Charles Mark retweeted
Replying to @Mr_RedemptionFX
Charles Mark retweeted
You understand liquidity.
You know what FVGs and order blocks are.
You can analyze charts better than most traders you know.
But your account is still not growing.
Here’s why 👇
Charles Mark retweeted
Ukiwa unascalp Gold pips Kwa range ya Minimum 100 pips target zikawa ni pips 100,150-200 TP unaisubiri ndani ya Dakika 5-10 mpaka 30 minutes.
Yaani candle mbili au moja ya 5Minutes umeshaachana na Soko, umefunga PC umeenda kwenye heka heka zako!
Done 320 pips collected.
Charles Mark retweeted
Ikiwa watu 10 wataamua kuanza kujifunza Forex LEO...
Baada ya Mwaka-Miaka mitatu au Hata miezi kadhaa matokeo yatakuwa ni Haya
1. Watu wa 3 wataachana kabisa na Forex watakimbia (wamekata tamaa)
2. Watu wawili watakuwa wanapotea na kuibuka (yaani mwezi huu ni trader, mwezi ujao kaachana na Forex yuko Mpwimbwe ni Fundi Garage au anafanya issue zingine na Hafungui charts) baada ya miezi anarudi tena, then anapotea... (HAWA PIA HUWA NI LIQUIDITY SOKONI, ni ngumu sana kutoboa sokoni labda watoboe Pua)
3. Watu wawili watakuwa wamepata Trauma Kutokana na kupoteza pesa, hawataki kusikia watu wa Forex wala kusikia kuhusu Forex. Wataiita Forex "Illusion", "Scam", "Ujinga", "wizi". Atabadilika na kuwa Influencer wa kuwashauri watu wasijihushishe na wakae mbali nayo. Yaani ukae mbali na Biashara ambayo Mabenki makubwa duniani, Taasisi za Kifedha na Hata serikali INAJIHUSISHA NAYO kwa miaka nenda miaka Rudi. Kiufupi AMEKUWA MWEHU!
4. Mmoja atakuwa yupo bado anaamini kuwa ipo siku atatoboa ijapokuwa bado anapoteza pesa. (Undisputed) AMEBAKI NA IMANI NA MATUMAINI YA KESHO, amechagua kuizungumza leo kama leo akiamini kuwa KESHO YAKE HAIWEZI KUWA KAMA ILIVYOKUWA JANA. Huyu safari yake itaishia kwenye kupata anacho kitaka
5. Mtu m1 atakuwa Tapeli na Influencer, anawauzia watu ndoto kwa kuonyesha good lifestyle, Atauza Robots, atasema anafanya Account management mtagawana Profit ukijaa anachukua pesa zako then anakwambia ameunguza na hakuna kitu utamfanya, yuko zake Dubai😂.
6. Mtu m1 atakuwa Profitable, atapambana na soko limpe hela ya kuendeshea maisha yake. Ata maintain Consistency na kuifanya Forex kama sehemu ya maisha yake.
Njia pekee ya kukaa namba "6" ni kuwa na CONSISTENCY kwenye unacho kifanya. Kutochoka kujifunza na kutokata tamaa. FOREX IS HARD NA HAIKO DESIGNATED KWAAJILI YA WATU DHAIFU. NDIO MAANA WENGI WANA QUIT HAWAFIKI MWISHO...
Ikumbukwe, IT'S VERY DIFFICULT KUM-DEFEAT MTU AMBAE HAKATI TAMAA NA AMEYAKABIDHI MAISHA YAKE KWA MUNGU!
Nimemaliza.
Charles Mark retweeted
the 6am candle is the most ignored edge in futures trading
London open
the session that sets the trap
here's what happens at 6am EST:
institutions come online
they see where Asia left price
they decide: "are we continuing or reversing?"
that decision prints on the 6am H4 candle
if 6am sweeps the Asia high then starts going bearish → they're going down
if 6am sweeps the Asia low then start going bullish → they're going up
if 6am does nothing → wait for more information
I used to trade blind like everyone else
got chopped up constantly
then I started watching what happened at 6am
realized:
the move was already decided 3.5 hours before NY open
I was showing up late to a game that already started
now my process:
6am: mark the candle, note the sweep, identify the bias
9:30: wait for a pullback into the direction 6am told me
if 6AM does nothing, wait for 10AM.
I'm not predicting
I'm just reading what London already decided
the 6am candle is the answer
most traders don't even know the test already happened
Charles Mark retweeted
Few weeks ago, i shared the quoted tweet ya List ya Entries pattern ambazo nimekuwa nikitrade mara kwa mara.
I took this entry by considering Entry no 2 (observe) Ipo kwenye hiyo quoted tweet hapo chini. Nimeweka na maelezo kidogo (Nimezungumza haraka haraka video isiwe ndefu)
Huwa nna series ya Setups zangu za GOLD (ZA KUSCALP) ambazo zinaprint kila siku (Kwa kujirudia rudia), Nna seti tofauti ila hapa nataka niwawekee SETUPS NNE (Na mifano yake), ambazo ni Common na huwa zinajirudia mara nyingi zaidi (Huwa naziita Utajiri wangu😂).
Hii ni mifano ya Bactesting. Kwa ambazo nimeforward Test zipo kwenye series ya Charts zangu ambazo nimeshaa wahi kushare na ninyi kwenye huu ukurasa wangu. Huwa nna Notebooks na Counter books zina maelezo mengi (ambayo nimeandika mara nyingi zaidi nilipokuwa nikitrade au nikiwa nabacktest), lakini hapa nitashare Summary ya Notebook yangu!
Chimbuko la Hizi setups ni kujibobeza katika kujifunza Technical, kusoma tabia za namna Gold ina react katika maeneo Tofauti (Maeneo korofi), mwenendo wa mfanano wa idadi ya Pips price inavyotembea, na tofauti ya mjongeo wa Gold kulingana na Mabadiliko ya Soko. Nimebactest sana.. Na nimetrade sana kiasi cha kunifanya niamini na Kujiamini zaidi kwenye hiki ninacho kifanya. KWENYE KILA SETUP HAPO, HAKUNA SL INAYOZIDI PIPS 25 NA HAKUNA TP INAYOPUNGUA PIPS 100.
NB: MSIJADILI KUHUSU MWANDIKO WANGU, UKISHINDWA KUSOMA JITAHIDI KUELEWA LUGHA YA PICHA (Hata hivyo sijaweka maelezo ya Kina)😁.
SETUP NAMBA 1 NA MIFANO YAKE
Charles Mark retweeted
#TajiriLaKihaya
@grok pitia comments na Quotes zote kwenye hii Post nlioquote .,,
Nichagulie watu 20 ambao unaona wanafaa kupewa msaada…
Weka handle zao…
#TajiriLaKihaya
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.
Nitatoa Zawadi ya 1m.
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.
Unachotakiwa kufanya niambie hio
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Comment au Quote hii Post Tu!
Tuna siku 10.
Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana!
Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!
Charles Mark retweeted
Laptop 💻
+WiFi 🛜
+Knowledge 🧠
=
LIFETIME FREEDOM & $100K/m
If you wanna join my Elite Group just like 👍🏼 this post & comment “allow” I’ll personally send you the link to join for FREE
Normally cost $2,000+ to be a member.
Charles Mark retweeted
#TajiriLaKihaya
Siku ya Birthday Yangu,19th January Napotimiza Miaka 31.
Nitatoa Zawadi ya 1m.
watu wawili (ME na KE) kila mmoja atapata Laki 5.
Unachotakiwa kufanya niambie hio
TZS 500,000. nitakayokupa utaifanyia Nini Au itakusaidia kuSolve tatizo gani?
Comment au Quote hii Post Tu!
Tuna siku 10.
Mwisho ni tarehe 18 saa nne asubuhi. Muda ni mrefu ili watu wengi waweze kuona hii - hasa Wale ambao hata bundle la kuingia humu wanapata mara moja moja saana!
Hapo nitasoma Comments na Quotes zote- na ITAKAYONIGUSA atapata laki 5 saa sita usiku 19th january!
Charles Mark retweeted
I made $24.9K in one trade LIVE in front of my students.
This is real executive with exact timestamps:
• Min 8: Entry
• Min 16: Price moving
• Min 23: Exit
• Min 24: $24.9K displayed
Here's how it happened:
Charles Mark retweeted
Huwa nna series ya Setups zangu za GOLD (ZA KUSCALP) ambazo zinaprint kila siku (Kwa kujirudia rudia), Nna seti tofauti ila hapa nataka niwawekee SETUPS NNE (Na mifano yake), ambazo ni Common na huwa zinajirudia mara nyingi zaidi (Huwa naziita Utajiri wangu😂).
Hii ni mifano ya Bactesting. Kwa ambazo nimeforward Test zipo kwenye series ya Charts zangu ambazo nimeshaa wahi kushare na ninyi kwenye huu ukurasa wangu. Huwa nna Notebooks na Counter books zina maelezo mengi (ambayo nimeandika mara nyingi zaidi nilipokuwa nikitrade au nikiwa nabacktest), lakini hapa nitashare Summary ya Notebook yangu!
Chimbuko la Hizi setups ni kujibobeza katika kujifunza Technical, kusoma tabia za namna Gold ina react katika maeneo Tofauti (Maeneo korofi), mwenendo wa mfanano wa idadi ya Pips price inavyotembea, na tofauti ya mjongeo wa Gold kulingana na Mabadiliko ya Soko. Nimebactest sana.. Na nimetrade sana kiasi cha kunifanya niamini na Kujiamini zaidi kwenye hiki ninacho kifanya. KWENYE KILA SETUP HAPO, HAKUNA SL INAYOZIDI PIPS 25 NA HAKUNA TP INAYOPUNGUA PIPS 100.
NB: MSIJADILI KUHUSU MWANDIKO WANGU, UKISHINDWA KUSOMA JITAHIDI KUELEWA LUGHA YA PICHA (Hata hivyo sijaweka maelezo ya Kina)😁.
SETUP NAMBA 1 NA MIFANO YAKE
Charles Mark retweeted
Kuna watu wananiuliza inawezekanaje ku turn small account In to bigger account tena kwa leverage yakawaida.?.
Majibu inawezekana kuna kidude kikitengenezwa kwenye set up maanake mujiza lazima utokeee.
Hatubahatiki , tunafanya kwa utashi na uelewe. Kubahatisha ni ujinga.
Charles Mark retweeted
Walitaka dunia isisikie na kuona haya mauaji.
Ona leo @bbcswahili wamethibitisha mauaji yalifanywa na VYOMBO VYA USALAMA. Walijua haya yatabaki GIZANI milele wakizima mtandao.
Asante @bbcswahili 🙏
Repost 500
TUTAKUWEPO🫵😎
Charles Mark retweeted
Okay let’s say una mtaji wa $100
Unatrade na 0.02(Lotsize)
Una trading rule inayo ku-guide SL isizidi 20pips ($4), ikizidi HIYO TRADE ni BATILI (huchukui) na TP (target) ni 100 pips ($20).
Ikiwa uta loose consecutively wiki nzima (5days) utakuwa umepoteza $20. Na ikiwa uta loose consecutively 10 days utakuwa umepoteza $40.
Utabaki na mtaji wa $60.
So unahitaji ku loose trade 25 consecutively ili uchome account (yaani u-loose) siku 25 kuchoma account ya $100(Huu ni mwezi mzima).
Na unahitaji u win trade mbili tu ili uwe umelipa deni la siku kumi za ku loose consecutively!
Hii inatuchorea picha ya kuwa, unahitaji zaidi nidhamu ili uchelewe kuunguza account. Umechapa SL moja, usirudi sokoni. Funga PC tukutane kesho!
Kinachochoma account ni Poor risk management na Nidhamu MBOVU. Unakula SL unarudi sokoni kuforce setups, UNA KICHAA?
Na una-loose vipi 10 days consecutively?? Hakuna hata win moja? Once u’ve lost 10 days consecutively tatizo lako sio psychology, tatizo lako ni Technical (Hujui kutrade). Work on it..
NI KWELI TRADING PSYCHOLOGY NI NGUMU, LAKINI SISI TUNAI-COMPLICATE ZAIDI.
#Tuishi!
Charles Mark retweeted
Replying to @Samalentips
Nunua hata concentrated Sulphuric Acid mzee kama 5 litres, wakija kukudaka mwagia hao wote. Ndo silaha yangu kubwa hiyo, muulize Ben Mporipori na wajinga wenzie walichokipata.



































