Pinned Tweet
Sometimes I fail to understand why you as a parent bna upeleka mtoi shule town, especially in Nairobi yet hauna pesa ya kumpea fare daily aamkage kuomba lift 5 am in the morning
Akuna kitu nahate kama kurauka asubuhi nikuje kukaa stage ningoje msee tuende kaz, tupatane site ata kaa wewe n mgeni
Umaskini ni kitu mbaya sana akiangai, yaani Leo ni weather for two lakini Niko apa Kwa muhindi napandisha simiti Kwa ghorofa bila kusimama na najua rich kid kama @polo_kimanii anashikilia eve maina
Caretaker aliniuliza pesa ya kulipa keja mapema militoa wap nkamshow akuje nmfunze Forex, it's been a week na haniongeleshi
Jana nimeoga na maji baridi naskia nikama Niko na malaria sijui n vle nilikua nmekaa mwezi Bila kuoga ama shda ni gan
Kama yesu alitukomboa vile alikuja si God angeturudisha garden of Eden tuendelee Kula asali na maziwa, ii mambo ya kutafuta pesa na hupati n ngumu wallahi
Na wanaume mnatoaga wapi nguvu ya kudate dem ako na tattoo Kwa haga ama thighs, hats off to those bastards
Kuna time nimewahi leta side chick kejani coz I thought dem wangu that weekend ako busy, alinipigia simu ghafla kusema ako njiani, ilibidi nilipe caretaker 500 aseme anafunga nyumba sijalipa do side chick atoke
