Truth WatchDog🇹🇿 retweeted
Hapa sasa ndo naelewa kwanini Waziri wa Mambo ya ndani (Katambi) alisema watakao ingia guest wote wawe na NIDA 😢
Truth WatchDog🇹🇿 retweeted
Mnao sambaza video za huyu Bint mjue kabisa mnakosea, vipi angekuwa ni Mdogo wako😢
Truth WatchDog🇹🇿 retweeted
Familia ya nyoka kwenye makazi ya Binadamu, inaogfya 😬😬.
Huyo Jamaa ni jasiri kama mimi cheki alivyo wadaka hao Nyoka 😁
Truth WatchDog🇹🇿 retweeted
Msimuone hivi Huyo Charlene Ruto, ako na 33.
Endeleeni kupima watu kwa Height 😀
Truth WatchDog🇹🇿 retweeted
Wakenya Wanasema hii ndoa ya Charlene Ruto na Isaya Yunge ni Wantam haitachukua round 😂👇














