Simba SC&Liverpool Fan | Mkulima | Alhamdulillah

Paris, France
Joined June 2019
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
AMANI NI MSINGI WA MAENDELEO YA TAIFA LETU Tanzania ni nyumba yetu sote. Tofauti zetu za kisiasa, kijamii na kiitikadi zisituondolee utu, umoja na upendo tuliojenga kama taifa.
2
1
3
108
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
TANZANIA TO BUILD A CENTRE OF EXCELLENCE FOR ELECTRIC TRAINS The Tanzania Railway Corporation (TRC) has purchased a modern train-driving training device, a Motion Platform Simulator with 6 Degrees of Freedom to enhance driver competence and rail transport safety. Speaking today, Tuesday, 27 October 2026, during an inspection of Standard Gauge Railway (SGR) projects at Fela station in section five (Lot 5) of the Isakaโ€“Mwanza line, the Minister of Transport, Prof. Makame Mbarawa, made the announcement. The equipment is part of a broader plan to establish one of Africaโ€™s centres of excellence for electric trains and related technologies. Lot 5 is part of the ongoing SGR network development, which will eventually extend to Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo (DRC).
3
6
362
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
A few moments letter ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. #ChezeaNjaaWewe
1
12
1
14
1,032
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Kuwa na ndugu wa hivi ni shida sana @MsigwaPeter kwanini unanitukana sana? Hii video ni wewe au ni AI? Acha lawama. @ChademaTZ2 mkimuamini tena kazi kwenu
1
6
722
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Maria sio mtu! Kawauza hawa, mmoja mmoja ataondoka!! ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ kimeumana kwahiyo Twaha na wenzake wote wanaishi kenya bila kibali ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
2
7
12
857
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Kutuambia tugome kula, tena tugome bila kikomo ni kukiuka kifungu cha 216 (a)(b) na (c). John Mnyika anatakiwa kushtakiwa kwa kushawishi tujiue kwa kugoma kula. Na Yericko Nyerere
7
3
1
8
1,175
๐Ÿšจ๐Š๐ข๐ฌ๐š ๐œ๐ก๐š ๐Š๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐ญ๐ฌ๐ก๐š ๐œ๐ก๐š ๐–๐š๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ณ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐Ÿ๐ŸŽ๐ŸŽ๐ŸŽ ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐จ๐Ÿ๐ข๐ซ๐ฐ๐š ๐ง๐š ๐Œ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข ๐ฐ๐š ๐Š๐š๐ง๐ข๐ฌ๐š ๐Š๐š๐ญ๐จ๐ฅ๐ข๐ค๐ข ๐ก๐ฎ๐ค๐จ ๐๐จ๐ฌ๐ญ๐จ๐ง ๐ง๐œ๐ก๐ข๐ง๐ข ๐Œ๐š๐ซ๐ž๐ค๐š๐ง๐ข. Mnamo Januari 2002, timu ya Spotlight ilichapisha ushahidi mzito wa miongo kadhaa ya unyanyasaji wa watoto uliofanywa na mapadri kadhaa huko Boston, ukiwemo kesi maarufu ya John Geoghan. Nyaraka za siri zilionyesha kuwa viongozi wa kanisa, chini ya Kardinali Bernard Law, walijua kuhusu unyanyasaji huo tangu miaka ya 1980. Badala ya kuwaripoti mapadri hao kwa vyombo vya sheria, walikuwa wanawahamishia parokia nyingine kwa siri na kuwalipa waathiriwa ili wanyamaze. Mkumbuke unyanyasaji huu wa kingono umedumu katika Kanisa hilo tangu miaka ya 1950 na Kanisa limekaa kimya huku linajua kwamba kuna watoto wananyanyaswa kingono, yani makasisi wanabadilisha kuwafiria watoto kila siku. Baada ya Kanisa kukutwa na hatia ya kufira watoto, Jimbo Kuu la Boston lililazimika kulipa fidia ya zaidi ya dola milioni 95 kwa zaidi ya waathiriwa 550, hatua iliyopelekea kufungwa kwa parokia zaidi ya 60. Kesi hii ilifungua njia kwa majimbo mengine mengi ya kanisa nchini Marekani kutangaza kufilisika kwa sababu ya gharama za kisheria. Tukio hili ni juzi tu, achana na habari za biashara ya utumwa, achana na habari za wizi na dhuluma, bali hii ni juzi tu hadi sasa kesi bado inaendelea nchini Marekani. That's why nasema, katika taasisi hupaswi kuiamini hata chembe ni taasisi inayoitwa Kanisa Katoliki, popote pale duniani, ni watu hatari sana, genge kubwa kabisa la kihuni lenye matendo mengi ya kishetani kuliko matendo ya kiungu.
1
3
4
191
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ AMANI NI MSINGI WA MAENDELEO, MSHIKAMANO NI NGUVU YA TAIFA LETU! Tanzania ni yetu sote. Tunatoka katika makabila, dini, mitazamo na maeneo tofauti, lakini sote tunaunganishwa na uzalendo na upendo kwa nchi yetu. Tofauti zetu hazipaswi kuwa chanzo cha chuki na migawanyiko, bali ziwe fursa ya kujifunza, kuheshimiana na kujenga umoja wetu. Tudumishe amani, tuheshimiane na tulinde mshikamano wetu. Tujifunze kusikilizana hata tunapotofautiana kimawazo, kukataa uchochezi na kutatua changamoto kwa njia za amani na mazungumzo. Tukumbuke kuwa maendeleo yanahitaji mazingira ya amani, ushirikiano na utulivu. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda tunu hizi kwa vitendo, kuanzia katika familia zetu hadi katika jamii nzima. Tanzania yenye amani ni Tanzania yenye nafasi ya kusonga mbele. Tuilinde amani yetu, tuimarishe umoja wetu na tujenge taifa bora kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโค๏ธ #Amani #Mshikamano #UmojaWetu #TanzaniaYetu
10
11
393
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
๐Ÿ‘‰TPDF ( JWTZ ) ni jeshi Hatari zaidi Hapa Dunianiโœ๏ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3
6
14
1,328
WAZIRI MKUU KUMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MKUTANO WA AFRIKA NA URUSI Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Oktoba 27, 2026, ameelekea Moscow, nchini Urusi, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa tatu wa Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Urusi utakaofanyika Oktoba 28โ€“29, 2026. Mkutano huo utakaowakutanisha viongozi wa Urusi na nchi za Afrika na utaongozwa kwa pamoja na Rais wa Urusi, Vladimir Putin, na Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika ambaye pia ni Rais wa Burundi, ร‰variste Ndayishimiye. Mkutano huo unalenga kuimarisha ushirikiano kati ya Afrika na Urusi katika masuala ya biashara, uwekezaji, sayansi na teknolojia, nishati, usalama wa chakula, mabadiliko ya kidijitali na matumizi ya Akili Unde (AI). Aidha, mkutano huo unatarajiwa kupitisha tamko la pamoja, Mpango Kazi wa Ushirikiano wa Afrika na Urusi kwa mwaka 2027โ€“2029, pamoja na tamko la ushirikiano kuhusu matumizi ya Akili Unde katika shughuli za kiraia. Aidha, Matokeo yanayotarajiwa katika Mkutano huo ni pamoja na kupitishwa kwa Tamko la Pamoja, kuandaliwa kwa Mpango Kazi mpya wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya Urusi na Afrika kwa kipindi cha mwaka 2027โ€“2029, pamoja na kusainiwa kwa nyaraka mbalimbali za kiserikali na mikataba ya kibiashara.
1
3
4
169
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mtu mwenye minyoo kamwe hawezi kushinda njaa. Lazima uombe bakuli la uji wa moto. #ChezeaNjaaWewe
3
13
1
17
397
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mwalimu wa somo la mbinu za kutotekwa, kanyakuliwa vipi wewe ambaye hujui mbinu zozote? ๐Ÿ˜„ Tukiwaambia uhuru ni bora kuliko uasi, hamsikii,haya sasa, mwalimu wenu kashanyakuliwa na zilizonifikia ni kwamba kanyakuliwa na waliomtuma kuasi Nchi yake.
3
3
5
649
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Mambo ya namna hii yapingwe, Tanzania iwe kisiwa cha Amani
1
1
167
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ AMANI NI MSINGI WA MAENDELEO, MSHIKAMANO NI NGUVU YA TAIFA LETU! Tanzania ni yetu sote. Tunatoka katika makabila, dini, mitazamo na maeneo tofauti, lakini sote tunaunganishwa na uzalendo na upendo kwa nchi yetu. Tofauti zetu hazipaswi kuwa chanzo cha chuki na migawanyiko, bali ziwe fursa ya kujifunza, kuheshimiana na kujenga umoja wetu. Tudumishe amani, tuheshimiane na tulinde mshikamano wetu. Tujifunze kusikilizana hata tunapotofautiana kimawazo, kukataa uchochezi na kutatua changamoto kwa njia za amani na mazungumzo. Tukumbuke kuwa maendeleo yanahitaji mazingira ya amani, ushirikiano na utulivu. Kila mmoja wetu ana wajibu wa kulinda tunu hizi kwa vitendo, kuanzia katika familia zetu hadi katika jamii nzima. Tanzania yenye amani ni Tanzania yenye nafasi ya kusonga mbele. Tuilinde amani yetu, tuimarishe umoja wetu na tujenge taifa bora kwa ajili ya kizazi cha sasa na kijacho. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟโค๏ธ #Amani #Mshikamano #UmojaWetu #TanzaniaYetu
6
6
269
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
MAUZO YA NYAMA NJE YA NCHI YAONGEZEKA KUTOKANA NA UBORA WA MIFUGO Mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka kwa kasi kutoka tani 1,774 mwaka 2020/21, hadi tani 13,745 mwaka 2023/24 na kufikia takriban tani 15,000 mwaka 2025/26, sawa na ongezeko la zaidi ya mara 8 tangu mwaka 2021
1
1
1
81
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Fikiria hili tukio likitokea Afrika mwandishi afungue mlango wa gari la kiongozi wa juu mwenye ulinzi. Hapa ni Bulgaria, mwandishi alifungua mlango wa gari la Spika wa Bunge, kilichotokea atakisimulia milele. Dunia imevaa chupi kichwani.
3
12
17
2,134
๐ƒ๐ซ.๐™๐š๐œ๐คโ„ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ retweeted
Tanzaniaโ€™s Peopleโ€™s Defence Forces conduct readiness exercises with the CDF vowing continued support for neighbors in the struggle to stabilize peace, honoring the Pan-Africanism spirit of founding father Mwalimu Julius Nyerere.
5
20
2
65
7,067