
ALL NEWS UPDATES For Ads 馃摬 +255625662364 / 馃摡 [email protected]
Tanzania
Joined January 2012
- Tweets41.9K
- Following241
- Followers1.3K
- Likes576
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa Mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa 28 wa Mwaka wa Tume za Uchaguzi za Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (ECF-SADC) utakaofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 23 Novemba, 2026
1
17
Makamishna, Watendaji Wakuu wa Tume za Uchaguzi za ECF-SADC na maafisa waandamizi kutoka katika Nchi wanachama.
#UhondoTVUPDATES
1
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius J. Ndejembi amesema mradi wa kimkakati wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima, Uganda hadi Chongoleani, mkoani Tanga nchini Tanzania wa EACOP (East African Crude Oil Pipeline), umefikia asilimia 86 ya utekelezaji, huku ukitarajiwa kukamilika
1
1
61
ifikapo Agosti 2026.
Waziri Ndejembi ametoa kauli hiyo leo, Juni 29, 2026, wakati akikagua utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) katika eneo la Chongoleani, mkoani Tanga.
#UhondoTVUPDATES
1
26


























