Ebony Fm Radio (@ebonyfmtz) header
Ebony Fm Radio (@ebonyfmtz) profile picture

The best Swahili Radio Station from the Southern Highlands of Tanzania. Frequency; Iringa 87.8, Mbeya 94.7, Dar 106.9, Njombe 88.2, Songea 102.2 MHz

Iringa, Tanzania
Joined August 2014
Photo by Ebony Fm Radio (@ebonyfmtz)Photo by Ebony Fm Radio (@ebonyfmtz)Photo by Ebony Fm Radio (@ebonyfmtz)Photo by Ebony Fm Radio (@ebonyfmtz)Photo by Ebony Fm Radio (@ebonyfmtz)Photo by Ebony Fm Radio (@ebonyfmtz)
Tufahamishe hali ya hewa leo mwanafamilia wetu
2
1
23
MWANAFAMILIA TUNAFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU MEYA WA MANISPAA YA IRINGA NZALA LYATA KARIBU KWA MASWALI NA MAONI.
1
11
Umeamkaje leo? Weekend ilikuwaje kwako? Tufahamishe hali ya hewa leo katika eneo lako
11
Kijana wa miaka (25) Mkoani Dodoma atiwa Mbaroni kwa tuhuma za kumbaka mama yake mzazi, Mwanafamilia Tupe mtazamo wako unadhani kwanini vitendo hivi vinaendelea vinashamiri nchini, tujuze pia nini kifanyike zaidi ili kuvitokomeza.......
9
Umeamkaje? Tufahamishe hali ya hewa leo katika eneo lako
6
Umetusikiliza ukiwa wapi leo?
5
8
Jicho pembuzi tujuze unatambua nini juu ya nafasi ya kundi la vijana kuelekea chaguzi zijazo nchini
6
Umeamkaje leo? Tufahamishe hali ya hewa katika eneo lako leo
1
1
8
Tuko na RTO Iringa, leo tunazungumzia suala la ulinzi shirikishi katika usalama barabarani, karibu kwa lolote kuhusu usalama barabarani..
4
Umeamkaje? Hali ya hewa vipi?
1
4
Mkutano wa Hadhara tupo kijiji cha Nzivi kata ya Igowole Wilayani Mufindi Viongozi waliotuhumiwa kufanya ubadhirifu wa fedha za maendeleo ikiwemo ujenzi wa Zahanati warejesha fedha hizo huku miongoni mwao wakianza kuhojiwa na TAKUKURU
7
Afcon 2019: Tanzania yafungishwa virago.
1
4
Umeamkaje? Vipi hali ya hewa kwako?
2
Mwanafamilia karibu tuambie naona umuhimu gani wa kuwa na viongozi wa serikali za mitaa kwenye eneo lako?
1
5
Umeamkaje? Weekend ilikuaje? Tufahamishe hali ya hewa leo katika eneo lako
2
Na je ni mambo gani si sahihi kufanya kwa wanaokuhusu wakati wa hali mbaya ya kiuchumi?
3
MWANAFAMILIA TUAMBIE KWENE ENEO LAKO KWA NINI KUNA CHANGAMOTO YA WANAWAKE KUAMINIWA KATIKA NAFASI ZA UONGOZI
2
5
MWANAFAMILIA KENYA WAMEILAZA TANZANIA JANA KWA GOLI 3 KATIKA MICHUANO YA KOMBE LA AFRIKA (AFCON) UNA USHAURI GANI KWA KIKOSI CHA TANZANIA KINACHOENDELEZA MAPAMBANO NCHINI MISRI.
2
Umeamkaje? Tufahamishe hali ya hewa katika eneo lako
4
MWANAFAMILIA TUPO NA MTAFITI MAMBO YA MAZINGIRA EVODIUS RUTTA TUNAZUNGUMZIA MASUALA YA UJANGILI TATIZO KUBWA KWA TAIFA,KARIBU MWANAFAMILIA