Otek retweeted
Leo nilikua naongea na my lil bro nikimshow apendee kanisa alafu akaniambia nisim-advice, amekula kofi ajab
Otek retweeted
I once dated this gurl who did nothing kwa nyumba. Kazi ni kukaa tu na kukula na kuscroll tik tok. Ata kuoga ilikua ngumu mark you mmeshinda mkikulana the whole weekend.
Otek retweeted
Kwa kina ndoa nayo haitakangi mambo na maombi..,maombi kidogo shetani anakuja na malaika wake saba wanakita kambi kwako bana.
Otek retweeted
My parents wamekua na the same phone number since I was born bana, ni kama hawakua na watu wa kucut off
Otek retweeted
Wasee wa nduthi ushago hawakuangi na pressure, unangojewa umalize shughuli zako akurudishe home ,10/10 service if you ask me馃憣
Otek retweeted
murima burials hunishangaza, those people once you die they're so done with you, unazikwa makaburini kama watu wamerudi mbio shughuli zao. Alafu wao hawalalishi maiti kwa nyumba.

