#Falsafa (@VanKiko1) profile picture

Philosopher//Philosophical Quotes//Positivity Cure//Music馃幎 is my Passion.

馃實
Joined November 2019
Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)Photo by #Falsafa (@VanKiko1)
Tuseme Amina馃檹.
8
15
1
85
Siyo "in the end" ni kwamba wanaingiaga tayali wakiwa ni upinde modeling/fashioo huwa wanaitumia kama kichaka tu, real nigga hawezi fanya mishe za so called modeling.
Kwanini baadhi ya jinsi Me wanaoingiaga kwenye modeling industry na fashioo huwa wanakua Upinde in the end, shida nini hapo?
22
Katika mpira wa Tz kuna Oruma Vs Young Africans Sc, same thing to Tz music Industry kuna Wakazi Vs Diamond Plutnumz no matter how馃槀馃槀馃槀馃檶
Naelewa sana Frustration ya Clement Mzize Imagine wewe ni miongoni mwa wafungaji bora wa Ligi unatolewa zimebaki Dakika 25 then inaingia Ikangalombo. Kufanyiwa Substitution ni Kitu cha Kawaida sana Kwenye Mpira.Anaingia nani? Hapa ndo shida inaponzia .
70
Andiko langu ni kanusho la chapisho lako, kwani hakuna kitu kama hicho kimewahi kutokea katika derby yoyote kwa kuanzia na derby ya mwisho kurudi nyuma kama ulikua haujui chukua hii ila kama umekusudia kupotosha it's OK.
37
Ni muda wa hii club kusimama kwenye misingi ya football na iachane na masuala ya #utaniwajadi kwani wenzao kuanzia viongozi wao yote wanayoyafanya hadharani na sirini hayaakisi utani wa jadi, na mwisho yanga ndiyo inaonekana ni club ya hovyo kimatendo kisa utani.
1
58
Nadhani sasa mtakuwa mmeelewa,tusipende kutafuta excuse kwa vitu ambavyo havina afya katika soka letu,hakuna timu itashinda mechi zote muda wote,kuna wakati utashinda,utapata sare na utapoteza pia ndio football...
53
33
5
450
36,460
Usijihisi mkosefu kwa kuweka mipaka inayolinda amani yako鉁嶏笍
29
Jasus wetu Wananchi hana baya馃槀馃槀馃槀
24
We Dada nafasi inapambaniwa kwa mwenye kuihitaji nafasi haijadiliwi, kuijadili nafasi ni udhaifu.
Tunatakiwa kuibua mjadala kuhusu nafasi za wanawake katika ngazi za juu kwenye vyama vya siasa. Wengi wanauliza mbona wanawake wachache, me nauliza Je, nafasi ni za kugombea au teuzi?, Je, tatizo ni mfumo dume?, Wanawake wenye sifa hamna na hawagombei? Tujue tunaanzia wapi.
1
44
Kwahiyo tunakubaliana kuwa Shilole ni mkubwa kwa Alikiba kwa vigezo vyako siyo? Ebu shughulisha akili ndugu mchambuzi usiogope field.
Tukiamua kufanya mjadala wa timu yenye Mashabiki wengi kati ya Simba ama Yanga, tutumie vigezo vya haraka kama: 1- Wafuasi mitandao ya Kijamii, Instagram, Twitter, Facebook, WhatsApp, Youtube. 2- Mahudhurio uwanjani, nani huwa anaweka full house za kutosha. 3- Banda Umiza, hapa Wamiliki wanaweza kutusaidia mechi ya timu ipi inajaza sana. Kwa haraka haraka nani ana Mashabiki wengi kwa vigezo hivi.
48
馃槀馃槀馃槀
20
Kama unaishi kwa ndugu acha kujilinganisha na wazawa wa familia hata kama wao wanakuweka katika daraja sawa kwani kiuhalisia hamko sawa na hamuwezi kuwa sawa, kwa kufanya hivyo itakupa furaha na amani ya moyo wako鉁嶏笍
1
42
Jitu linalalamika kuondolewa kwa Gamond as if alimjua kabla hajaletwa! Kwamba viongozi waliomleta ni wajinga kiasi kwamba wavunje mkataba kwa sababu ya matokeo ya uwanjani kitu ambacho kitakwimu takwimu zote zinambeba, kama hauna taarifa za kutosha relax馃敯
30
Do you remember when you joined X? I do! #MyXAnniversary
12
Hapa Zuchu kaonesha ukubwa kuliko mkubwa mwenyewe! Msanii mkubwa unajaa upepo kisa maoni na mitazamo ya mashabiki ni utoto!.
Zuhura Othman (Zuchu) Amekemea vikali yeye kufananishwa na Lady Jaydee.. Hii ni baada ya Post niliyoipost leo asubuhi kuelezea kwa nini Zuchu ni Mwandishi mzuri.. Angalia mwenyewe alichosema, na post husika Screeshots kwa Comments馃憞
1
4
1,004
Legend wenu naye amegundua hii agenda ni tobo馃檶
37
Jux yuko serious sana na suala la V, kaamua kufanya comeback kwa Rotimi馃槀馃檶
1
1
3
342
Ni kwa sababu dunia ya mtoto inazunguka kwenye kula,kucheza na kulala(hapa appetite lazima coz kichwa kiko free) ukiwa mtu mzima kwa maana ya majukumu kula kwenyewe tayali ni jukumu!
Hivi ile appetite na msosi tulikua nayo utotoni uwa inaenda wapi?
34