Pinned Tweet
Don't You Worry, Keep grinding.
2026 is going to be a Breakthrough Year and Dreams will become reality.
#BilaKuchoka
745
Sitawahi poteza muda wangu Kubishana na yoyote.
ᚔ Iwe Online au offline.
MUNGU hajanipa nafasi ya kuwa hai Leo ili niitumie kubishana au kulazimisha Kukubalika popote au na yoyote.
Kuishi ni Kuonyesha Upendo na Kuacha Alama Nzuri popote Unapokanyaga.
#LetLoveLead
#BilaKuchoka
72
Kuna namna najikuta nahofia sana kujibu sms zenye Mada za Mapenzi sana au ngono sana na uzinzi.
Naona kama zinaweza kuja kuniharibia brand huko mbeleni.
Sijui kivipi, ila najiona nikiwa a very big brand miaka ya mbele.
Eeh MUNGU nipe nguvu, afya, uhai na Niinue Kiuchumi na Kazi.
44
TIME TO FOCUS ON MYSELF ... I WILL COME BACK WITH VERIFIED RESULTS AND MEDALS.
#BilaKuchoka
24
Ukitaka kuwa mkubwa na Kuwa influential inabidi kuacha kufuata huu MKUMBO wa kuandika maudhui ya Ngono, Kucheat na Udaku Udaku.
Tafuta Niche moja unayoijua vizuri alafu Kila Ukipost Weka Thread Rahisi Kuelewa na yenye Kuleta Thamani kwa Watu.
Acha Kuwa a Reply Guy
KUWA MBOMBEZI
42
Kujitumikisha na kujitesa kwajili ya Maisha bora na uhuru wa kifedha baada ya miaka michache mbele ndo kitu vijana hawawezi.
Ndo mana wanaona kuajiriwa ni kutoboa maisha.
Kumbe ni Kuchagua Kutumikishwa na kuendeshwa huku ukihakikishiwa Malipo ya kiasi kile kile kwa miaka mingi.
39

