Uko tayari kuboresha zaidi ujuzi wako wa uwekezaji?
Jiunge nasi tunapojadili kwa kina mada isemayo “Kuelewa ETFs: Njia Bora na Mahiri ya Kuwekeza”, iliyoandaliwa na Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) na kuwasilishwa na Prof. Mohamed Warsame.
📅 Leo
🕓 Saa 10:00 jioni (EAT)
Usikose fursa hii muhimu ya kupata maarifa kuhusu uwekezaji na kufanya maamuzi sahihi ya kifedha!
Endelea kufuatilia, jiandikishe (Subscribe) kwenye chaneli yetu ili kupata taarifa zaidi.
DSE Members Awards 2026 – Reminder!
DSE Members, this is a friendly reminder to complete your submission for the DSE Members Awards (DMA) 2026. Members who have not yet registered are encouraged to register and complete the assessment before the 30 October 2026 deadline.
Don’t miss the opportunity to showcase your achievements and contribution to Tanzania’s capital markets.
👉 Register and submit your assessment here:
dse-dap.auditaxinternational…
For assistance, please contact the DSE team: [email protected] and [email protected]
#DSE #DMA2026 #CapitalMarkets #ESG #Tanzania
DSE SCHOLAR INVESTMENT CHALLENGE 2025/2026 GRAND FINALE
Today, the Dar es Salaam Stock Exchange (@dsetanzania ) successfully held the DSE Scholar Investment Challenge 2025/2026 Grand Finale, officiated by the Minister of State, President’s Office – Youth Development, Hon. Joel Arthur Nanauka.
The event celebrated young investment champions and reaffirmed DSE’s commitment to promoting financial literacy, nurturing a savings and investment culture, and empowering the next generation to participate in Tanzania’s capital market.
Empowering Youth Today. Investing in Tomorrow.
#DSESIC2026 #HisaKiganjani #FinancialLiteracy #YouthEmpowerment #InvestInYourFuture #DSE

Soko la Hisa la Dar es Salaam (@dsetanzania ), kupitia mwakilishi wake Bw. Anold Massenge, lilishiriki katika mafunzo ya Mindful Leadership Training yaliyofanyika tarehe 17 Oktoba, kwa ushirikiano kati ya @CRDBBankPlc Foundation, Mind Matters Tanzania na Mindful Leadership Movement.
Mafunzo hayo yalilenga kuwawezesha wanawake wajasiriamali kuimarisha uongozi, kujiamini, ustahimilivu na uwezo wa kufanya maamuzi sahihi kwa ajili ya kukuza biashara zao kwa uendelevu.
DSE inaendelea kuunga mkono juhudi za kuwawezesha wajasiriamali, hususan wanawake, kupitia elimu ya fedha na uelewa wa fursa za masoko ya mitaji katika kukuza biashara, kuongeza upatikanaji wa mitaji na kuchochea ukuaji jumuishi wa uchumi wa Tanzania.
#DSE #UwezeshajiWanawake #ElimuYaFedha #MasokoYaMitaji #UkuajiJumuishi
20.10.2026
Form 5 & 6 ECA students from Makumbusho Secondary School Financial Literacy study tour at @dsetanzania