I think women ni rahisi sana wao kuwa matajir / kujenga generational wealth, imagine kodi imeisha anampigia tu Mtu wake , hana hela ya kula simu moja tu , mwsho wa mwez anapokea allowance , wengine kwenye hati wanajiweka majina yao , mitaji pia wanapewa .