ally_Ally 馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳 (@anticorrupt21) header
ally_Ally 馃嚬馃嚳馃嚬馃嚳 (@anticorrupt21) profile picture

#udsm alumnus class of 2023 #ceoacudsm's former Treasurer #Fomer DARUSO USRC 2022/23 #ceoacudsm ambassador 2022/23 #Pan African and anticorruption activist

Joined November 2021
Corruption should be addressed seriously locally and internationally as an illegal act that destroys our countries' well being by undermining economic development, exacerbating poverty and hindering social progress. @anticorruption @TakukuruTz @InstituteWajibu @dwnews
1
14
"Kuzuia rushwa ni jukumu langu na lako nikauli mbiu nzito na inayotupa mtihani mzito hasa sisi watanzania. Tujitizame sisi wenyewe mmoja mmoja,tunaendana na kauli hii?" @SuluhuSamia.
4
Kila raia anawajibika kisheria kushiriki vita dhidi ya rushwa.
1
14
Uchaguzi ni nguvu ya raia kuamua mustakabali Bora wa maisha Yao Kwa kipindi Cha miaka mitano. Tukiruhusu rushwa iingilie uchaguzi wetu basi tumekubali kupokonywa nguvu yetu ya kufanya maamuzi.
1
1
2
50
Vita dhidi ya rushwa ni vita ngumu sana lakini nivita ambayo inawezekana. Tutakatishwa sana tamaa, kuumizwa na hata kukosa uungwaji mkono lakini dhamira yetu inapaswa kuwa hai wakati wote, dhamira ya kujenga jamii Bora yenye haki na usawa.
1
2
24
Tunapaswa kukemea vitendo vya rushwa kwa nguvu zote. Kwa umoja wetu tuseme #kuzuiarushwanijukumulangunalako #zerocorruption
1
12
I aspire to a Tanzania where bribery is eradicated, and public services are accessed fairly and efficiently #zerocorruption #kuzuiarushwanijukumulangunalako
1
3
26
Corruption typically involves the exchange of something of value, given or received, with the intention of swaying someone's decisions. This can occur in the political, economic, or social spheres. #zerocorruption #kuzuiarushwanijukumulangunalako
3
87
Chini ya kifungu cha 112 cha Sheria ya uchaguzi ya mwaka 1985 na mapitio yake mwaka 2005, nikosa kumshawishi au kumnunua mgombea au kumuhonga ili ajiondoe kwenye kinyang'anyiro #ZEROCORRUPTION #kuzuiarushwanijukumulangunalako
2
12