
Sports Comedian | Stand up comedian | Official performer at CHEKA TU | Home Boy | Instagram : @ganslay_tz
Joined October 2021
- Tweets3.9K
- Following145
- Followers18.7K
- Likes4.1K
Pinned Tweet
SUPPORT VYA NYUMBANI🙏🏽!!
Hizi ni T-shirts Brand yangu #HomeBoi
Only 25K Tu!! ✅
Call: +255 761 466 447
( Help Me To Retweet , Iwafikie Watanzania Wote. )
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ retweeted
Ismael Saibari alimkimbilia Jamal Musiala mara tu alipoona Musiala anakaribia kuzimia.
Musiala alizimia kwa sehemu kutokana na joto kali, na baadaye alifanyiwa vipimo na kupewa ruhusa na madaktari wa Bayern.
Hii ndiyo maana halisi ya kuwa mchezaji mwenzako wa kweli. Saibari ❤️
Kwa mfano wewe ni kocha uko na hawa wachezaji , ikapatikana penalty dakika ya mwisho kabisa mpira umalizike . Nani utampa apige hiyo penalty?! DEPU au GUEYE?!!!
KWA ALLY ABDALLAH ( Ubungo )
Kwa Wakali Wa Physics uliwahi kwenda kwa huyu mwamba pale Ubungo?!!
Unakata Circular Motion huku umesimama pamejaa?!!! 😁😁 Halafu unakuja kuishia kuwa konda dah!!!
TAJA CHIMBO LA TUITION ULIWAHI KWENDA , Kusaka Elimu😁
1
8
665
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ retweeted
BRO TO BRO
Wewe ni mwanaume.
1. Weka afya yako kuwa kipaumbele
2. Fanya mazoezi kila siku hata kama ni kidogo
3. Amka mapema kabla ya dunia kuanza kelele
4. Panga siku yako kabla haijaanza
5. Tumia pesa kwa busara
6. Soma na jifunze kila siku upate maarifa
7. Chagua marafiki wanaokujenga
8. Epuka malalamiko yasiyo na suluhisho
9. Jenga akili tulivu na moyo wenye uvumilivu
10. Heshimu wazazi na familia yako
11. Jitegemee na simama kwa miguu yako
Kumbuka Hakuna atakayekuja kuyaishi maisha yako kwa niaba yako. Ni jukumu lako kuyajenga.
Mchambuzi Wa Mchongo ⚽ retweeted
Kwahiyo tokea hapa ulikuwa haujawahi post kitu chochote? 😂😂
Majanga yote ya Oktoba we ulikuwa umeibiwa
AM BACK AGAIN IN X , AFTER 10 MONTHS OFFLINE ON X !!
Asante sana , Home Boy @McinikaWaLamar Nimefanikisha Kuirudisha Account Yangu!
Mnikaribishe sasa tena humu X 😁
















