Ibrakimambo (@ibrakimambo) profile picture
Mwanza, Tanzania
Joined January 2016
Asanteni sana #Moshi kwa kujitokeza kwa kimbunga! Twendeni pamoja mpaka tarehe 28 ya mwezi huu. Tukapige kura ya Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Retweet 🔁 kama unaungana na wananchi wa Moshi! #SasaBasi #ChaguaLissu #ChaguaCHADEMA #NiYeye2020 #NguvuYaUmma #TunduLissu2020 – at Kilimanjaro, Tanzania
259
2,413
72
4,869
🤣🤣🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️🤷🏽‍♀️ Kwa kweli nimecheka mpaka natoka machozi.
This Post is from a suspended account. Learn more
76
1,332
9
1,012
Ni kweli viongozi wetu wa Kiroho musiegemee upande wowote
ASKOFU SHOO: VIONGOZI WA DINI KUEGEMEA CHAMA KIMOJA CHA SIASA KUNAWAGAWA WANANCHI > Kiongozi wa Kanisa la KKKT amesema, "Maandiko yanaelekeza namna ya kusimama na kama kuna mahali pa kukemea kutokana na ukiukwaji wowote, fanya bila ubaguzi” Soma jamii.app/ViongoziDiniSiasa #TZ2020
Tuachane na upande wa Rais embu twende kwa wabunge Retweet kwa @halimamdee Like kwa @Bgwajima
161
3,401
26
916
Ibrakimambo retweeted
Ndio maana walikua kimbelembele kwenye kampeni ili wapate huruma ya kodi duh hii nchi hatar sana teapawt.net/YerickoNyerere_/status…
Startv, na nduguze mbwembwe zote zile nyakati za uchaguzi kumbe huwa hawalipi kodi?? Hahahaa wacha waisome namba bwana ccm mbele kwa mbele..
2
3
7
Amini amini nawaambieni CCM Zanzibar, kokoliko mlango wa chuma, ukiufungua hauna huruma!
2
7
6