and beauty meet โ Arusha. ๐ฟโจ
TEMU JR retweeted
Hii siku siwezi isahau kabisa. Sikuwa na silaha wala kizuizi chochote mwilini mwangu.
Ila nilitembea kila mtaa kujaribu kutoa first aid kwa waliopatwa na changamoto. Na kuwapa moyo waliokuwa wanatutoka.๐
Ilikuwa siku nzito. Wapumzike kwa Amani wote tuliowapoteza 29/10. ๐๐ฝ โ at Kenya
TEMU JR retweeted
Umepita mwaka mmoja toka nimpoteze mshkaji wangu niliesoma nae na kushare nae moments nyingi sana.
Until we meet again brother ๐๏ธ
29/10/2025
TEMU JR retweeted
DAMU ya mtu sio kama Kuku akichinjwa imeisha.
Haiwezekani watu waliuliwa kikatili hadi Leo NAFSI zao zinaelea elea tu hewani bila wahusika waliomimina Risasi kuwajibishwa,
Hizo damu lazima zitulilie tu na kututafuna daily.
Mathayo 26:52.
'Auaye kwa upanga atakufa kwa upanga'
TEMU JR retweeted
Hello, vijiko hivi unyama mwingi, afu vizito mnoo, picha inajieleza
6pcs
Tsh 15,000
0755693113
๐ Riverside, Mikoa yote tunatuma, simu moja uletewe ulipo
Good morning watu wa Mungu
Hotpot zote 3
Tsh 70,000
Kubwa inabeba kilo 3
wa.me/255755693113
๐Duka lipo Riverside, Mikoa yote tunatuma๐






































