Fazo (@fazoboya) header
Fazo (@fazoboya) profile picture
Joined August 2013
Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)Photo by Fazo (@fazoboya)
Tupigie 0762344677
7
32
5
53
6,674
👟 Size: 40-45 Bei: 130,000/= 📞: 0693688961 WhatsApp: 0743931620 DM @DreamOnlineShop
20
30
2,863
😂😂😂
24
20
433
18,687
Ntobi tusamehe sisi kwa kukubishia
Nyumbu, tusikilizane tafadhali! Mmuulize nabii wenu Godbless Lema: kwa nini alikwenda kutoa ushahidi dhidi ya Dr. Nchimbi mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM chini ya Mzee Wassira, huku akijua yeye ni CHADEMA? Kama Lema aliweza kumuuza Dr Nchimbi—mnadhani nyie hatawauza? 😁
12
10
1
154
20,276
Unakamatwa kwa kosa namba 34, inabidi umlambe miguu traffic akate namba 13 😂😂
Suka umesikia hii sheria ya kila leseni ya dereva kua na points 15. Dereva akifanya makosa basi akipigwa mkeka atakua anakatwa alama 1 kwa kila kosa na kuna makosa ambayo unaweza katwa mpaka alama 3 kwa kosa moja So alama 15 zikiisha basi leseni inafungiwa Wewe Unaonaje hii?!
7
7
2
61
11,292
Summary ya Dakika 8 Mwamposa wa Bei ya jioni ni Zitto mtupu
Lema hatunae tena, Lema keshauza mechi. Lema anaishi Sea Cliff miezi miwili sasa.
15
53
425
10,922
Yusei asubuhi yenu inaanza saa ngapi
KUNA BONGE LA PHONE CALL NIMEPATA DAKIKA HII. NIKIAMKA ASUBUHI CHA KWANZA NI VIDEO……… NAOMBA WANANCHI TUSIICHIKIE KWANZA CHADEMA. MAMBO NI DIPU KULIKO TUNAVYODHANI…. See you asubuhi!!!
25
16
232
10,205
Maswali ya Mahakamani yananza kupostiwa na Chawa, Kesi inaendeshwa kama Hashtag ya Mitandao Salama 😂😂
15
40
5
421
15,732
👟 Size: 40-44 Bei: 95,000/= 📞: 0693688961 WhatsApp: 0743931620 DM @DreamOnlineShop
27
45
3,394
Mjomba Funjo katuuza lini tena
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Alli Hapi, ameibua gumzo kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuhoji kutofika kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, Kizimkazi kwa ajili ya kufikisha salamu za pole kwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mwenza wake. Hapi ameibua hoja hiyo leo Jumapili, Septemba 13, 2026, kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X, akisema amemsikia mara mbili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akimtaka Heche kufikisha salamu zake za pole kwa Rais kufuatia msiba huo. “Mnimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa mwenza wake,” ameandika Hapi. Hata hivyo, Hapi amehoji kutofika kwa Heche Kizimkazi hadi sasa, akisema hajamuona akitekeleza ujumbe huo wa Mwenyekiti wake. Kauli hiyo imeibua mjadala mpana kwenye mitandao ya kijamii, huku baadhi ya watumiaji wakianza kujiuliza iwapo kutokuwepo kwa Heche katika eneo hilo kunaashiria tofauti ndani ya CHADEMA. “Lakini ajabu, hadi sasa sijamuona Heche kufika Kizimkazi ili kupeleka ujumbe huo wa Mwenyekiti wake,” ameandika Hapi, kabla ya kuhitimisha kwa kauli iliyochochea zaidi mjadala: “Liko tatizo kubwa CDM!!” Kauli hiyo imezua gumzo hasa kutokana na mazingira ya kisiasa yaliyopo nchini, huku mjadala ukijikita katika uhusiano wa viongozi wa CHADEMA, utekelezaji wa maelekezo ya Mwenyekiti wa chama hicho na namna chama hicho kinavyoshughulikia suala la kutoa pole kwa Rais katika kipindi cha msiba. Wakati Hapi akiibua hoja hiyo, kauli yake imekuwa sehemu ya mjadala mpana unaoendelea mitandaoni kuhusu hatua zinazochukuliwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa kufuatia msiba huo, huku suala la kama Heche amefikisha au hajafikisha salamu hizo likiwa kiini cha gumzo lililochochewa na ujumbe huo wa Katibu Mkuu huyo wa Jumuiya ya Wazazi CCM.
16
8
1
147
16,554
Daah! Ila Chaz 🤣
14
6
109
12,303
Ukisikia mtu kaingilia sehemu pa kutokea 😂😂😂 #SaturdayVAR
27
27
273
15,092
Apewe kabla wazazi hawajarudi 😂😂😂 #SaturdayVAR
36
23
3
524
41,077
Maokoto ya Elon huyu ndio HR, Mtu ashakula Termination tayari 😂😂
Replying to @softcreateee
Telling fake stories about an American tragedy to game monetization is the most egregious behavior I have seen on this app. You will never be paid by X again.
8
7
47
10,003
“Hao wengi wanakaa nyumba hii? Unakula kwa hao wengi? Ada unalipiwa na wazazi wa hao wengi?”
"Tumefeli wengii sijafeli pekee yangu" hii point hainaga Comeback kwa mzazi.😂
3
7
2
110
7,017
Mshua akiachiwa siku za karibuni basi hii Tweet itakuwa hainatofauti na Tweet ya Ford foundation, Wataitumia sana kusema “Waliomba Msamaha” Mwamposa wa Bei ya Jioni unazingua
M/kiti Lissu anakupa pole sana kwa kufiwa na mume wako kipenzi. Tukiwa mahakamani takribani mara mbili, amesisitiza salamu zake zikufikie pamoja na pole zake kwako, watoto na ndugu zako wote. Lissu ni mtu mwenye upendo mkubwa kwa watu na anayesimamia haki. Ninaamini kama angekuwa nje ya gereza, angefika Unguja mwenyewe kutoa pole na faraja. Kwa bahati mbaya, akiwa bado yuko gerezani, hawezi kutoka na kufika mwenyewe kukupa pole katika kipindi hiki kigumu. Nami nikupe pole sana kwa kumpoteza mume wako mpendwa. Jipe moyo na uimarishe imani yako katika tumaini la Mungu. Mungu awape nguvu, faraja na uvumilivu wewe, watoto na familia nzima. Let’s Love Lead, Mama! Get Lissu out of the prison walls!
28
37
3
451
18,530
Kesho Mna Muda tuzinase kwenye #ElimikaWikiend Usikose 👌
15
52
1
154
5,251
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🔥🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45 ✅Bei 75,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo
3
33
1
35
611
Mshua alijua kabisa anambalagaza akaanza kuAura Farm ✌️
This quoted post is unavailable.
2
27
1
255
56,236
Dexter Bora aende Jehanamu ila sio Kwa Pilato 😂
20
42
1
221
7,955