WaterAid Tanzania (@WaterAidTZ) header
WaterAid Tanzania (@WaterAidTZ) profile picture

WaterAid is a charity organisation dedicated to transforming the lives of the world's poorest people by improving access to safe water, sanitation and hygiene.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2015
WaterAid Tanzania retweeted
This #WorldHandHygieneDay we celebrate the humble power of clean water and soap to save lives! Yet, almost 2 billion people in the world - 1 in 4 - lack soap and/or water to wash their hands at home, if they have a place at all.
1
3
3
194
WaterAid Tanzania retweeted
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia akipokea Tuzo ya Kinara wa Maji Afrika (The PANAFRICAN Water, Sanitation and Hygiene Champion Award) kutoka kwa Taasisi ya @WaterAidUK ya nchini Uingereza wakati wa hafla ya Kilele cha Wiki ya Maji na Uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji 2002, Toleo la 2025 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City tarehe 22 Machi 2025, Dar es Salaam. – at Dar es Salaam, Tanzania
1
2
74
While another 180 women in Arusha will benefit from 2 pay-per-use WASH facilities through our partnership with @WaterAidTZ. Read more about this project here: loom.ly/YIaJAeU (2/3)
1
2
3
66
Replying to @WaterAidTZ
@WaterAidTZ Launches New WASH Project in Dar es Salaam! WaterAid Tanzania has kicked off a new project to strengthen Water, Sanitation, and Hygiene (WASH) services in communities and healthcare facilities across Dar es Salaam. 💧🏥🧴 #WaterAidTanzania #EastAfrica #WASHinHCF
2
1
3
268
Hosted by @onehealth_tz in collaboration with @WaterAidTZ and #TamaTanzania, the ongoing 2-day Parliamentarians Alliance for Antimicrobial Resistance (AMR), Training and Capacity Building workshop -
1
8
12
413
Our WaterAid East Africa Senior Management teams have just concluded a regional management team meeting in Tanzania 🇹🇿 this week. The meeting was a platform to look at progress of our work and plans and how we continue fostering collaboration across country programs. #Teams
4
10
261
Let's hear your stories! How has access to clean water impacted your life? Share with us in the comments. #StorySharing #WASHImpact Tunataka kusikia hadithi zako! Upatikanaji wa maji safi umesaidia vipi maisha yako? Shiriki nasi kwenye maoni. #ShirikiHadithi #AthariChanyaZaWASH
1
2
94
WaterAid Tanzania retweeted
CDC joined WaterAid’s launch of its National Influencing Plan strategy for WASH in healthcare facilities. Access to clean and safe water, decent sanitation, and improved hygiene are essential for saving lives and reducing illness.
2
10
30
1,023
Globally, half a billion girls and women face obstacles in managing their periods. The lack of sanitary products and toilets forces many to stay home from work and school during their periods, resulting in a loss for the entire community. #MHDay2024 #PeriodFriendlyWorld
5
6
345
⁠At Henci Bangabandhu School in Bangladesh, @wateraid has built new toilet facilities, making it easier for girls to attend school even during their periods. "The new toilets mean we no longer have to stay home from school," explains Sadija, 14, a student at the school. ⁠
4
6
837
As we actively engage in MHM Day we have to agree with the truth that Menstrual Health and Hygiene Awareness in rural, urban and humanitarian settings is key in bringing impactful MHM initiatives in Africa. @WeWorldGlobal @AFRIpads @EndWaterPoverty @WaterAidTZ @Lunapads_
1
95
WaterAid Tanzania retweeted
Menstrual hygiene is not a gender-neutral issue. We must work together to address it. #PeriodFriendlyWorld #MHDay2024 #WaterAidUganda
9
10
472
TUWEKE MAZINGIRA RAFIKI YA HEDHI SALAMA KWA USTAWI WA JAMII YETU Na WAF, Dodoma Waziri wa Afya, Mhe. @ummymwalimu ameitaka jamii na wadau kuweka mazingira rafiki kwenye suala la hedhi salama ili mwanamke aweze kutimiza majukumu yake bila kikwazo. Waziri Ummy ametoa wito huo leo Mei 22, 2024 Jijini Dodoma wakati akitoa Tamko kwa Umma kuhusu Maadhimisho ya Wiki ya Hedhi Salama na uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Hedhi Salama. "Bila Hedhi salama hakuna ustawi, kwanini tuone kinyaaa kuzungumza masuala ya hedhi salama? amehoji Waziri Ummynna kusema, Suala la hedhi salama hatuwezi kulikwepa ni sehemu ya kuendeleza kizazi katika jamii na taifa kwa ujumla," amesisitiza Waziri Ummy. Amesema inaposemwa hedhi salama maana yake mhusika anapata elimu bila kikwazo, huduma katika mazingira ya vyoo, uwepo wa usiri, uwepo maji, vifaa salama na utupaji salama wa vifaa vilivyo tumika. Waziri Ummy amesema kila mwezi wanawake bilioni 1.9 wanakuwa katika kipindi cha hedhi kati ya watu bilioni 7 duniani, ambayo ni asilimia 26 wengi wakiwa ni wenye miaka 15-49. Aidha Tanzania kwa mujibu wa takwimu za watu na makazi zilizotolewa mwaka 2022 na NBS Wanawake Milioni 14.9 wanachangamoto ya hedging salama hususan ni wale walio na umri wa miaka 15-49. "Idadi hii ni kubwa hatuwezi kudharau mahitaji yao, hatuwezi kukaa kimya huu ni wajibu wetu kupata hedhi salama kuanzia ngazi ya kaya, Taasisi mpaka jamii," ameeleza Waziri Ummy. Hata hivyo ameweka wazi kuwa hedhi isiyosalama inaathari kubwa kwa jamii ikiwemo kupata katika njia ya mkojo (UTI). Waziri Ummy amesema Taasisi ya Utafiti ya Magonjwa ya Binadamu (NIMR) ilifanya utafiti ambapo asilimia 17 ya wasichana walishindwa kuhudhuria masomo kutokana na maumivu ya tumbo, kuogopa fedheha endapo wangechafuka na kukosa vifaa salama. "Ni matumaini yangu leo tunapozindua maadhimisho ya Hedhi salama itakuwa ni chachu kuwekeza kwenye miundombinu na vifaa ili kuwafanya kuhudhuria mashuleni," amesema Waziri Ummy. Amesema kuna mitazamo hasi ndani jamii hali inayochangia kumnyima mwanamke kuchangia shughuli za maendeleo. "Ukweli ni kwamba hatuwezi kumaliza kwa siku Moja, serikali kupitia Wizara ya Afya itaendelea kuwekeza na kutekeleza afua mahususi ili kuhamasisha kuondoa tabia zinazo leta unyanyapaa kuanzia ngazi ya kaya kwakutumia Mwongozo iliyo uandaa. Kila ifikapo Mei 28 ya kila mwaka Tanzania inaungana na Nchi zingine Dunia kuadhimisha siku ya Hedhi salama Duniani ambapo kwa mwaka 2024 maadhimisho hayo yatafanyika mkoani Arusha kuanzia Mei 22,2024 shabaha likiwa ni kuhabarisha na kuvunja ukimya kuhusu masuala ya hedhi salama katika kuendeleza kizazi. Mwisho.
3
11
1
25
3,863
Together, we CAN solve the water crisis:
2
4
164
WaterAid Tanzania retweeted
This week the #ClimateAdaptationResilience team met in Arusha. The meeting involved discussion of practice-informed research questions around behaviour change in climate and water that have been co-developed within the team over the past year.
1
3
5
635
WaterAid Tanzania retweeted
CLARE-BASIN team finally came together in Arusha to discuss practice-informed research questions around behavioural change in climate and water security @GRI_LSE @ShahidiWaMaji @WaterAidTZ @wisefuturestz @FCDOResearch @IDRC_CRDI @water_witness @WaterAidCanada @NM_AIST @KulimaIDS
2
3
106
WaterAid Tanzania retweeted
I'm thrilled to be headed back to the #continent later this week and next! #Tanzania with @WaterAidSverige and @WaterAidTZ and my friends at the Operakällaren Foundation. @fairobserverusa #storiestravel #podcasts #columnwriting #stories #AfricaIsBeautiful
1
192
WaterAid Tanzania retweeted
Shule za Primari Kata za Kahororo, Kibeta, Rwamishenye; Shule za Sekondari Kata za Kagondo, Nyanga; na Vituo vya Afya Kata za Nyanga, Ijuganyondo hazina maji, hivyo nimeiuliza Wizara ya Maji @maji_mowi ni lini Taasisi hizi zilizopo #Bukoba zitaunganishwa na maji safi na salama?
9
10
19
1,722