Pinned Tweet
"If real development is to take place, the people have to be involved."
Mwl. Julius Nyerere – at Dar es Salaam, Tanzania
Sasa Tunatoa mafunzo In-house kwa program ya kujenga uwezo kwa Taasisi, Mashirika na Garages wanaotaka kuingia kwenye biashara ya kufunga CNG Kwenye magari Tanzania.
1
121
Tualike, we train your Technicians/Engineers capacity and guide you into the engineering of CNG vehicles. Garage za magari zote mnakaribishwa kuwasiliana nasi. Mafunzo tutawapa hapo hapo garage kwako.
1
28
This week, I had the privilege of joining a discussion on Morning Trumpet UTV, hosted by amazing Ms. Hilda and brother Goodluck
Representing the working class in CNG retrofitting, I discussed the potential impact of a proposed toll on CNG retail prices.
More vids on comments
1
41
The new prices could negatively affect young graduates “the working class” who found self-employment in the CNG retrofitting business. The current price is the only pushing factor for users to opt to CNG
1
27
If two people always have the same Idea,
or
The second person
always agrees with the Idea of the first person,
What is the need of the second person?
There’s lack of thinking problem
Avoid to be the second person
Think, open up, be original, or you will be replaced.
78
A software and hardware developing startup company. Blending AI & IoT to design multi-sector solutions; healthcare, Energy, Agriculture, B2B, etc. Visit our website myssatech.com
48
This is how we solder all of our custom PCBs for different projects and it can takes minutes to hours depending on how complex the circuit is.
1
69
The prototypes all done by hands where it requires passion and highly concentration to do it and sometimes, small mistakes happen but get resolved quickly by reviewing the circuit diagram, the paths on the PCB and the components soldered to make sure everything aligned properly
1
17
Lemson retweeted
Je huwa unatafuta WATEJA Mtandaoni?
Watu wengi huwa wanafanya freelancing,
Na moja ya changamoto kubwa ni namna ya kuzama DM na kuibuka na minofu.
Hizi hapa codes za kuzamia DM kwa wateja:
1. Awali ya yote.
Mjue mteja wako mtarajiwa.
Fanya utafiti kujua changamoto zake na mahitaji yake.
2. Unapoandika anza na intro ya maana.
Mvutie kusoma ujumbe wako na kuumaliza.
Hakikisha utaweka maneno mguso mwanzoni kumteka.
3. Jikite kwenye mahitaji yake.
Sahau kuhusu wewe.
Jikite kwenye pain points za mteja wako.
Na kwa sababu umeshafanya utafiti.
Tumia hii fursa vyema.’
4. Achana kabisa na habari za wewe na huduma zako.
Zungumzia mteja wako na kile anahitaji.
Wewe utakuja baadae kama solution.
Usijaribu kujimwambafai kwa hatua hii.
5. Kutokana na painpoints ulizozigusia hapo juu,
Shuka na uzoefu wako relevant ambao mteja anauhitaji ili kufanikiwa kwenye changamoto yake.
Hapa unajenga credibility yako.
Only relevant experience. Usitie chumvu, utaharibu.
6. Hakikisha ujumbe yako ni customer tailored.
Usiwahi kukopi pesti meseji ukatuma kwa mteja.
Always, hakikisha ujumbe unamgua mteja moja kwa moja.
7. Jitahidi kuwa professional.
Acha lugha za mtaa.
Onesha haiba nzuri na weledi wa juu.
8. Jipambanue, onesha upekee wako.
Hii tunaita. Value proposition.
Je, kwanini akuzingatie wewe na si wengine?
Kuwa brief na clear.
9. Sasa shuka na social proof.
Onesha umesaidia nini kwenye jamii.
Wateja wanapenda kuona wataalam waliotatua changamoto kama zao kwa watu wengine.
Tumia hii nafasi vizuri.
10. Kama umeshajirizisha na tataizo la mteja,
Toa solution kwa mteja.
Vile utamsaidia chap kwa haraka na
Weledi wa juu kabisa.
11. Usiwe na tamaa, mpe ka-package kadogo bure.
Yaani usimwache tu juju juu.
Kama ni mteja wa body fitness.
Unaweza kumwacha na mazoezi mepesi ya kuanzia,
Ili kutatua changamoto zake.
Hii itamleta moja kwa moja nyavuni.
12. Hakikisha unamwacha na Call to Action.
Nini afanye baada ya kusoma ujumbe wako.
Usifanye makosa ya kumwacha mteja hewani.
Utakuwa umechemka vibaya.
#Tutoboewote
#SwahiliMastermind
30-09-2023
Lemson retweeted
If a man took on responsibility beyond his age in his formative years, he will be less likely to want to commit to serious relationships: because relationships manifest to him in the form of responsibility. He does not see the love; he sees only the responsibility.
Good move. Ni vibaya kupeleka watoto kwenye mikusanyiko ya watu wazima km harusi, mbali zaidi kuwachezesha nyimbo zenye jumbe za watu wazima km video iliyosambaa. Enzi zetu, tulibaki home hata sherehe za kipaimara, harusi tulizisikia tu. Tafakari kushuka madili miaka ijayo Vid ⬇️
Kufuatia kusambaa kwa Video iliyowaonesha Watoto wakitoa Burudani kwenye Sherehe wakati wa Usiku na katika Miondoko isiyofaa kwa Umri wao, Waziri Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima amewatafuta Wazazi wa Watoto hao na kukemea kitendo hicho huku akiwataka Washereheshaji na Jamii kuzingatia Sheria inayokemea Udhalilishaji wa Watoto
Sheria ya Mtoto Namba 21 ya Mwaka 2009 (iliyorekebishwa Mwaka 2019), kifungu cha 158 (1) (c) inazuia kumtumia Mtoto kwenye Maonesho ya Harusi, Mitindo ya Nguo au Maonesho mengine kama hayo wakati wa Usiku. Adhabu yake ni faini ya Tsh. Laki 5 au kifungo cha Miezi 6 jela au vyote kwa pamoja
Soma jamii.app/HarusiWatoto
#JamiiForums #HakiMtoto #JFWomen #ChildProtection #Governance #SocialJustice #JFUwajibikaji
1
124
Lemson retweeted
Kupata kusudi la maisha inaweza kuwa safari ya kujitambua kwa kuchunguza mambo tofauti tofauti. Usikatishwe tamaa na vikwazo. Mawazo na matamanio ya kusudi lako vinaweza kubadilika baada ya muda. Jiamini, na uamini kwamba utagundua njia yako ya kipekee kwa wakati wako ufaao.
Kupata kusudi la maisha inaweza kuwa safari ya kujitambua kwa kuchunguza mambo tofauti tofauti. Usikatishwe tamaa na vikwazo. Mawazo na matamanio ya kusudi lako vinaweza kubadilika baada ya muda. Jiamini, na uamini kwamba utagundua njia yako ya kipekee kwa wakati wako ufaao.
Lemson retweeted
Tanzania kuondosha malipo ya Visa kuingia DRC, pongezi sana kueleka Afrika tuitakayo
Kwa Miaka zaidi ya 10 nimekuwa nikipigania Suala la Wananchi wa Kongo (DRC) kuingia nchini Tanzania bila malipo ya visa na vile vile Watanzania kwenda DRC bila malipo ya visa. Hiki kilikuwa ni kilio kikubwa cha Wafanyabiashara wa Kigoma ambao Soko lao kubwa ni DRC. Nimefurahi sana kuwa hatimaye malipo ya VISA yamefutwa. Biashara ya ukanda wa Ziwa Tanganyika itashamiri sana.
Tanzania kuondosha malipo ya Visa kuingia DRC, pongezi sana kueleka Afrika tuitakayo
Kwa Miaka zaidi ya 10 nimekuwa nikipigania Suala la Wananchi wa Kongo (DRC) kuingia nchini Tanzania bila malipo ya visa na vile vile Watanzania kwenda DRC bila malipo ya visa. Hiki kilikuwa ni kilio kikubwa cha Wafanyabiashara wa Kigoma ambao Soko lao kubwa ni DRC. Nimefurahi sana kuwa hatimaye malipo ya VISA yamefutwa. Biashara ya ukanda wa Ziwa Tanganyika itashamiri sana.













