
Fueling Women for Climate Action in Tanzania |Grassroot Engagement |Green Communities🌱|#mwanamkethabiti Hub ♻️ Empower Women, Save The Earth!
Tanga, Tanzania
Joined March 2023
- Tweets208
- Following211
- Followers75
- Likes296
Women in Climate Tanzania retweeted
MWANADIPLOMASIA kijana kutoka Tanzania, Sylviabay Kijangwa amechaguliwa kuwa mjumbe wa WiseYouth, chini ya Baraza la Wazee Afrika lililopo chini ya Baraza la Amani na Usalama la Umoja wa Afrika akiiwakilisha Kanda ya Afrika Mashariki.
Mtanzania huyo ambaye pia ni mwanaharakati wa mabadiliko ya tabianchi atachangia katika kuzuia migogoro, upatanishi, na kushirikisha vijana katika juhudi za kujenga amani barani Afrika.
Uteuzi huo unathibitisha nafasi yake muhimu kama mwanadiplomasia kijana mwenye uzoefu katika masuala ya kijinsia, mabadiliko ya tabianchi, migogoro na usalama, na kumuweka mstari wa mbele katika kukuza uongozi wa vijana na amani endelevu barani Afrika.
Soma zaidi: habarileo.co.tz
#HabariLeoUpdates
Women in Climate Tanzania retweeted
Kwenye 10 za Je, Wajua ya #ElimikaWikiendi tutakuwa na @WomenInClimate_ jiandae kufahamu zaidi kuhusu COP29.
Women in Climate Tanzania retweeted
Kuwawezesha wanawake na wasichana katika uongozi ni muhimu kwa sera shirikishi zinazozingatia jinsia, hasa masuala ya mazingira na mabadiliko ya tabianchi. Huku uchaguzi ukikaribia, uongozi wao unaweza kuleta suluhisho la usawa kuanzia ngazi ya jamii hadi kitaifa.
#womeninclimate
Women in Climate Tanzania retweeted
A speech summary of H.E Vice President of Tanzania Dr. Philip Mpango at #COP29 in Baku, Azerbaijan.
1/2
Women in Climate Tanzania retweeted
What are the most pressing climate-security issues in your region?
How has climate change affected peace and security in your community?
What role can youth play in preventing or mitigating climate-related conflicts?
Women in Climate Tanzania retweeted
Kinara wetu wa #WomenCrushWednesday wiki hii ni Prof. Anna Tibaijuka. Alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa UN na Mkurugenzi Mtendaji wa UN-HABITAT, alikuwa mwanamke wa pili mwenye cheo cha juu zaidi kutoka Afrika katika Umoja wa Mataifa.
#womeninclimatetanzania #mwanamkethabiti #wcw
Women in Climate Tanzania retweeted
On this World Environment Day 2024, we commemorate the essential contributions of women and girls in land restoration, combating desertification, and building resilience against drought for a sustainable future.
@WomenInClimate_ #WorldEnvironmentDay
Women in Climate Tanzania retweeted
🌍🌿 Happy World Environment Day! 🌿🌍
Time to act for a greener, cleaner planet! 🌱✨
Every action counts. Let’s protect and cherish our Earth! 🌟 #WorldEnvironmentDay #EcoFriendly #Sustainability #GreenLiving #ourlandourfuture #Generationrestoration #crdi
Women in Climate Tanzania retweeted
💧 Green hydrogen offers a sustainable energy solution with significant potential to combat climate change. 🌱🌿🔆 #GreenHydrogen #ClimateAction #Resilience #Adaptability #RegenerativeAgriculture #crditanzania
Women in Climate Tanzania retweeted
🌱 Celebrating International Compost Week! ♻️ Let's harness the power of composting not just for waste reduction, but also for building climate resilience. Let's compost for a greener, more resilient future! 🌿💧 #CompostWeek #ClimateResilience
Women in Climate Tanzania retweeted
Yesterday, as part of the @GP_Tanzania Tanzania, we had the chance to participate in a meeting with youth representatives from GP Zambia. It was an enriching experience as we interacted with Naomi and Chanila, learning from them on how to effectively strategize social movements.
Women in Climate Tanzania retweeted
Mabadiliko ya Tabianchi ni mabadiliko ya muda mrefu ya halijoto na mifumo ya hali ya hewa duniani. Mabadiliko haya yanaweza kuchochewa na vyanzo viwili;
1.Sababu za asili
2. Shughuli za binadamu
@WomenInClimate_
#ElimikaWikiendi
Women in Climate Tanzania retweeted
Tangu miaka ya 1800 (Mapinduzi ya Viwanda), shughuli za binadamu zimekuwa kichocheo kikuu cha mabadiliko ya tabianchi, hasa kutokana na uchomaji wa nishati ya mafuta (makaa ya mawe, mafuta na gesi), ambayo hutoa gesi zinazozuia joto kutoka nje ya anga la dunia
#ElimikaWikiendi
Women in Climate Tanzania retweeted
Gesi Joto ndiyo CHANZO cha Mabadiliko ya Tabianchi.
Gesi joto hizi huzalishwa na shughuli za Binadamu: Mfano; Viwanda, Matumizi ya magari, uzalishaji wa umeme n.k
#ElimikaWikiendi
@WomenInClimate_
Women in Climate Tanzania retweeted
Utafiti wa kisayansi unaonesha kwamba Uzalishaji wa gesi joto (kama Co2, N2O, Methane n.k) unapoifunika dunia (Katika Tabaka la Ozoni) huzuia joto jingi zaidi kubaki katika uso wa dunia, joto ambalo lingeweza kuondoka baada ya kuakisiwa na uso wa dunia.
#ElimikaWikiendi
Women in Climate Tanzania retweeted
Dunia sasa inaongezeka joto kwa kasi zaidi kuliko wakati wowote katika historia iliyorekodiwa.
#ElimikaWikiendi
@WomenInClimate_
Women in Climate Tanzania retweeted
Kiwango cha joto duniani kimeongezeka kwa wastani wa 0.11° Fahrenheit (0.06° Selsiasi) kwa muongo mmoja tangu 1850, au takriban 2° F kwa jumla. Kiwango cha ongezeko la joto tangu 1982 ni zaidi ya mara tatu haraka zaidi: 0.36° F (0.20° C) kwa muongo mmoja.
#ElimikaWikiendi
Women in Climate Tanzania retweeted
4. Kuongezeka kima cha bahari ( inayopelekea kupotea/kulika kwa visiwa na madhara mengine yatokanayo na hili)
5.Mlipuko ya Magonjwa ( Mfano: Malaria n.k)
Na Madhara mengine mengi zaidi
#ElimikaWikiendi
Women in Climate Tanzania retweeted
Athari ya Mabadiliko ya Tabianchi
1.Ongezeko la joto duniani
2.Mabadiliko ya misimu ya mvua ( Mvua kubwa au Mvua kidogo, Kukosa mvua kabisa)
3.Ukame na Mafuriko (Unaopelekea Njaa, Vifo)
Endelea kwenye comment⬇️
#ElimikaWikiendi


























