Pinned Tweet
Nilikuwa najua habari ya Utangazaji nimejiibulia tu out of nowhere .. nikaja kufahamu baadae kumbe ipo kwenye familia..Huyu ni Bibi yangu enzi hizo akiwa anatangaza radio Tanzania ananiambia ni miongoni mwa wanawake wa kwanza kabisa kutangaza radio hiyo akiwa na (Mwalimu Amina)
Me
Replying to @cantleavethegc
Who wants to carry a separate device for music?
Wired headphones yes I like those.
DeeAndy retweeted
I am never leaving Tiktok:
This good looking guy helped a blind girl at the train station and took a video. The comments have me rolling on the floor 🤣🤣🤣🤣
DeeAndy retweeted
مواطن إماراتي تفاجأ قبل السفر ان جواز سفره منتهي، ذهب الى قسم تجديد الجوازات في مطار دبي واستخرج جواز جديد في ظرف 8 دقائق .
Juzi kati walitaka kutoa mita yote kwa mshua ,Dawasa walitaka iwekwe nje wakiwa wanapita kusoma wasisumbuke kugonga mageti..wapita njia kuwaona ndio kupiga kelele wakaacha mita chini maji yanamwagika kama yote.. Dawasa walivyokuja wakashauri kuweka vya kushikia mita vya plastic
Zaidi ya ajabu aisee, hata haijulikani wanataka nini.. Championship or lah! Wapo wapo tu 😅😅wanafanya mpaka nitake kuamini ile theory ya kwamba wanataka kumnyima fashionista nyundo ya 8
Replying to @doreenandy
Ferrari wasipotengeneza team rules wataishia kubaki mediocre, wana mambo ya ajabu sana.
Nimeacha kabisa kutumia vyote right now .. Nilikuwa nashangaa mtu anawezaje kunywa chai bila sukari but now nimekuwa mmoja wao.. Sema upate yale majani yenye flavour , Wenzetu wako vizuri kwenye hilo
DeeAndy retweeted
Dereva wa Escudo T 572 DZD ulikuwa na uwezo wa kusubiri abiria wa boda aokote mfuko wake wa ndizi aliodondosha wakati wanajaribu kukukwepa wewe ulietanua ila ukachagua kuzikanyaga, bila shaka utalala usingizi mzuri kabisa leo wakati mtu mwingine ana maumivu ya hasara uliyompa.
DeeAndy retweeted
This Angle of Erling Haaland goal is insane….. teapawt.net/krabchinski/status/207…























