UTT AMIS (@UTT_AMISTZ) profile picture

UTT AMIS is a fund management company that deals with establishing, launching and managing collective Investment Schemes.

57MR+9RG, Sukari House, Second
Joined May 2024
Katika Kipindi cha 12 msimu wa 4 wa UTT Live Series, tutajadili kwa kina masuala yafuatayo: -Ni mtu wa aina gani anaweza kuwekeza kwenye mifuko ya UTT AMIS? -Faida zipi mtu anazipata anapowekeza? -Hatua zipi mtu anapaswa kuchukua ili kuanza uwekezaji?
1
11
1,178
UTT AMIS ina mifuko 6 ya uwekezaji. Kila mfuko una malengo yake, vigezo vyake na faida yake kulingana na uendeshaji wa mfuko huo. Wasiliana nasi au tembelea ofisi zetu kupata elimu na ushauri juu ya mifuko hii ya uwekezaji. #UTTAMIS #investing #uwekezaji #akiba
1
7
540
Kuwa mstari wa mbele kupata habari na taarifa kwa wakati juu ya mwenendo wa uwekezaji wako na UTT AMIS kupitia mitandao yetu ya kijamii na application yetu. #UTTAMIS #Uwekezaji #MifukoYaPamoja #Taarifa #UsiachweNyuma #Updates #UkuajiWaPamoja #MutualFunds #JifunzeUwekezaji
6
371
Kipindi cha 9 msimu wa 4 Tunaenda kuzungumza jinsi ya kuchagua mfuko au mifuko bora ya kuwekeza kati ya mifuko yetu sita(6) ya uwekezaji wa pamoja. Tutakuwa live kupitia instagram kuanzia saa 5 kamili #UTTAMIS #UkuajiWaPamoja #Fedha #JifunzeUwekezaji #PersonalFinance
6
331
Katika mifuko 6 ya UTT AMIS ni mfuko gani uliona unakufaa kuwekeza? Tuambie kwenye comments na tuelezee kwanini umeona unafaaa. Pakua App yetu ya UTT AMIS pia kupitia App Store ama Google Play. #UTTAMIS #Uwekezaji #MifukoYaPamoja #Saving #Investment #PersonalFinance
14
429
Katika dunia ya kisasa, mabadiliko ya soko la uchumi na mzunguko wa fedha huchochea hali ya wasiwasi kwa watu wengi, hasa linapokuja suala la uhifadhi wa thamani ya fedha. Wasiliana nasi kupata ushauri na usaidizi zaidi wa uwekezaji kupitia mifuko ya pamoja ya UTT Amis. #UTTAMIS
9
350
Wekeza kila mwezi kupata faida ya pesa yako kupitia mifuko ya pamoja ya uwekezaji.
5
293
Kama unaanza au unafikiria kuanza uwekezaji, uliza swali kuhusu uwekezaji kwenye comments. Kwa wazoefu kwenye uwekezaji tupite kutoa ushauri na kujibu maswali. #TukueKwaPamoja #UTTAMIS #Uwekezaji #MifukoYaPamoja #Saving #Investment #PersonalFinance #Tanzania #MaswalinaMajibu
4
229
Uwekezaji wako ni akiba unayojiwekea ya maisha, UTT AMIS tunahakikisha kuwa unatunza na kukuza thamani ya pesa yako kila siku. #UTTAMIS #Uwekezaji #MifukoYaPamoja #Saving #Investment #PersonalFinance #Tanzania #MaswalinaMajibu #JifunzeUwekezaji
4
250
Taarifa ya thamani ya mifuko ya uwekezaji Tarehe 21 Mei, 2025. Taarifa hii hutolewa kila siku kupitia tovuti yetu : uttamis.co.tz
1
7
258