Pinned Tweet
Ladies & Gentlemen
Karibuni COS_EVENTS ,event planner wa matukio mbalimbali kama
Weddings
Baby Shower
Kitchen party
Graduation etc
📍Don Bosco,Namanga Dar -es Salaam
☎️ +255(717 397733
KARIBUNI SANA
Kuna namna MUNGU anaamuaga kunipea back-up bana🥲
Kuna time anaamua kunikunia nazi
Kuna time anaamua kunikatia kachumbari
Ila MUNGU🙌
JEHOVA,NINAKUSHUKURU🙏🏾
MKAMANGI🦒🇿🇦 retweeted
Make money, bro. Make a lot of it. Money makes you a better friend, a better partner, a better parent, and a better sibling.
29/10/
To our beloved brothers and sister mliotutangulia
Endeleeni kupumzika kwa amani🕊️💔
HATUTAWASAHAU🙏🏾
Birthday Twaas our own mama mdogo(jokes)😂😂 naisha
To more years ya urembo,afya njema na mahela heavy heavy
IHYB❤️
MKAMANGI🦒🇿🇦 retweeted
2 months Before CHRISTMAS and my only wish is to become financially blessed, healthy and genuinely happy.
Bana😂😂
Kuna msiba siku ya kuvunja matanga mdogo kiume wa marehemu akasimama akasema
-Kaka alikuwa na watoto pale (mke alivyosikia watoto akashtuka)
-Kaka alikuwa anamiliki hiki na kile
-Kaka alikuwa anadai huyu na yule
Nyie wanaume mlioa kwann mnaficha wake zenu hamtaji mali zote?
MKAMANGI🦒🇿🇦 retweeted
Unahitaji frem za dukani hujui utapata wapi?? Baaasi nipo
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
Bei inategemea na mapendekezo ya mteja anachokitaka boss
Karibuni sana
@hamzaalbhanj
@Bin____Saleh
La Kujifungua na Maua Maua kibao
Pale Private Ward
Ndo bei gan?
Anauliza @Bin____Saleh

































