LoMaYaNi (@johns_bobby) header
LoMaYaNi (@johns_bobby) profile picture

Safari Guide | Experience Planner I turn Africa into your story 🌍 🐾 #GoWithJohnsonSafaris

Arusha, Tanzania
Joined February 2012
Photo by LoMaYaNi (@johns_bobby)Photo by LoMaYaNi (@johns_bobby)Photo by LoMaYaNi (@johns_bobby)Photo by LoMaYaNi (@johns_bobby)Photo by LoMaYaNi (@johns_bobby)Photo by LoMaYaNi (@johns_bobby)Photo by LoMaYaNi (@johns_bobby)Photo by LoMaYaNi (@johns_bobby)
Karibu sana.
.once you're in Arusha, na unataka good services za kwenda "mbugani/porini"... @johns_bobby ni mtu sahihi kwa 💯.
5
24
1
93
12,781
😃😃
Wakazi wa Dar Internet gani nzuri mnatumia? Airtel naona pasua kichwa tu hata Customer Service mbovu.
1
2
236
Mnawezaje
Lupin season 4 🎬🍿
1
1
176
LoMaYaNi retweeted
Men after losing everything.
27
190
5
2,223
52,053
😃😃😃😃 mamaeeee oga kishimbi
Wazee wa punje uelekeo wapi hapa??
97
Matraco ako
This is how accidents happen 🙆🏾‍♂️😭
1
1
151
Hivi bongo tuna sehemu ya kumshtaki mzazi anae mnyanyasa mtoto!?
7
1
1
7
818
A man goes viral after EMS came to his aid.
397
1,931
299
26,616
825,592
Yes may God hit you with that good $3m before 2026 ends. 🙏🏼💲🙏🏼
25
84
1
1,789
21,573
Getto palileta watu Si Pakubeza.. @JohMakini 🎶
2
2
185
Wakipima Tunavunja Kilo @nikkwapili 🎶
2
110
Si gangi njaa nimeacha Kiporo Ndani..
5
190
Usikae Kinyonge Watakuchoresha #JB
150
Sio kimbea mkuuu
Unaingia zako mtandaoni unamkuta mama yako anamtishia Dj 😂😂😂🫴
1
2
116
😂😂😂😂😂 @WashedMawalla mchunge mwanao @HumphyMillz
Me after she tells me her cat just died
1
1
182
Sema ndugu miyayusho sana..
#HABARI Mvutano wa kifamilia umeibuka mtaa wa Murieti, jijini Arusha, kufuatia madai ya kaka wa marehemu Jonathan Wilbroad Silayo, Deo, kuchukua mwili wa marehemu na kuupeleka Ngarinaro bila kuwataarifu mjane pamoja na waombolezaji waliokuwa eneo hilo. Tukio hilo limeibua sintofahamu miongoni mwa ndugu na waombolezaji, huku chanzo cha mgogoro kikielezwa kuhusishwa na kutokuelewana kuhusu fedha za mazishi pamoja na hati ya nyumba ya marehemu. Katika hatua nyingine, Deo anadaiwa kuchukua hati ya nyumba ya marehemu na kuipeleka Rombo, jambo linalozidisha mvutano kati ya wahusika wa familia hiyo wakati wakiendelea kukabiliana na msiba huo. Viongozi wa eneo hilo wamesema suala hilo tayari limefikishwa polisi kwa ajili ya hatua zaidi. Aidha, nyumba ya marehemu imefungwa na mtendaji wa mtaa pamoja na balozi, huku hatua hiyo ikielezwa kuwa ya kusubiri wahusika kurejea na taratibu za kisheria kufuatwa. Wakati huohuo, baba mzazi wa mjane amesema ameamua kumchukua binti yake na kumpeleka sehemu nyingine kwa ajili ya usalama wake, akieleza kuwa hana tena imani na mazingira aliyokuwa akiishi. #EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
123
Kuna yule anko upande wa mama lazima alete mbwembwe sana..
Gari la kifahari aina ya Rolls-Royce Phantom lililotengenezwa kwa oda maalumu ya mfanyabiashara wa Zimbabwe, marehemu Sir Wicknell Chivayo, limeripotiwa kuwasili nyumbani kwake wiki mbili baada ya kuzikwa kwake. Kwa mujibu wa taarifa zilizochapishwa na Briefly News na Humanitarian Post, gari hilo lilifika Oktoba 23, 2026, likiwa limefungwa ndani ya sanduku kubwa la mbao kabla ya kutolewa na kuwekwa katika eneo la makazi ya marehemu. Picha zilizosambazwa zinaonesha gari hilo likitolewa kwenye sanduku hilo, huku likiwa na namba maalumu za usajili zinazosomeka “WICKNELL”, jina ambalo mfanyabiashara huyo alikuwa akilitumia hadharani. Chivayo alifariki Septemba 30, 2026, katika ajali ya helikopta iliyoua pia mke wake, Lucy Muteke, pamoja na watu wengine. Wawili hao walizikwa Oktoba 8, 2026, jijini Harare, Zimbabwe. Hata hivyo, taarifa kuhusu kuwasili kwa gari hilo zimeripotiwa na vyombo hivyo vya habari, na maelezo kuhusu muda wa kuagizwa kwake, gharama yake na uthibitisho rasmi wa umiliki wake hayajawekwa wazi katika taarifa zilizopatikana.
105
Ndo uko road anakuletea hilo chuma nzima nzima…
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 Dereva mmoja ambaye hajatajwa jina amekamatwa akiendesha gari akiwa amelewa. Jambo la kushangaza ni kwamba dereva huyo amesaidia kusoma kiwango cha ulevi alichokutwa nacho baada ya kupimwa. Ulevi ni miongoni mwa sababu zinazoweza kusababisha ajali za barabarani, hivyo madereva wanahimizwa kuepuka kuendesha magari wanapokuwa wamekunywa pombe ili kulinda maisha yao na ya watumiaji wengine wa barabara. #MeaMswahiliUPDATES
4
415