Japhari L. Kibona (@Visualizedboy) header
Japhari L. Kibona (@Visualizedboy) profile picture

*The talented ones are the Blessed ones* 📌Graduated at UDOM (2017-2020) 📌BedADMAN 📌SIMBA SC, MAN UTD&R. MADRID FAN Am here to hang around with sociable ones

Anywhere
Joined March 2018
Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)Photo by Japhari L. Kibona (@Visualizedboy)
Japhari L. Kibona retweeted
ALL MY DEEDS LIKE FILTHY RAGS
2
9
647
6,606
Japhari L. Kibona retweeted
Huyu jamaa amenitoa MACHOZI. Katumia lugha nyepesi sana kuelewesha watu. Usipomuelewa huyu jamaa basi. REPOST 200
38
680
4
2,860
89,534
Japhari L. Kibona retweeted
Wewe na Winga wako kuipata hii tofauti na The Mandevu Store labla muende China.😁
8
26
158
6,106
Japhari L. Kibona retweeted
Waliouliza hiki kitabu na kile Cha Amor Fati.
4
7
434
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
157
431
41
1,838
84,400
Japhari L. Kibona retweeted
Change is very hard, but it is necessary.
25
354
15
1,650
115,920
Japhari L. Kibona retweeted
A midfield maestro at work ✨
132
3,005
111
30,558
1,056,868
Japhari L. Kibona retweeted
Achebe! Oh Achebe!!
What's your favorite Achebe quote? Why?
82
2,647
87
9,051
238,024
Japhari L. Kibona retweeted
Nondo kali sana,..💯.
17
120
3
723
25,770
Japhari L. Kibona retweeted
Kila Nikijiskia Nimechanganyikiwa, Kukata Tamaa Huwa naskiliza Speech ya Denzel Washington "Fall Forward" Ile inaweza kukufufua niamini mimi
1
18
65
1,873
Ndoa si kwa ajili ya watu wanaopendana tu, bali ni kwa ajili ya watu wanaojua kusamehe, kuwasiliana, kujitoa, kuvumiliana, kuhudumiana, kujenga pamoja na kulindana. Mapenzi huwaleta pamoja, lakini tabia na matendo ndiyo yanayodumisha ndoa.
6
18
123
5,181
Japhari L. Kibona retweeted
Huo ndio Ukweli. 😎
2
85
421
3,517
Mimi nafikiri umri wa kustaafu unapaswa kuwahusu wanasiasa pia. Maana duu, kuna wakati ni muhimu kujua lini muda wako umeisha na kutoa nafasi kwa wengine.
2
4
1
60
3,518
Japhari L. Kibona retweeted
😅
5
48
2
280
11,046
ukiitwa “kaya masikini” lazima ukimbize watu na mwiko. hilo jina linatisha kweli jamani 😆
13
68
7
564
32,962
Japhari L. Kibona retweeted
Mitandao ya kijamii imefanya baadhi ya wanawake kuwa malaya wa bei rahisi mno!
6
18
1
79
3,359
Japhari L. Kibona retweeted
Life will test you. It will disappoint you. It will break your heart. It will make you question yourself. But remember this: You have survived every bad day you thought would destroy you. So keep going. Your story isn’t over. Your breakthrough may be closer than you think. Don’t give up now. ❤️‍🔥
1
6
18
531
Japhari L. Kibona retweeted
Mafanikio hayana ratiba moja kwa kila mtu. Usijilinganishe na wengine wala kukata tamaa kwa sababu hujaona matokeo ya juhudi zako. Jenga nidhamu, vumilia, weka akiba, ongeza maarifa na endelea kufanya kazi kwa malengo yako.
5
30
928
Ni kweli umepitia Changamoto nyingi katika maisha mpaka kufanikiwa ila usitumie Changamoto zilezile kuwapitisha wengine watakao kuomba msaada wako
8
49
1
259
7,324
Japhari L. Kibona retweeted
Huwapa nguvu waliolegea na huongeza nguvu za wadhaifu. Hata vijana huchoka na kulegea, nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka… …bali wale wamtumainio BWANA atafanya upya nguvu zao. Watapaa juu kwa mabawa kama tai; watapiga mbio wala hawatachoka, watatembea kwa miguu wala hawatazimia. Isaya 40:29-31 🙏🏽
7
13
485