Daniel Godfrey Chongolo (@chongolo_daniel) header
Daniel Godfrey Chongolo (@chongolo_daniel) profile picture

Waziri wa Kilimo (MB), Mkuu wa Mkoa wa Songwe Mstaafu na Katibu Mkuu Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Tanzania
Joined May 2022
Kheri ya sikukuu ya Noeli na Mwaka mpya kwenu nyote, Mungu atulinde sawa na mapenzi yake.
1
3
402
Asante Makambako, Asante Mgombea Urais wetu wa CCM Dr. Samia Suluhu Hassan. Tunasubiri Oktoba kutiki. #naendeleakujifunza
5
283
Nikipokea busara za kwa Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dr.AshaRose Migiro katika jukwaa la kampeni Mbalizi, Mbeya. Kazi inaendelea. #naendeleakujifunza
7
8
81
1,442
Karibu Njombe mgombea Urais wa CCM Dr. Samia Suluhu Hassan. Njombe ipo salama
3
5
49
1,318
Hakika Wajumbe ni watu Wema, Asante Makambako. Asante Wajumbe #naendeleakujifunza
8
4
59
1,577
Utakumbukwa kwa mengi Mhe. Esther Mahawe
7
21
69
2,801
Jana nilifanya ziara katika Halmashauri ya Mji Tunduma na kutembelea Hospitali ya Mji Tunduma ili kujionea namna ya utoaji huduma ya madaktari bigwa wabobezi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao wametawanywa kutoa huduma za kibingwa na bobezi katika Halmashauri tano za mkoa huu
10
14
75
3,101
Daniel Godfrey Chongolo retweeted
Mkuu wa Mkoa wa Songwe @chongolo_daniel akieleza changamoto zinazokabili mkoa huo kwa Mkuu wa Kanisa la KKKT Askofu Dkt. Alex Malasusa ili Viongozi wa Dini wa kusaidia kutoa elimu kwa waumini wa kanisa hilo.
1
4
8
777
Leo nimeongoza Wananchi wa Wilaya Mbozi mkoani Songwe kupanda miti katika msitu wa asili wa Ilembo ikiwa ni sehemu ya shughuli za kusherehesha miaka 60 ya Muungano wetu. Hakika Songwe ni salama karibuni.
8
18
130
3,568
Miaka 40 bila wewe. Endelea kupumzika salama Mzalendo wa kweli. #sokoine40
8
20
213
4,935
Nawatakia Pasaka njema Wananchi wote wa Mkoa wa Songwe tusheherekee Pasaka kwa kudumisha Amani na Upendo bila kuvunja sheria.
16
13
1
132
5,451
Tuendelee kujifunza. Ijumaa Kuu njema
22
16
129
5,564
Msisitizo huu wa RPC Senga unathibitisha namna Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe walivyojipanga katika kipindi chote cha Sikukuku za Pasaka. Ombi letu kwa Wananchi tiini sheria na muwe na sherehe njema.
4
9
85
2,811
Nikimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Iringa Peter Serukamba nilipopita kumsalimia ofisini kwake Iringa mjini. Mh. Serukamba ni darasa la bidii kwenye kazi.
58
39
3
794
32,337