
Vector Biologist specializing in Mosquito-Borne Disease ||@SimbaSCTanzania
unknown
Joined December 2010
- Tweets6.3K
- Following2K
- Followers1.1K
- Likes9.7K
Yeromin retweeted
VectorGrid-Africa receives US$1.5 million for mosquito-borne disease surveillance ihi.or.tz/en/our-events/1328…
Yeromin retweeted
Kwanza hiki kizazi chetu, hakuna anayejali kuhusu chama, tunaangalia kesho yetu na kizazi chetu cha baadae, hatupo tayari makaburi yetu kuja kupigwa viboko kwasababu ya hofu ya kutosema ukweli,
Najua huenda mheshimwa Rais hajui yanayoendelea huku chini, na Ndio maana tunataka kuandamana kupeleka keep zetu kwake kwasababu hatuna wa kutusemea,
Tanzania ukisema ufwate protocol utachelewa sana
Sihamasishi Vurugu ila pia sipo tayari kunyenyeswa kwenye Ardhi ya mama yangu
Yeromin retweeted
Tundu Lissu is a hell of a case study. Happy & resolute amidst turbulent times. M/Mungu amjalie umri aone matokeo ya kazi yake. Na mateso aliyopitia akiitafuta Tanzania bora.
Free Tundu Lissu Now.
Yeromin retweeted
Dar wananchi wanalalamika hakuna maji, mambo ni magumu. Umeona hao waliojipa uongozi na uheshimiwa wanalalamika kukosa maji?? Miaka 64 ya uhuru ahadi zimekuwa hizohizo na bado mwananchi analalamikia maji. Aibu, they simply don't care about us
Yeromin retweeted
Replying to @swahilitimes
Imagine mpka leo hii waliomshambulia mpaka mda huu hawajurikani kina nani ila kasikia kikauli kama kile ndo wamekiona kina maana kuliko wale waliotaka kumtoa uhai let's goo pambzk liko karibu
Yeromin retweeted
Yani kuna team kabisa ilikaa chini serious na ikaandaa hayo anayoongea kuwa ndio yenyewe na yako sahihi?? Na wakasoma wakona yes huu unyama kabisa, nenda msemaji kaseme? 😂
Yeromin retweeted
CNN investigation forces Tanzanian government to do its first press briefing since the disputed election - after 25 days and unknown number of deaths
Yeromin retweeted
Pumzika kwa amani mama. Umeuwawa kikatili sana. Wewe na mtoto wako tumboni. Mungu amfariji mume wako na watoto wawili uliowaacha. Mioyo yetu inavuja damu💔😭😭
Yeromin retweeted
Kwahiyo hii SIO tume ya kuchunguza mauji, ukatili na ukiukwaji mkubwa wa haki? Hizi hadidu za rejea wanazopewa sijazielewa.
Yeromin retweeted
Simply lovely!!! Come on @ManUtd! What a match 💪🏼
Yeromin retweeted
BRT - MRADi wa MWENDOKASI DSM? Kulikoni kugeuka Kero kubwa badala ya ukombozi? Tutambue Usafiri wa umma si biashara ya faida. Ni huduma.
Ulaya serikali hutoa ruzuku. Asia waendeshaji makini ufidia kwa umiliki majengo karibu na vituo.
Ukiuacha ujifadhili wenyewe → ati sijui kuna mwekezaji ni vigumu kufanikiwa. Tuutafakari upya. Misingi yake inajulikana ili mradi izingatiwe.
Yeromin retweeted
I listened to Mh. Polepole live on Instagram today. On the same day, while someone was trying to hack his account, I received a text message that an attempt was made on my Instagram too. These tactics are familiar -the same way “Kishindo,” the fake paper and fake journalist, was traced & exposed, cyber fingerprints can be traced. Even if criminals succeed temporarily, cybercrime is punishable. Impersonating others to steal digital identities is a crime.
These people are breaking one law after another. A thief’s priority is always to steal. No noble person would go to such extremes to attack other voices unless they are covering their own corruption. A dark cloud indeed hangs over Tanzania. Rebirth will be needed to cleanse this level of evil.
Some individuals even pose as goodwill doers just to get close to good people for manipulation. Shame on you. Use the resources you are wasting to provide healthcare for dying pregnant women giving birth on the floor. Use them to build proper schools so students no longer sit on the floor. Use them to improve the lives of Tanzanian people instead of indulging in luxuries funded by tax money or trying to destroy the goodwill of others.
There is no darkness that lasts forever. Daylight always comes in the morning. Time for a clean-up.
📢New Special Issue: Surveillance, Modelling, and Risk Mapping of Tropical Infectious Diseases
🧑🤝🧑Guest Editors: Dr. Jinxin Zheng @sjtu1896, Dr. Zhaoyu Guo @bdi_oxford @Oxford_NDPH, Dr. Yeromin Mlacha @YPKitutuJr @ifakarahealth
📅Deadline: June 30, 2026
🔗mdpi.com/si/253653
Yeromin retweeted
Finally. Finally Finally; Gold for Tanzania; #Simbu the resilient man. Never give up. #Congratulations #Simbu.
Yeromin retweeted
🌍 EXCLUSIVE:
The Sun UK spotlights Ifakara in “science vs malaria” feature 🦟
💡 @TheSun has spotlighted @ifakarahealth in its latest “Science vs Malaria” feature – and it’s a must-watch! In partnership with @malarianomoreuk , journalist Isabel Shaw takes you inside our labs to see how Tanzanian scientists are using innovation—from genetically modified mosquitoes to smart surveillance—to stop malaria in its tracks. 🔬💥
👀 Watch the video + read the story now:
🔗 Link in bio or 👉 thesun.co.uk/health/35228002…
🌟 Join us. Share the hope. Fight malaria.
🔗 ihi.or.tz/our-events/792/det…
>> #IFAKARAnews #ScienceVsMalaria #EndMalaria #HealthInnovation #GlobalHealth
Yeromin retweeted
Askofu Bagonza asema"CCM inahitaji wapinzani halisi Media halisi, bunge halisi, ...mahakama halisi na wazalendo halisi ili kusafisha nchi. Dola isitengeneze wapinzani, isijigeuze wapinzani. Taifa linahitaji HAKI siyo HISANI.Anayekataa hili hatutakii mema"
Yeromin retweeted
Hakimu Kiswaga; Tafadhali ishia hapo na usimtaje Rais
Tundu Lissu; Nina maelezo ya kurasa 140 na ndio kwanza nipo ukurasa wa 70. Vumilia nisome... Ni wajibu wako tu kuandika na sio kunielekeza cha kufanya
Hakimu Kiswaga; Hii ni committal court.. Hayo mengine nenda nayo High court
Tundu Lissu; Mimi naongea, ukiona nakuchosha nisimamishe kisha iwe on–record kuwa ulinipeleka mahakama kuu bila kumalizia maelezo yangu.
Tundu Lissu; Upande wa mashitaka umetumia zaidi ya siku 100, iweje masaa yangu machache iwe nongwa? Nivumilie nisome hadi mwisho.




























