
Always @liverpoolfan & @SimbaSCTanzania fan, content creator 🔥 🔥 ⚽
Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2023
- Tweets36.6K
- Following1.9K
- Followers2.3K
- Likes77.9K
Abasi Nasri retweeted
Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa ambayo ni 623.
Ukisoma Luka 6:23 inasema “Furahini siku ile na kuruka-ruka, kwa kuwa, tazama, thawabu yenu ni kubwa mbinguni, maana, baba zao waliwatenda manabii vivyo hivyo.”
Kila kitu kinachotokea kwenye maisha ya Tundu Lissu ni kusudi la MUNGU tusihuzunike sana.
USHINDI UNAKUJA NA HAUPO MBALI.
GOOD MORNING.
REPOST 200
#FreeTunduLissu
Abasi Nasri retweeted
Wakati sherehe za mashujaa wao zikipikwa na kuchochea, Ndivyo hadithi za mashujaa wangu zilizikwa na kupotea
29.10.2025 💔❤️🩹
Abasi Nasri retweeted
Watu wengi wanapotaka kulala ndio husali/huswali kuomba waamke salama waamke wakiwa hai!!
Watu hawa hawa ikifika asubuhi, mchana,jioni wanapokuwa wanatoka kwenda mihangaikoni,kazini,shuleni,
matembezi,safari, wengi hawasali wanatoka tu!!
Utagundua watu wengi wanauhofia usingizi kuliko wakiwa kwenye matembezi! Watu wanahofu wakati wa kulala zaidi na sio sehemu zingine.
Wanakosea sana!!
Takwimu zinaonyesha ni asilimia ndogo sana ya watu hufa wakiwa usingizini….. wachache sana!
Takwimu zinasema vifo vingi hutokea nje ya usingizi, hutokea kwenye matembezi, ajali za barabarani, mabatani huko, wapenzi na wanandoa kuuana, watu kuuana, na vyote hivi havitokei usingizini.
Lakini huku kwenye matembezi yetu huwa hatusali, hatumshirikishi Mungu, hatumtangulizi Mungu, hatujikabidhi kwa Mungu, tunatoka tu tunawasha gari,tunaRequest tunaamsha mabatani…..hatuna hofu ya uhai wetu.
Hofu tunakuja ipata eti tukirudi pale tunapotaka kulala🤷♂️
Ndio mtu anaanza kumtafuta Mungu sasa anajikandika Baba yetu 3, salamu maria 3, atukuzwe 3….
Wengine Al-Ikhlas, Al-Falaq na An-nas tatu tatu!! 😁
Tunakosea sana!!
Abasi Nasri retweeted
SIMBA imerejea kwenye ubora wake, imerejea kwenye kiti chake cha Ufalme, SIMBA imerudi rasmi kutawala soka la Tanzania. Hii ni comeback ya kibabe sana. Kwa kiwango na ubora wa kikosi chetu kuna uwezekano mkubwa tukatangazwa mabingwa wa ligi kuu mapema mnoo, yani mwezi January tu.
Abasi Nasri retweeted
Kwani huko bado mnamuimba Feisal kama mchezaji bora mzawa?
huyu bwa mdogo ni habari nyingine kwa sasa, ni kweli Feisal ni mtu ila kwa sasa , huu moto🔥🇹🇿.
Abasi Nasri retweeted
Huyu wa nyongeza huyu Top 11 alioenda kama kifungashio ndo unakuja shangaa dakika za jioni shwaaaaaa 🏆
Abasi Nasri retweeted
Mjane atakuwa na mamumivu makali sana maana kapoteza wote wawili kwa mpigo.
Itabidi sasa atoke eda akazike 😂😂😂😂
Abasi Nasri retweeted
Kama mgongo wako uko salama na unaendelea kuulinda wivu mkubwa please mchangie pesa ili aweze kulipa hiyo faini.
Airtel Money : 0789416464 (Airtel money)
Jina: GODFREY WILLIAM
#LindaMgongoWako #HaliNiMbaya
Abasi Nasri retweeted
Sijui nini kinaendelea kwa Inno Loemba na klabu ya Simba…
Sijui nini kinaendelea kati ya Inno na Steve Barker…
Ni muhimu kocha kuwa na kikosi kipana ili kuyashinda mapambano. Jukumu lake ni kuwatumia hao wachezaji waliopo kwenye kikosi.
👇👇👇
Abasi Nasri retweeted
"Wanaosema nifungwe waambieni Katika historia hakuna shujaa yeyote anayeitwa shujaa ambae hajaonja kifungo au mambo tunayopitia. Hilo sio taji la miba ni taji la dhahabu. It is only reserved to kwa watu wa maana."
Ujumbe wa Mwenyekiti Tundu Lissu leo Tar. 23/09/2026
REPOST 200
Abasi Nasri retweeted
Neo Maema had some beautiful words for Micky Jnr. ✨❤️
Appreciate you, Neo! 🙏🏾
#NguvuMoja #AfricanFootball
Abasi Nasri retweeted
🚨Kocha ibenge kuhusu kichapo alichopata zidi ya simba Leo:
“Niwe mkweli simba wamestahiri ushindi Leo walikuwa bora sana leo niwape warning timu za Tanzania ukikutana na simba hii pack bus niwabaya sana kwenye transitional phase.”
Abasi Nasri retweeted
🚨Hatuwasikiiiiiiiiiiii...........
Anaitwa Keletso Makgalwa fundi sana huyu anaingia dk 82 amefunga na kutoa pass ya goli.
Simba tunawatu nyie.......🔥🔥🔥🔥
Abasi Nasri retweeted
Mzee warioba anapewa Pole na watanzania wote.
Post ya KIFO CHA MUME WA SAMIA kimepokelewa kwa furaha na nderemo kila kona ya nchi (watu mpaka tumefanya SHEREHE jana).
Matukio yote haya yalitokea siku moja.
NCHI IMEVIMBA SANA.





























