Kufanya kazi na mhindi kumenifunza kuwa calm in chaotic situations.
Wale wasenge wanapanikisha bwana🙌🏿😂
TOJI ZENIN 🦅 retweeted
GTA haihusiani kabisa na magari ya njano labda kama wewe utotoni ulikuwa busy kucheza mdako na dada zako janja
TOJI ZENIN 🦅 retweeted
Unakuwa hujui hata ureact vipi mtu akikupa zawadi kwa sababu hujazoea haya mambo.
Hii ni kesi ya wanaume wengi kama siyo wote.
TOJI ZENIN 🦅 retweeted
POV: You finally sit down after a hectic ward round. Somewhere in the hospital, someone whispers: 'Where is the doctor?' 😭ffs!!
TOJI ZENIN 🦅 retweeted
Na ujanja wangu wote sijui ata kwanini kuna muda mapenzi yananitesa, yaani sijui kwanini































