Pinned Tweet
VYUO VINAFUNGULIWA MTOTO WAKO ANA LAPTOP?
@usedpointTz wana laptop kuanzia bajeti ya 300,000/=
Mrahisishie mwanao maisha ya chuo akiwa na laptop
DSM FREE DELIVERY
☎️0788106694
TUPO UBUNGO MAWASILIANO NA KIMARA
SANUKAnaCHAPO retweeted
How can critical minerals drive a just transition while protecting the environment, respecting community rights, and ensuring equitable benefits for all?
📅 12–13 Nov 2026 | 📍 Dodoma, Tanzania
Follow @HakiRasilimali
#JukwaaLaUziduaji2026 #HakiRasilimali
Katika maisha epuka sana kum* ya bure!
Hapo kuna baadhi hata hawakuwepo kwenye task, ila tamaa ya nyapu ya bure imewaponza.
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali rufaa ya Private Clinton Honest Damas(Nyundo) na wenzake watatu waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kosa la kumbaka kwa kundi binti wa wa miaka 17 maarufu kama binti wa Yombo huku ikihibitisha hukumu hiyo iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dodoma.
Kwa mujibu wa hukumu iliyotolewa leo Oktoba 27, 2026, tukio la kumbaka binti huyo lilitendwa na Nyundo akishirikiana na Amini Lord Lema(Kindamba), Nickson Idala Jackson na C.1693 WDR Praygod usiku wa Mei 25 na 26, 2024, katika eneo la Mpamaa, Dodoma ambapo msichana mwenye umri wa miaka 17 alidai kufanyiwa ukatili wa kingono na kundi la vijana.
Katika rufaa yao, Nyundo na wenzake kupitia wakili wao waliomba Mahakama ya Rufaa itengue hukumu ya hatia na adhabu ya kifungo cha maisha jela, wakipinga uhalali wa hati ya mashtaka, namna ushahidi wa video ulivyopatikana na kuhifadhiwa, utambuzi wao wakati wa tukio la usiku pamoja na matumizi ya taarifa ya maungamo ya Nyundo.
Pia walidai kuwa ushahidi haukuthibitisha kosa la kubaka kwa kundi pasipo kuacha mashaka yenye msingi na kwamba utetezi wao wa kutokuwepo eneo la tukio haukuzingatiwa ipasavyo.
Kuhusu utambuzi wa wahusika, hoja za Nyundo na wenzake zilikataliwa kutokana na ushahidi wa 'Binti wa Yombo' kueleza kuwa tukio hilo lilifanyika kwa muda wa saa mbili huku taa ikiwa inawaka pia umbali baina yake na watendaji wa tukio uliondoa mashaka juu ya utambuzi.
Katika uamuzi wake, Mahakama ya Rufaa ilisema ushahidi uliowasilishwa ulithibitisha kosa la kubaka kwa kundi bila kuacha mashaka yenye msingi, hivyo kutupilia mbali rufaa na kuthibitisha vifungo vya maisha jela.
Hata hivyo, mahakama ilisimamia uamuzi wa Mahakama Kuu wa kufuta hukumu ya kosa la pili la kufanya tendo lisilo la kawaida kwa pamoja(unnatural offences) kwa kuwa msingi wa kisheria wa kuwahukumu washitakiwa wote kwa kosa hilo haukuwepo katika mazingira ya kesi hiyo.
SANUKAnaCHAPO retweeted
UNATAFUTA LAPTOP YA KUDUMU?
LENOVO THINKPAD X1 CARBON
8th Generation
💻 Intel Core i5
💾 RAM 8GB
🚀 SSD 256GB
⌨️Blacklight keyboard
Bag or mouse bure
💵 750,000/= tu
DSM FREE DELIVERY
Free window installation+ basic softare
Warrant card
☎️0788106694
SANUKAnaCHAPO retweeted
MWANAFUNZI HAKIKISHA UNA LAPTOP UKIWA UNAANZA CHUO
🏮Dell latitude 3180
🔹128GB SSD
🔹4GB RAM
🖲️ Intel Celeron 1.1GHz
🔹11.6 inches display
🔥 Windows 11 pro
🔹6 hours+
💰TZS 300,000/=
DSM FREEDELIVERY
☎️0788106694
SANUKAnaCHAPO retweeted
UTAJIRI NI MINDSET, ANZA LEO KUISHI KITAJIRI
Microsoft surface pro 3
Core i5
RAM 8GB
SSD 128GB
Tsh 500,000/= tu
DSM FREE DELIVERY
☎️0788106694
SANUKAnaCHAPO retweeted
Hp Dragon🐉 Fly Mnyama🥶
Generation 8✅
Core i5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅
Processor based 1.9GHz and Turbo 3.0GHz✅
TouchScreen and x360’✅
Backlight keyboard✅
Fingerprint✅
Face recognition✅
PRICE: 1,100,000/=
☎️0788106694
DSM FREE DELIVERY
SANUKAnaCHAPO retweeted
VYUO VINAFUNGULIWA, JE, MTOTO WAKO ANA LAPTOP?
Je unaanza chuo na unahitaji laptop? Basi tunazo laptop zinazo anzia bajeti ya 300,000/= na kuendelea kwaajili yako.
Fika dukani kwetu @usedpointTz Ubungo Mawasiliano au Kimara
Call: ☎️0788106694 or Whatsaap
Free delivery in DSM
SANUKAnaCHAPO retweeted
💥 HP ELITEBOOK x360 1040 G8
11th Generation,
⚡Intel Core i7 | @3.0GHz,
4Cores
💫16GB DDR4 RAM,
💫512GB Nvme SSD,
💫Display 14” FHD
💫×360 Convertible
💫Touchscreen,
💫Backlight keyboard
Price TZS 1,500,000/= tu
DSM FREE DELIVERY
☎️0788106695
Ubungo Mawasiliano
SANUKAnaCHAPO retweeted
MASHINE GENERATION YA 10 bei imekufa
Nec VersaPro 10th generation.✅
Corei5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅
Kioo inch 13.5✅
Very slim and portable✅
All ports available✅
600,000/=
☎️0788106694
DSM FREE DELIVERY
@usedpointTz – at Morogoro, Tanzania
VYUO VINAFUNGULIWA, JE, MTOTO WAKO ANA LAPTOP?
Je unaanza chuo na unahitaji laptop? Basi tunazo laptop zinazo anzia bajeti ya 300,000/= na kuendelea kwaajili yako.
Fika dukani kwetu @usedpointTz Ubungo Mawasiliano au Kimara
Call: ☎️0788106694 or Whatsaap
Free delivery in DSM
SANUKAnaCHAPO retweeted
MASHINE GENERATION YA 10 bei imekufa
Nec VersaPro 10th generation.✅
Corei5✅
Ram 8GB✅
Ssd 256GB✅
Kioo inch 13.5✅
Very slim and portable✅
All ports available✅
600,000/=
☎️0788106694
DSM FREE DELIVERY
SANUKAnaCHAPO retweeted
VYUO VINAFUNGULIWA, JE, MTOTO WAKO ANA LAPTOP?
Je unaanza chuo na unahitaji laptop? Basi tunazo laptop zinazo anzia bajeti ya 300,000/= na kuendelea kwaajili yako.
Fika dukani kwetu @usedpointTz Ubungo Mawasiliano au Kimara
Call: ☎️0788106694 or Whatsaap
Free delivery in DSM
SANUKAnaCHAPO retweeted
MWINDI ALIVYOMSAIDIA MUME WA VANESSA MDEE (ROTIMI ) KUTIMIZA NDOTO YA SERIES YA POWER YA 50 CENT.
Alipigiwa simu na agent wake kuwa kuna seriers ya POWER inabidi uje LA🇺🇸 kwenye audition ya series ya POWER.
Alipuuzia mwanzo baada ya kuambiwa kuwa mwenye series ni mtu mweusi👇
SANUKAnaCHAPO retweeted
Ulikuwa na umri gani ulipojua kuwa wimbo wa Nelly ft Kelly - Dilemma ni wimbo unaozungumzia mke wa mtu mwenye mume na mtoto wa kiume ila anampenda na kushindwa kumuacha muhuni ambaye anampenda kuliko mumewe?
SANUKAnaCHAPO retweeted
Kuna bro wa mtaani alikujaga home kufanyiwa dressing na mzee kama wiki , mzee nikamuuliza mbona jamaa anakuja sana anaumwa nini?
Akanambia jamaa alitembea na mke wa mtu, mume alimla operamini🅾️
Kile kitu hadi leo kinaishi kichwani , wazee jitahidini kuwa mbali na wake za watu.
SANUKAnaCHAPO retweeted
BIFU LA TUNDA MAN NA MATONYA
Matonya si jina geni miongoni mwa masikio ya wapenda Bongo Fleva, ni miongoni mwa wasanii walioleta mapinduzi ya muziki Tanzania na Afrika Mashariki jina lake na mchangi wake utakumbukwa milele kwa uhodari wake mkubwa na alama aliyoicha kama..
#UZI
SANUKAnaCHAPO retweeted
CHAMELEONE ALIVYOACHWA VALENTINE
Katika nchi za E. Africa nchi ya Uganda ndio ngumu zaidi kukutana na msanii mkubwa, bongo ni ngumu sana kumpata Diamond.
Ila Uganda ni mara 10 zaidi,kuna msanii alienda Uganda kufanya Corabo na Jose Chameleon, 2weeks bila mafanikio na kuamua👇
SANUKAnaCHAPO retweeted
Kwenye #5ZaChapo leo tupo na msanii wa kike kutoka Bongo Fleva Vanessa Mdee ama wengi wanapenda kumuita Vee Money. Huku yeye pia akionekana kulifurahia jina hilo
1. Anaongea lugha zaidi ya 2- Vanessa Mdee anaongea kiswahili,kingereza na kifarasa sababu baba yake mzazi






















































