it's__me🤍💫 retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi

Kwa muda mrefu sasa maisha ya Pascal Mayalla yamekuwa kitandani kufuatia ajali aliyopata huko Zanzibar na kuvunjika mguu. Aliwekewa chuma lakini kimekatika na kutengeneza jeraha jipya kwa ndani. Pascal yupo kwenye hatari ya kupata saratani ya mfupa. Lakini tuna nafasi ya kumsaidia Pascal aweze kusimama tena. M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
Mguu wangu unaoza, nakufa huku najiona, naomba msaada maana nimekata tamaa. Naitwa Pascal James Mayalla, mkazi wa Kahama Shinyanga. Mwaka 2023 nilipata ajali ya pikipiki nikiwa Zanzibar nikielekea kazini. Kwa bahati mbaya nikavunjika mguu mara 2. Nikatibiwa Zanzibar na kuwekewa vyuma. Nilipopata nafuu niliomba kurudi nyumbani Kahama maana Zanzibar sikuwa na ndugu.
Hali yangu ikatengemaa kidogo na mwaka 2024 nikarudi Zanzibar kuendelea na kazi. Lakini kwa bahati mbaya mwaka jana, chuma nilichowekewa kilichomoka screw hivyo kikatoka sehemu husika na kuchoma nyama kwa ndani na kutengeneza kidonda kipya.
Nilipata maumivu makali sana. Nikaenda hospitali kikatolewa na kuwekwa kingine. Lakini Oktoba 2025 nilipata mtikisiko uliosababisha chuma nilichowekewa mguuni kukatika na kusababisha mfupa kuachana na mguu kupinda. Niliomba nirudishwe nyumbani Kahama. Hata hivyo sikuweza kwenda hospitali kutokana na kukosa pesa za matibabu.
Hali yangu inazidi kuwa mbaya kwani sehemu ya chuma kilichokatika imesababisha infection kwenye mfupa na kuendeleza kidonda kisichopona (Chronic Osteomyelitis).
Nimeelezwa kuwa hali hii inaweza kunisababishia kansa inayotokana na kidonda cha muda mrefu kisichopona (Squamous Cell Carcinoma).
Matibabu ninayohitaji kwa sasa ni operation ya kunyoosha mguu, kusafisha kidonda na kuweka chuma kingine. Gharama ni TZS 2.8M tu lakini nimelala kitandani mwaka mzima kwa kushindwa kumudu gharama hiyo. Naomba msaada niweze kupata matibabu mapema ili niepuke risk ya kupata saratani.
_____
Kama unaguswa kuokoa maisha ya ndugu Pascal Mayalla tuma sadaka yako kwenda M-PESA #0752581983, YAS #0719744954, CRDB #0150633516500, NMB #24110012109 Gifted Hearts Foundation | RudishaTabasamu | LetLoveLead
it's__me🤍💫 retweeted
Wakuu, naomba tulibebe hili, tunaliweza, Natanguliza shukrani 🙏🏼
Tushare kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki

Hakika Mwenyezi Mungu anaamrisha kufanya Uadilifu, na Hisani, na kuwapa Jamaa, na anakataza Uchafu, na Uovu, na Dhuluma, anakuwaidhini ili mpate kukumbuka.
it's__me🤍💫 retweeted
Interior design & decoration design 👌
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚 TUNAKUFIKIA ULIPO
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
it's__me🤍💫 retweeted
Good morning watu wa Mungu
Hotpot zote 3
Tsh 70,000
Kubwa inabeba kilo 3
wa.me/255755693113
📍Duka lipo Riverside, Mikoa yote tunatuma😘
Good morning wakubwa...Dinnerset ya mambele🔥🔥
📌Sahani kubwa 4
📌Sahani ndogo 4
📌 Bakuli 4
📌Vikombe 4
Tsh 85,000
0755693113
📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma
📌Kulipa kidogo kidogo✅
@Sativa255
it's__me🤍💫 retweeted
Alhamdulillah, ujenzi wa msikiti wetu Morogoro umefikia hatua ya kuezeka paa. Hatua kwa hatua tunaendelea kusonga mbele.
Shabaha yetu, In Shaa Allah, ni kuukamilisha ifikapo Disemba 2026.
Tunakaribisha mchango wako katika Sadaka Jariyah hii. Pamoja tunaweza kuukamilisha.
it's__me🤍💫 retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰
👉 Size S,M,L,Xl,& XXL
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
it's__me🤍💫 retweeted
Good morning wapendwa 😘
Shuka 2, foronya 4-50k
Shuka 1, foronya 2-25k
📌SHUKA COTTON, ZINAJIELEWA, USINGIZI MORORO, HAZITELEZI WALA KUPIGA SHOTI
0755693113
📍 RIVERSIDE, MIKOA YOTE TUNATUMA
@Sativa255
it's__me🤍💫 retweeted
Kama tunavyo jua Spika ni muhim sana kwenye msikiti. Kwa sababu Adhana niwito tunaomba tushirikiane tuweze kupata kipaza sauti ili Adhana iweze sikika.
Allah atujalie tuweze fanikisha jambo hili Biidhin'Allah tuta fanikiwa.
Ukijaliwa sadaka ya vifaa unaweza nunua pia.
it's__me🤍💫 retweeted
Assalam Aleykum warahmatulwah wabarakatuh.
Ndugu zangu wa X msikiti huu unahitaji msaada wa Spika pamoja na mazulia kwa kila alie jaliwa anaweza changia au kununua vifaa akawasiliana na sheikh kisha aka mkabidhi vifaa hivyo.
M-pesa; +255 691 695 399
JINA ; SADM BAKARI HERI.
it's__me🤍💫 retweeted
Good morning bosses
Bubble bed 350,000
Sofa set 850,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏
it's__me🤍💫 retweeted
Kabati la vyombo ipoo
280,000
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania
it's__me🤍💫 retweeted
Mkongo
Kitanda 5×6
📍 Tunapatikana Ubungo Msewe.
🚚DELIVERY IPOOO!
📞 Call/WhatsApp: 0710 398 946
KARIBUNI SANA, BOSSES! 🙏 – at Dar es Salaam, Tanzania