classic Tv online (@classictv_onlin) header
classic Tv online (@classictv_onlin) profile picture

Welcome to the Official Twitter Fan Page of Classic TV online, We'll make sure we upadates you in whatever happennig in +257 art industry in 24 hours.

Burundi
Joined November 2016
Ikiwa bado ma saa machache ili mechi ya Burundi🇧🇮 Vs Mali🇲🇱 ichezeke, Raisi wa jemhuri Mh. @pnkurunziza kaandika ujumbe kwa timu ya taifa @intamba_murugamba_ akiwafariji na kuwaunga mkono ili kuwapa nguvu na kuwatakia ushindi kwenye mechi ya kesho. #KZupdates #ngm257
6
8
1- Show ya Sauti Sol imebebwa na King @sat_b_satura , baada yake kutoka stejini mashabiki wa muziki walifika wanasinzia. 2- @akezanet mwikosore, organisation yari weird, but show yagenze neza... 3- Security nayo bizzare et impolie.
1
2
It's sad that many forget to count their blessings when we have such a Merciful Lord. He loves us unconditionally and is always waiting for those who’ve wronged themselves to turn back to Him. So no matter how far you think you’ve deviated from His Path, call out to Him.
1
4
classic Tv online retweeted
Ujio wa @SBerahino nchini Burundi wiki jana tu, haujajulikana mpaka dakika hii, pia hajazungumza chochote kuhusiana na ujio wake nchini Burundi. Tuwaahidi kuwa hivi punde tutazungumza nae na kujua mengi.
5
12
Kuna jamaa kanambia: "Wasanii wetu ku perform kwenye Local Podiums inawasababishia kutofikiria internationaly." Abantu mutegura ama concerts, musical events, Kermes Nb... Mudufashe kurico kibazo, dushaka ama podium agezweho muma events mwaduteguriye. Sio mpk kweny ma festivals.
1
4
7
NGM257 SPORT SPORT 👇👇👇👇👇⚽ Sport| Mpaka kimeeleweka! Hatimae Hussein Tchabalala asaini Baroka FC. ngm257.com/sport-mpaka-kimee…
3
3
Stay clear of the herd mentality. Why should you do it just because everyone else is doing it? There’s no need to fit in. Let society say you’re the odd one out. Remember, at the end of the day, it’s better to walk alone than with a crowd headed in the wrong direction!
2
6
Inawezekana kuwa #serekali_yaMuziki wa 🇧🇮 (AMB) inakosa mbinu ili kudhibiti soko la muziki, au wasanii wenyewe kuwa na local mind ndio chanzo cha wao kutofikiria soko ili kujikwamua walipokwama?
3
3
9
Alie nifunza hajakosea, aliekosea ni yule niliemfunza mimi, utamu na ugumu wa lugha ya kiswahili. Elimu ya chuo inashindwa na ya mtaani japo ki mtaa mtaa hutopewa thamani. #Dunia_mapito #Mr_NiceGuy i am.
1
3
Uzembe na kutojiamini ndivyo vinavyo jaa wasanii wa Burundi #upcoming artists & #legendaries, nikimaanisha wote mnao faham kwenye kiwanda hiki cha muziki ( Buja fleva), ndio maana hutosikia collabo ya kimataifa kwa wakati huu.
4
5
7
Kuna umbea flani unanukia, nikumbushe kesho nikuhabarishe.
1
7