William's Daughter ⚘️ retweeted
Ukomavu wa akili ni pamoja na kuelewa kwamba mtu anaweza kuwa tofauti na wewe bila kuwa adui yako..
William's Daughter ⚘️ retweeted
Nalala ila msioe wanawake wa kijita,kinyamwezi na yeyote kutoka kisiwa cha Ukerewe..
William's Daughter ⚘️ retweeted
Hongera sana sister kwa kuongeza mwaka mwengine tena wewe ishi mika 10000000 kama namba ya vocha huna baya
Happy brithday @humbleQueen02
🌯🍕🧅👑
William's Daughter ⚘️ retweeted
Naomba Repost🙏
#VIATU BORA🔥🛍️
✅Size 39/40/41/42/43/44/45/46
✅Bei 65,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo
William's Daughter ⚘️ retweeted
Maombolezo 3
22 Ni huruma za Bwana kwamba hatuangamii, Kwa kuwa rehema zake hazikomi.
GOOD MORNING
William's Daughter ⚘️ retweeted
"Anza na ulicho nacho, hapo ulipo. Mungu atafungua njia" Kumekucha Tena Wandugu🙏
Good Morning X
William's Daughter ⚘️ retweeted
“Ninawaambia hili ndugu zangu: Miili yetu na nyama na damu haiwezi kuwa na nafasi katika ufalme wa Mungu. Kitu kitakachoharibika hakiwezi kuwa na sehemu katika kitu kisichoharibika kamwe. ”
1 Wakorintho 15:50 TKU
William's Daughter ⚘️ retweeted
Nov 25th
37 days until January 1st _027
Expect big things, think big. You can make it happen.....
William's Daughter ⚘️ retweeted
Watumiaji wenzangu wa NMB vip huduma zimerejea?
Au tutalala njaa leo😃😀
William's Daughter ⚘️ retweeted
JI PRINTING SOLUTIONS ✨🔥
• Embroidery
• Uniforms
• Safari Gears
• Signage
• Promotional Items
•Corporate Branding
• Large Format Printing
•DTF Printing
📍 Ungalimited, Arusha
☎️0685294460
William's Daughter ⚘️ retweeted
May we focus more on our blessings than our problems.
Yes Lord Jesus!🙏🏾🙌🏾
William's Daughter ⚘️ retweeted
Hello Dears♥️ Kila tarajio ulilonalo ndani yako linahitaji Imani isiyo koma bidii isiyo koma nidhamu isiyo ya kuigiza na utu matokeo huwa hayaji ghafla tokeo moja kubwa lenye picha halisi sawa na matarajio yako ni mkusanyiko wa vitu vidogo vidogo unavyo vifanya kila siku💪



























