District Commissioner - Rungwe, Mbeya

Dar es Salaam, Tanzania
Joined December 2013
Lupepo Sekondari Rungwe
21
37
3
444
29,509
Leo tarehe 05 Januari, 2024 nimezindua Zahanati ya Ilenge katika Kata ya Kyimo ikiwa ni jitihada za kuwasogezea wananchi huduma ya afya karibu.
1
6
38
5,158
Tarehe 14 Oktoba, 2023 nilipata fursa ya kutembelea Ziwa Ngozi ikiwa ni moja ya vivutio vya Utalii wilayani Rungwe. #utaliiwandani
1
5
21
1,958
Leo anmezindua ujenzi wa barabara ya Ndulilo mpaka Itete kwa Kiwango cha Lami inayounganisha kata ya LUFINGO na KYIMO yenye umbali wa KM 11.38 kwa gharama ya shilingi Billion 8.9
3
5
24
2,338
Serikali imeendelea kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ikilenga kuwaondolea changamoto mbalimbali Wananchi ikiwemo usafirishaji, elimu, afya, maji na umeme.
1
8
622
Kheri ya Siku ya Wafanyakazi
3
9
140
10,402
I congratulate the people of Kenya on their peaceful general election and the subsequent announcement of Dr @WilliamsRuto as President-elect. We look forward to continue working together with our brothers and sisters in Kenya to strengthen our historically close ties. Tuko pamoja
1,387
3,872
216
27,506
Ninapenda kuwapongeza kwa dhati wananchi wa Kenya kwa kushiriki uchaguzi wao mkuu kwa amani na utulivu, ambapo matokeo yake ni Dkt @WilliamsRuto kutangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya. Tanzania itaendeleza undugu na ushirikiano wa Kihistoria na Kenya uliodumu miaka na mikaka.
633
1,048
66
7,435
Jaffar Haniu retweeted
Nawapongeza Madaktari na Wauguzi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kufanikisha upasuaji wa kuwatenganisha watoto mapacha walioungana. Hii ni hatua muhimu katika utekelezaji wa mpango wa serikali kuboresha matibabu ya kibingwa. Nawaombea watoto Rehema na Neema wapone haraka.
418
466
37
3,818
Jaffar Haniu retweeted
Katika siku hii ya Wanawake Duniani, nawapongeza wanawake wote kwa mchango wenu katika kujenga uchumi, kustawisha jamii na kudumisha amani na utulivu. Napenda kuwatia moyo na ari zaidi, na nawaahidi ushirikiano katika kuendelea kuyatimiza majukumu hayo kwa faida ya Taifa letu.
578
753
60
5,659
Nimesikitishwa sana na kifo cha Dkt. @mwelentuli, mwana wa Afrika ambaye ameitumikia vyema Tanzania ndani na nje ya mipaka. Pole zangu zimfikie Mzee John Malecela na familia yake yote wakati huu wa majonzi mazito. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, Amin.
519
452
47
3,664
Jaffar Haniu retweeted
Hongera Wana CCM wenzangu kwa chama chetu kutimiza miaka 45. Chini ya CCM Tanzania imepata mafanikio makubwa kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiutamaduni. Tumedhihirisha kuwa CCM ni chama sahihi kuongoza dola. Tuendelee kusimamia misingi yetu ili kutimiza matarajio ya Watanzania.
875
463
59
3,973
We follow with a lot of excitement the Beijing 2022 Olympics and Paralympic Winter Games. We wish the Government and the People of China best wishes in hosting this world greatest event.
501
345
39
3,964
Nawashukuru nyote kwa salamu za kheri katika siku yangu ya kuzaliwa. Nimeuona upendo wenu, na ahsanteni kwa Dua zenu. Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema na umri. Ninawaahidi kuendelea kufanya kazi kwa juhudi na maarifa katika kuitumikia nchi yetu. Kazi Iendelee.
1,018
519
72
4,296
Kheri ya siku ya kuzaliwa kwa Mheshimiwa Dkt. Salim Ahmed Salim, mtumishi mahiri wa umma wa Watanzania, Afrika na Dunia kwa zaidi ya miongo minne. Katika siku hii adhimu ya kumbukumbu ya miaka 80 ya kuzaliwa kwako, tunakushukuru kwa utumishi uliotukuka kwa nchi yetu.
469
486
28
4,522
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Ikulu Zanzibar. – at Zanzibar South and Central, Tanzania
1
3
132
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar. – at Zanzibar South and Central, Tanzania
2
1
1
63
Salamu za Pole. – at Zanzibar South and Central, Tanzania
Nimeshtushwa na vifo vya Watu 14 wakiwemo Wanahabari 6 vilivyotokea leo asubuhi baada ya gari lililokuwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kugonga na Daladala. Poleni Wafiwa, Wanahabari na jamaa wote. Mungu aziweke mahali pema roho za Marehemu na Majeruhi wapone haraka.
2
4
75
Nimeshtushwa na vifo vya Watu 14 wakiwemo Wanahabari 6 vilivyotokea leo asubuhi baada ya gari lililokuwa katika msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kugonga na Daladala. Poleni Wafiwa, Wanahabari na jamaa wote. Mungu aziweke mahali pema roho za Marehemu na Majeruhi wapone haraka.
793
517
49
4,373