TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_) header
TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_) profile picture

β€œHip-hop head. No cap, just context.” @dizastavina

never broke again estate
Joined March 2024
Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)Photo by TEKASHI NBA πŸ¦… (@TopBoe_)
Kuna Demu mmoja hivi alikuja Geto Jana, tulivo maliza Kufanya utaratibu Wote, Ghafla Demu akauliza kwanini unaazima Geto la Watu? Mimi kivipi ? Kwani Geto la nani?. Manzi uyo kwenye picha ukutani ni nani?. Nacheki ukutani Kumbe kaona picha ya Dizasta vina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
37
49
3
706
50,446
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Humu ndani Rapcha hajaandika tu nyimbo Kali, aandika waraka wa ufunuo Wa akili Na Imani ya kwamba Kesho itakuwa vema Zaidi ya Leo. Ile chart ya Kwanza Dreams to Reality 1 imejaa madini mengi Sana. Mwezi Huu Wa uelewa Wa Afya ya akili tuitumie hii albam kama njia ya kujifunza.
4
6
1
11
384
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
HipHop Friday Who is in? 1. Kaa la Moto- Mzizima Na Mombasa 2. Daz Nundaz - Kamanda 3. Crazy GK - Tutakukumbuka Daima mile 4. Dizasta Vina - Kifo 5. One - Kesho Yetu 6. Rose Lee- Sauti za maskini 7. Fid Q - Propaganda 8. Kaa la moto - Asali Chungu Special list #Oct29
Hiphop Friday who is in? 1. Mulla OBO - Hasnat 2. Conboi- Angelina 3. Gnako - Mama yeyo 4. Mwana FA- Asubuhi 5. Joh Makini - Kilimanjaro 6. Darassa - Nobody 7. Nikki Mbishi - Play Boy 8. Solo Thang - Miss Tanzania
1
1
1
72
Ukoo wa Mbuzi unawapa High five πŸ˜ŽπŸ‘
1
2
156
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
πŸ˜‚Hizo mbili ni za Babu bomba
1
3
13
643
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Kendrick Lamar πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ”₯
3
5
920
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Making us proud. Bring it home πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
𝑻𝑢 𝑻𝑯𝑬 𝑭𝑰𝑡𝑨𝑳! Tanzania are the first #TotalEnergiesAFCONU17 finalists. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
3
22
1,350
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
youtu.be/8DrXyU_FJeQ?si=01pM… – at Dar es Salaam, Tanzania
7
34
143
1,983
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
4
32
116
1,956
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Walipo wao ujinga upo kando yao wanashare, uwezo wangu unawaconfuse wanakuja double wanakuta nishajidouble wananywea #Dizastavina #tukusa #Hiphop
2
4
588
Walipo wao ujinga upo kando yao wanashare, uwezo wangu unawaconfuse wanakuja double wanakuta nishajidouble wananywea #Dizastavina #tukusa #Hiphop
2
4
588
Kmmk Hii TL imekuwa ya Kisenge Sana, Kwani wanangu wa Hip hop mko wapi? πŸ₯Ά
1
1
535
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Nakukaribisha Watengwa Gear Kupata chata lako Kali la Watengwa na Album ya Full Ile Baraka kwa njia yeyote rahisi kwako,iwe kwa flash, WhatsApp ama email. Chata zote za Watengwa zipo kwa Bei rafiki na zinatumwa popote pale duniani. 0714003337 Full Ile Baraka πŸ‘ŠπŸΏπŸ‘ŠπŸΏ #WatengwaWTC
2
2
111
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Bwana Edgar @dizastavina ifike muda utoke hadharani uje utuondolee utata kwenye ile ngoma ya MWANAJUA, ni nini kilikua kinaongelewa mle au nani alikua anazungumziwa mle??πŸ€”πŸ€”
26
25
7
320
14,682
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
MbuziπŸ’₯πŸ™ŒπŸΎ
πŸ™πŸ™πŸ™History is made !!! Iconic and Legendary..BEST IN AFRICA 🐐.Am Humble πŸ™
1
2
7
1,040
MbuziπŸ’₯πŸ™ŒπŸΎ
πŸ™πŸ™πŸ™History is made !!! Iconic and Legendary..BEST IN AFRICA 🐐.Am Humble πŸ™
1
2
7
1,040
Nimeacha kuchagua MBOMBO. HipHop ya Kweli ipo Green City Engineer Soma hiyo🫡🏾🫑🫑
15
32
1
186
5,706
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Leo Siku zima nilikua na " The Wonder boy mixtape" πŸ™ŒπŸΎ
Wimbo gani wa Dizasta vina umesikiliza leo? #DZSTVN
1
3
8
922
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Rapcha ~ Normally 🎢
2
6
13
248
TEKASHI NBA πŸ¦… retweeted
Bongo Nyoso alikimbia Dona Tanasha si uongo Usije huku unawezachota majanga Nitumie tu email ukinikosa kwa namba Kama ni muhimu sana tukutane border Namanga what's up
1
4
20
550