Hapa tumepuyanga usajili huu unaonyesha dhahiri deal la Matheus Fernandez limewapanikisha sana viongozi
Baada ya takribani miaka 10+ wakati tielemans akiwa captain mdogo kabisa wa timu flani ya ubelgiji kipindi SIR ALEX FERGUSON ni kocha wa Man United bado tuliwahi kumuhitaji tukashindwa kumsajili leo wakati anaelekea ukingoni plus injuries za mara kwa mara ndio tunaenda kumsajili
Kwa jinsi soko la usajili barani ulaya lilivyo man united tusipompata tchou ni bora tusifanye usajili tena kuliko kukurupuka kusajili alafu baadae hao watakaosajiliwa wanakuja kuwa kama UGARTE
Aisee huyu lamine yamal kwasasahivi hakuna mchezaji yeyote yule anayeshare nae namba anaweza akampa stress dogo anatisha
Tajiri Mo tafadhali nikiwa kama mshabiki wa SIMBA ninashauku ya kuona ELIE MPANZU anasajiliwa kwenye timu yetu kwa ajili ya kuitumikia klabu kwa msimu ujao
Goooooooal! Rodrygo (Real Madrid) displays superb quick feet and dribbling as he jinks his way through multiple challenges and takes a shot from inside the box, which is deflected and goes past stranded Stefan Ortega. 2:1.
#UCL #UCLFantasy – at Dar es Salaam, Tanzania
Comeback to EPL this weekend.....
Manu on fire
#NewProfilePic – at Dar es Salaam, Tanzania
Twitter makocha naombeni kujua KIBU DENIS anamzidi nini SHOMARI KAPOMBE au anamzidi nini ATOULA YAO KWASI……kwenye kazi yake ya msingi(kushambulia)na ambayo wachambuzi wengi wanamsifia nayo(yaani kukaba)
Huu ndo utamu WA Simba 🫡
"Chama anapiga mwingiiiii"
#CAF #TotalEnergiesCAFCL – at Dar es Salaam, Tanzania
utd4lifetz retweeted
Fck it it's 2024! I'm following everyone that likes this tweet.
teapawt.net/OJSIMPS0NBURNER/status…






