Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu) header
Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu) profile picture

Ukurasa rasmi wa ofisi ya mbunge jimbo la Ukonga.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2023
Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)Photo by Ofisi ya Jimbo la Ukonga (@UkongaYetu)
Ofisi ya Jimbo la Ukonga retweeted
Tukitafakari mateso ya Yesu Kristo, Nawatakia ljumaa Kuu njema.#GoodFriday #sikuyaijumaakuu
11
3
1
20
4,560
Ofisi ya Jimbo la Ukonga retweeted
Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Ali Hassan Mwinyi, ambaye amefariki dunia leo Alhamisi tarehe 29 Februari mwaka 2024 saa 11:30 jioni, katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena, Dar es Salaam, alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa msiba huu mkubwa kwa Taifa letu. Nchi yetu itakuwa katika kipindi cha siku saba za maombolezo, ambapo bendera zitapepea nusu mlingoti kuanzia kesho Machi 1, 2024. Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi atazikwa tarehe 2 Machi 2024 huko Unguja, kisiwani Zanzibar. Inna Lillahi wa inna ilayhi raaji'un.
1,132
1,162
131
8,790
638,000
Ofisi ya Jimbo la Ukonga retweeted
6
7
1
34
3,854
Ofisi ya Jimbo la Ukonga retweeted
Naipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la Soka Afrika (CAF), na kufanikiwa kufuzu hatua ya Robo Fainali. Mafanikio haya yameandika historia kubwa kwa klabu na sekta ya michezo nchini. Mmeleta furaha kwa mamilioni ya mashabiki wenu na Watanzania kwa ujumla.
700
697
75
6,342
284,512
Ofisi ya Jimbo la Ukonga retweeted
A legend has rested. A principled, straight forward, no nonsense and decisive leader. Life well lived, million lessons for young leaders. Pole nyingi kwa mama na familia, wanaCCM na watanzania wote. Our thoughts and prayers are with you at this sad moment. RIP EL JS
4
2
23
2,555
Ofisi ya mbunge imetembelea kata ya mzinga na kukabidhi vifaa vya ujenzi wa kivuko na pia imetembelea mradi wa ujenzi wa kituo cha polisi ya kata ya mzinga
28
Ofisi ya Jimbo la Ukonga retweeted
Namshukuru Mwenyezi Mungu leo ninapotimiza umri wa miaka 64. Nawashukuru nyote kwa salamu nyingi za kheri na upendo katika siku hii. Ahsanteni sana.
2,206
945
130
10,812
396,271
Barabara ya msongola-mbande 3.8km inaendelea kujengwa kwa kiwango cha lami na mkandarasi yupo site #kaziinaendelea
34