AK⁴7 retweeted
Kuna wakati unafika katika Maisha yako hutaki kabisa kubishana na watu kuepusha makelele ili kulinda afya yako ya akili hata mtu "akikwambia NG'OMBE anapaa Juu" Unajibu anapaa kuliko kunguru.
Nina Ukakika 101% ingekuwa NABII ndo makamu mwenyekiti na Mwenyekiti yuko lock-up angeshaingia mezani kuridhiana.
Hapa ndo naelewa udhaifu wa wana Kaskazini
2
53
Wanaume walegevu endeleeni kuwa Mashoga, Mimi na Mwanangu @harmonize_tz timekubaliana tutabaki peke yetu wawili kuwala mademu watakakuwa wanahitaji myulinga halisi
37
AK⁴7 retweeted
BRO TO BRO
Wewe ni mwanaume usikimbilie kuthibitisha thamani yako kwa watu. Jenga maisha ambayo hata wewe mwenyewe utajivunia ukiwa peke yako.
Kuwa na Nidhamu, Linda amani yako, Linda afya yako, Linda familia yako. Na zaidi ya yote, linda mwelekeo wa maisha yako ndio HAZINA
Kipindi hicho Wanaume wako kazini, Bunge kina watu mahili wenye kujua nini kilichowapeleka Dodoma
Heshima kwako @TunduALissu Historianya Tanzania haitakushaau.
43
Sijui ni tetesi za haho maandamano,
Mtaani berries kama zote, askari ni wengi kila kona aisee huku ndo kulindwa awamu hii wanachukua mishahara kihalali. 😅
91
Land Cruiser AKU, UT, PT, SU, STN ikikusimamisha kimbia mpaka ufie kwenye mwendo, atakaekusimamisha usimame kwa amani ni JW
2
41
Tafuta Hela Tajiri haombi kwa makelele na wala haanguki mapepo, Tatizo sio majinu au Mizimu Ni stress tu 😅
1
28
Kuna siku unaamka Kila unachogusa kinaharibika, Siku inakuwa nzito Kelele, Kesi, kutoelewana kunatawala.
Kuna siku kila unachogusa kinaenda, siku inakuwa yenye furaha na tabasamu,
Siku haziringani, Siku mbaya kwa ajiri ya ubaya na siku nzuri kwa ajiri ya uzuri
23
Nimetoka kwa Mganga nimemwambia basi huyo nyoka akae kwake mi anipe 50% ya mapato bado kakataa,
Ngoma bado ngumu 😅
1
33







