🌪 (@ithemeddy) header
🌪 (@ithemeddy) profile picture

No noise. Just growth. 🥷💀 #LFC

Dar es salaam
Joined February 2023
Photo by 🌪 (@ithemeddy)Photo by 🌪 (@ithemeddy)
Unatoka Geita Kwenye Dhahabu Unaenda Kariakoo Kuuza Chupi
39
48
4
388
18,411
Watu wengi leo walikua Bize kufatilia matukio ya kanisa katoliki ya kukumbuka wahanga wa Oktoba 29 hadi SERIKALI inaona wivu🙌🙌 Wangekua na uwezo wangelifungia hili kanisa ni kama kuna dola mbili zinachuana ndani ya nchi moja🙌
5
18
138
2,939
Ile video ya kale katoto cheupe (tattoo) mmeiona wakuu 😋 qmmke yule mtoto ana matako malaini kishenzi alafu laini mbili 🙌😃
13
14
125
14,175
Mungu hajawahi kukosea kwenye chochote iwe nyakati mbaya au nzuri
2
6
31
481
🌪 retweeted
Nimechukua simu ya mkopo aina ya infinix Smart 20 nitakayolipa shiling ef moja mia nane kwa miez 9. Nimefurahi sana kutumia simu kubwa 🙏🙏
12
13
1
61
1,749
🌪 retweeted
chochote unakitafuta utakipata kulingana na vile unafikiri, juhudi unazoweka na jinsi unavyoishi na watu.
1
8
34
385
🌪 retweeted
2030 CCM wataua tena raia. ukizoea kula nyama za watu huwezi kuacha.
1
4
16
323
🌪 retweeted
Kuna hali imeniingia sasa hivi natafuta pesa sana alafu naepuka matumizi ya hovyohovyo Mungu anisaidie hii hali ikae na mimi kwa muda mrefu.
1
9
22
405
🌪 retweeted
If you see something you like or plan to buy, just ask for the price 😂
Idc if you’re my friend, if you post your business without a price tag, I am not coming to your inbox and ask for the price!
1
1
45
If you see something you like or plan to buy, just ask for the price 😂
Idc if you’re my friend, if you post your business without a price tag, I am not coming to your inbox and ask for the price!
1
1
45
🌪 retweeted
Uzinduzi wa stadium 🏟 yetu ya Arusha wampe Simbu azindue
2
7
15
371
Uzinduzi wa stadium 🏟 yetu ya Arusha wampe Simbu azindue
2
7
15
371
Ukiona mwanamke anakudanganya sana ujue... — Umekuwa dhaifu mpaka anakuona hamna kitu tena na anaweza kukuambia chochote anachotaka.
3
7
136
Hivi wadada, yaani Mimi nakuletea chipsi kuku unadonoa donoa tu alafu unasema sijisikii kula hivi huwaga mnatuchuliaje..😡
4
12
32
807
Kuna movie naangalia hapa CAUGHT IN THE CYCLE on YouTube mtoto wa maskini mamake mgonjwa kasaidiwa na married couple (ambao wana foundation ya kusaidia wasichana wenye mahitaji) sasa wote wana mnyanyasa kingono yani mke na mume kuna watu wana roho mbaya nyie!!
1
23
1,204
🌪 retweeted
Kama huwezi kumsaidia mtu, angalau usiwe sababu ya kuongezeka kwa maumivu yake.
2
13
1
13
243
Kwa siku kama ya leo kweli mtu unahadaika na propaganda za Mangungu sijui Simba. Aah hii nchi hapana😂🙌
2
6
8
144
Kama unakataa hilo hushindwi kusema hakuna mungu
Hii ya kusema kila kifo ni mpango wa Mungu nitaipinga hadi kesho📌📍
1
3
102
Ni chombo gani cha umeme kinachouzwa bei lahisi alafu kinakula umeme mwingi nataka nimkomoe mwenye nyumba...😣
20
20
2
223
15,983
🌪 retweeted
Elimu ya mtaa... ina uwezo mkubwa wa kumuandaa kijana kujiajiri kuliko vyuo vikuu
5
17
362
Hili jua mtu ukifanya masihara unaweza ukaiva! 🙌😂😂
3
19
20
531