T H O M Y ⚡ retweeted
Rasmi hizi ndio jezi mpya za Young Africans SC kwa msimu wa 2023/24. Klabu kubwa na namba moja nchi ikienda kutafuta Ubingwa wa 30 wa Ligi Kuu🔰
@Gsmgroup_ @SheriaNgowi
#KlabuYaTaifa
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
T H O M Y ⚡ retweeted
Replying to @ThomaskJulius
@ThomaskJulius uje utoe maelezo imekuaje umetoa zawadi kama kaka kwa mdogo wako 75M, huku dar tunacheza asee
T H O M Y ⚡ retweeted
Huwa nna series ya Setups zangu za GOLD (ZA KUSCALP) ambazo zinaprint kila siku (Kwa kujirudia rudia), Nna seti tofauti ila hapa nataka niwawekee SETUPS NNE (Na mifano yake), ambazo ni Common na huwa zinajirudia mara nyingi zaidi (Huwa naziita Utajiri wangu😂).
Hii ni mifano ya Bactesting. Kwa ambazo nimeforward Test zipo kwenye series ya Charts zangu ambazo nimeshaa wahi kushare na ninyi kwenye huu ukurasa wangu. Huwa nna Notebooks na Counter books zina maelezo mengi (ambayo nimeandika mara nyingi zaidi nilipokuwa nikitrade au nikiwa nabacktest), lakini hapa nitashare Summary ya Notebook yangu!
Chimbuko la Hizi setups ni kujibobeza katika kujifunza Technical, kusoma tabia za namna Gold ina react katika maeneo Tofauti (Maeneo korofi), mwenendo wa mfanano wa idadi ya Pips price inavyotembea, na tofauti ya mjongeo wa Gold kulingana na Mabadiliko ya Soko. Nimebactest sana.. Na nimetrade sana kiasi cha kunifanya niamini na Kujiamini zaidi kwenye hiki ninacho kifanya. KWENYE KILA SETUP HAPO, HAKUNA SL INAYOZIDI PIPS 25 NA HAKUNA TP INAYOPUNGUA PIPS 100.
NB: MSIJADILI KUHUSU MWANDIKO WANGU, UKISHINDWA KUSOMA JITAHIDI KUELEWA LUGHA YA PICHA (Hata hivyo sijaweka maelezo ya Kina)😁.
SETUP NAMBA 1 NA MIFANO YAKE
T H O M Y ⚡ retweeted
Our @MU_Foundation explorers have touched down in Tanzania, ready to climb Kilimanjaro 🇹🇿
Donate below 👇
#MUFC
T H O M Y ⚡ retweeted
Zamani ilikua kukuta mtu ana Kitambi basi ni millionaire au mzee
Siku hizi kijana akiwa na
Vielfukumi kumi
Winga Kariakoo
Online trader
Muuza gege
Bodaboda
Mangi
Anakitambi, Maziwa na Hips
Age ya 20s 30s 4s anatumia Mkongo
Unamwmbia acha chips, soda,wali na Ugali anafoka🥲
T H O M Y ⚡ retweeted
Happy Birthday to the GODFATHER SSB❤️Your success is our greatest achievement and inspiration. #Grandad #SSB #Bloodline
T H O M Y ⚡ retweeted
Accurate Entries:
- 02:50 - 03:10 AM
- 09:50 - 10:10 AM
- 02:50 - 03:10 PM
This will change your Trading 👁️
T H O M Y ⚡ retweeted
🚨CHIMBO..! CHIMBO..! CHIMBO..!
Trouser za kitamba kwa Tsh. 8000/= tu.
Trousers zmenyookaa🙌🏽🔥
Njoo uchague mwenyw ile kitu roho inapenda✊🏽😮💨
Contact; 068 766 3394 / +255 68 626 3181
Location; Karume Brewery.
RT na wengine waone CHIMBO🙏🏽
T H O M Y ⚡ retweeted
Let's hit Millions in USD this Decade
Been in Million Dollars Investment🇹🇿:
1. Financial Markets.
2. Technology.
T H O M Y ⚡ retweeted
Replying to @TitoMagoti
Kaka @TitoMagoti listen at this 👇🏾nadhani jamaa ana kitu kuliko hao kina new movement pastors 😁!.






























