Absalom Kibanda retweeted
"Demokrasia ya kushonana midomo siyo demokrasia," Julius Nyerere #juliusnyerere #NyerereDay – at Dar es Salaam, Tanzania
Rostam’s double-edged message, applauded by @SuluhuSamia and resonated with @WilliamsRuto .
Absalom Kibanda retweeted
Cristiano?
Gareth Bale:
“He was more of a flair player in Utd. He started to transition into that goal-scorer 2/3 seasons after I arrived.
He was so driven, he just wanted to score goals.”
Pumzika kwa amani baba wa wengi na tajiri wa maarifa, Edwin Isaac Mbiliewi Mtei. Wewe ni kinara wa fikra za mabadiliko ya kimifumo, kiuongozi, kitaasisi na kitaifa Tanzania….
Absalom Kibanda retweeted
Nashauri ukiweke kitabu hiki katika orodha ya vile utakavyovisoma.
You may wish to add this book to your list of titles to read this year.
@MkukiNaNyota
@Afbkcollective
Absalom Kibanda retweeted
VIDEO:
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano Tanzania (JMAT) Mkoa wa Dodoma, Askofu Evance Chande, amewataka viongozi wa dini na wadau mbalimbali kutumia siku chache zilizosalia kuelekea uchaguzi mkuu kutoa elimu kwa makundi mbalimbali hasa vijana kuhusu umuhimu wa kudumisha amani.
Akizungumza leo Oktoba 25, 2025 jijini Dodoma katika kongamano la viongozi wa dini wa Kanda ya Kati (Dodoma na Singida) kuliombea taifa amani na utulivu kuelekea uchaguzi mkuu, Askofu Chande amesema ni muhimu kuwaelimisha vijana kutotumika vibaya na kujiingiza kwenye vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa nchi.
“Tukae na vijana tuwaambie kwamba sumu haionjwi. Unaweza ukasema nitaandamana vyovyote itakavyokuwa, bila kuelewa madhara yake. Tuwape elimu hawa vijana, wasije wakaitumbukiza nchi hii kwenye matatizo,” amesema Askofu Chande.
Absalom Kibanda retweeted
Living With Cancer-A Diary Of Hope With Prof. Mark Mwandosya (Swahili) rss.com/podcasts/hadithi-yan… via @rss
Nakusalimu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Uliondoka miaka 26 iliyopita ukitamani kuona demokrasia ikitamalaki, haki na amani vikistawi, umoja, mshikamano na maendeleo vikishamiri. Badala yake sasa, Watanzania tuko vipande vipande. Upendo umetoweka na wananchi na viongozi sote hatuna tena hofu ya Mungu. Ushetani umetukamata. Tunaabudu PESA na MADARAKA.
1
3
667
CCM itafakari sana kauli hii ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kuhusu sifa ya chama cha siasa instagram.com/reel/DPzInqGkj…
1
2
726
Absalom Kibanda retweeted
“Oh my god… I have no words.”
Listen to the emotional moment this year’s laureate Maria Corina Machado finds out she has been awarded the Nobel Peace Prize.
Kristian Berg Harpviken, Director of the Norwegian Nobel Institute, shared the news with her directly before it was announced to the world.
#NobelPrize #NobelPeacePrize
Taifa liko vipande vipande. Tumegawanyika. Tunaelekea kusambaratika. Maneno mazito ya Baba Askofu Benson Bagonza yanachoma moyo. #TUJISAHIHISHE. Huu si tena wakati wa kunyosheana vidole. Kila upande UCHUTAME. Tumefika katika ncha ya korongo
Hii ndiyo taswira halisi ya maisha duni ya Watanzania ambayo Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia ameirithi kutoka kwa watangulizi wake. Si makosa kuirejesha kwa vitendo kaulimbiu ya Rais Mstaafu @jmkikwete ya ‘Maisha Bora kwa Kila Mtanzania’. Kila nikipanda #sgr na kuona picha hii siachi kujiuliza, nimeifanyia nini nchi yangu?! The Vicious Cycle of Poverty…
5
684
Absalom Kibanda retweeted
VIDEO:
Mwanahabari mkongwe nchini, Absalom Kibanda, amesema kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepoteza dira kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 kutokana kukataa kushiriki mchakato wa uchaguzi.
Akizungumza na Jambo TV katika mahojiano maalum, Kibanda amesema uamuzi wa chama hicho kujitenga na mchakato wa uchaguzi na maridhiano ni matokeo ya hali ngumu ya kiuongozi ndani ya chama.
Amesema viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakisikiliza wenyewe mawazo yao bila kusikiliza sauti za Watanzania au kutafuta maridhiano na wadau wengine wa kisiasa.
Kibanda ametaja kuwa chanzo cha hali hiyo kilianza kabla ya uenyekiti wa Tundu Lissu, akibainisha kuwa makosa ya msingi yaliibuka wakati wa uongozi wa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, hasa baada ya chama hicho kujiondoa kwenye vikao vya maridhiano na serikali kwa madai ya kutoridhishwa na mwenendo wa majadiliano.
Hili la kujenga Kanisa Ikulu na kisha kujibu kwa jeuri, Rais @WilliamsRuto wa Kenya anapaswa kujifunza kwa makosa aliyopata kufanya ‘mlokole mwenzake’ Rais wa #Zambia, hayati Frederick Chiluba aliyeingia Ikulu kwao akalitangaza taifa lake kuwa la kikristo (1991). Ya Kaisari apewe Kaisari na ya Mungu apewe Mungu. (Marko 12: 17). Mungu hadhihakiwi (Gal 6: 7-8)
1
593
Kishindo kikubwa cha makada wa CCM wanaojitokeza kuomba kuteuliwa kugombea ubunge na udiwani kutoka pembe zote za nchi hii kinafikirisha sana. Sichoki kujiuliza hivi huu utitiri wa wana @ccm_tanzania huwa unakuwa wapi wakati chama chao kikishambuliwa na viongozi wao akiwamo mwenyekiti wao @SuluhuSamia wanapoandamwa? Au kwao siasa ni madaraka na si wajibu?!
Absalom Kibanda retweeted
Mheshimiwa Balozi Mobhare Matinyi akiwa katika picha rasmi na Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme tarehe 12 Juni, 2025, jijini Stockholm (Picha na Lisa Raihle wa Ofisi ya Kasri la Mfalme wa Sweden).
Ni heri ufanye uamuzi ukosee kuliko kutoamua kabisa. Nimeona makosa, kasoro na nyufa lakini zaidi nimeona jitihada, ubunifu na matokeo chanya katika kilimo @HusseinBashe
2
1
402
Hivi ni kwa sababu gani hasa huyu Mwamba Kapteni Ibrahim Traore anaonekana kuvuta hisia za Watanzania?! Kulikoni! #TUJISAHIHISHE
Absalom Kibanda retweeted
Nakushukuru kaka @absakibanda kwa hoja hii🙏🏾 . Kwa marejeo ya hoja yote naweka link hapa ili mjadala uwe kwa mapana yake
Naitafakari hoja ya @Nnauye_Nape kuhusu #NoReformsNoElection. Anafikirisha. Tuichambue hoja na si msemaji @TunduALissu @HecheJohn @jjmnyika @godbless_lema @ngurumo











