
Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, President’s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid
Tanzania
Joined October 2011
- Tweets45.5K
- Following1.4K
- Followers1.2M
- Likes12.4K
Chap mtu na nusu. Shukrani sana, hili andiko limenipa sana moyo wa kusonga nashukuru mno mno mno. Ubarikiwe na udumu ndugu yangu. One love 💕
BARUA YA WAZI KWA JOKATE MWEGELO 🇹🇿
Dear @jokateM ,
Kuna nyakati ambazo mtu mmoja anapofanikiwa, tunapaswa kusimama kidogo na kusema: “Hii ni yetu.”
Leo ni moja ya nyakati hizo.
Kuwekwa kwako kwenye jalada la UncutXtra la Uingereza Toleo la 23 – Entrepreneurship Edition si tu habari ya wewe kuonekana kwenye cover ya jarida la kimataifa. Ni zaidi ya picha. Ni simulizi ya safari, uthubutu, nidhamu na maono ya mwanamke Mtanzania anayezidi kuvuka mipaka.
Na jambo moja limevutia zaidi “Beyond the Crown.”
Kwa sababu ukweli ni kwamba, Jokate, safari yako haiwezi kufupishwa kwenye taji la ulimbwende ulilowahi kuvaa.
Taji lilikuwa mwanzo tu.
Kilichokuja baada yake ni ujasiriamali, uongozi, ubunifu, utumishi wa umma, kujenga taasisi, kuhamasisha vijana na kuendelea kujitengenezea nafasi katika maeneo ambayo wengi hawakutarajia.
Na sasa jina lako limewekwa pamoja na majina makubwa yaliyowahi kuangaziwa na UncutXtra.
Hii ni hatua kubwa.
Lakini zaidi ya yote, ni ukumbusho kwamba Tanzania ina watu wenye uwezo wa kubeba simulizi yetu mpaka kwenye majukwaa makubwa ya dunia.
Jokate, tunakupa maua yako kabla ya siku moja isiyo na jina ukatangulia. 💐
Si kwa sababu kila kitu kwenye safari yako kilikuwa rahisi, bali kwa sababu uliendelea kusonga.
Kutoka kwenye ulimwengu wa urembo, ukaingia kwenye biashara, ukaingia kwenye uongozi, ukagusa utumishi wa umma, na leo unaendelea kujenga simulizi ambayo kizazi kijacho kitaweza kuitazama na kusema:
“Inawezekana.”
Hongera sana Jokate Urban Mwegelo.
Kutokea kwako kwenye jarida hili kwa namna fulani, imebeba pia bendera ya Tanzania. 🇹🇿
Endelea kuthubutu.
Endelea kuvuka mipaka.
Na zaidi ya yote, endelea kutukumbusha kwamba taji la ulimbwende linaweza kuwa mwanzo wa safari, lakini kinachomfanya mtu akumbukwe ni kile anachofanya baada ya kulivaa.
Congratulations, Jokate. Beyond the Crown indeed. ❤️🇹🇿
Naitwa Chapo255
THE WALKING MEDIA
We outchea 🥰
Meet the latest Cover Star of the UncutXtra Magazine @jokateM
In this edition, Jokate takes us beyond the cover and into her story, her journey, evolution, challenges and triumphs.
And there’s a documentary coming soon. Wow!
Well done to the CEO: @emmadex
Get your copy of the magazine:
uncutxtramagazines.com
#UncutXtraXJokateUrbanMwegelo
#UncutXtraXJokateXLucBelaire
My name is JOKATE URBAN MWEGELO and I am the latest Cover Star of the 23rd edition of the @uncutxtramag🔥
In this edition, I had an interesting conversation about my life, career, my upcoming projects and the lessons that have helped me become the woman I am today.
It doesn’t end with the pages. A full documentary capturing my story was also created, and trust me, you’ll want to see this one. Coming soon on the UncutXtra YouTube channel.
Click the link in @uncutxtramag’s bio or send a DM to @uncutxtramag to purchase your copy.
#UncutXtra #UncutxtraXJokateMwegelo #Entrepreneurialedition #Tanzania #JokatUrbanMwegelo #explore #EastAfrica #latestcoverstar
S/O to the entire production team for flying all the way to Tanzania from the United Kingdom and Nigeria for this interview and shoot.
I truly appreciate the effort, professionalism, honor and love!!!!
Long Live Africa ❤️
JUM.
@uncutxtramag
#UncutXtra #UncutXtraXJokateMwegelo #EntrepreneurialEdition #Tanzania #JokateUrbanMwegelo #EastAfrica #LatestCoverStar #Explore
I am incredibly pleased to be the latest cover star of the 23rd edition of UncutXtra Magazine, a UK-based publication. Aptly themed The Entrepreneurial Edition, this issue celebrates vision, resilience, impact, growth, and the woman behind the journey.
This cover is more than a photograph. It is a celebration of vision, resilience, impact, growth, and the woman behind the journey.
Inside the magazine, I open up in a deeply personal and revealing interview about my life, family, career, challenges, evolution, and the lessons that have shaped me into the woman I am today.
The story does not end on the pages. A full documentary capturing my life and journey was also created. Trust me, you will want to see this one. Coming soon to the UncutXtra YouTube channel.
This edition offers an intimate and thought-provoking exploration of what it truly means to build, lead, evolve, and leave a meaningful mark in today’s world.
This is not an edition you simply flip through. It is one you experience
@uncutxtramag
#UncutXtra #UncutXtraXJokateMwegelo #EntrepreneurialEdition #Tanzania #JokateUrbanMwegelo #EastAfrica #LatestCoverStar #Explore
Still overwhelmed with love 🥰🤍
Asanteni sana ndugu, jamaa na marafiki kwa kunifunika kwa salamu za kheri, dua na upendo mwingi katika siku yangu ya kuzaliwa.
Nilijitahidi kwa kadri nilivyoweza kuwajibu wote kwa wakati, na kama kuna yeyote sikumfikia tafadhali fahamu kuwa ninathamini sana ujumbe wako.
Upendo wenu ni zawadi kubwa kwangu.
Mungu awabariki sana 🙏🏽✨
Happy Birthday to me 🥰🤍
Today I celebrate life.
I celebrate purpose.
I celebrate the woman I am becoming.
Asante sana Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, kwa kunilinda, kuniongoza na kunipa nguvu ya kuendelea kuota ndoto kubwa.
Kila mwaka ni ushahidi kwamba bado nina mengi ya kufanya, mengi ya kujifunza na mengi ya kugusa katika maisha ya wengine.
This year I choose courage.
I choose impact.
I choose to shine even brighter.
The journey continues… and the best is yet to come. 🥂✨
#BirthdayMood #GratefulHeart #NewBeginnings #PurposeDriven #Blessed
Madam President Dkt. Samia Suluhu Hassan, kesho asubuhi na mapema nitakwenda kituo cha kupiga kura na niseme hapa una KURA yangu ya NDIO.
Nawaomba ndugu zangu tukampe kura za heshima na za kishindo aweze kitutumikia kwa miaka mi5 mingine.
💚💚💚✅✅✅
Kipekee niwapongeze kwa uamuzi wa kuita hili darasa lenu SAMIA MASTER CLASS hakika jina hili linaakisi uhalisia kuwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa Darasa Huru na la Kibobezi hasa kwetu sisi wapambanaji ambao hatukati tamaa na katika hali zote tunafanya jambo kwa ajili ya kuleta matokeo chanya kwa jamii yetu. Jina la darasa lenu hili limeonesha dhahiri namna mnavyojipambanua kupitia Chama Cha Ma-salunist na Ma-Make Up Artist kama wapambanaji wazuri wa maisha yenu na jamii yetu ya Tanzania.
Ushindi wa Dr. Samia Oktoba 29, 2025 unaenda kuuthibitishia Ulimwengu nguvu ya Mwanamke katika kusimamia Ndoto zake. Asanteni sana kwa kuahidi kumuunga mkono na ahadi ya kumpa Ushindi wa Kishindo kutoka katika kundi hili muhimu sana. #NguvuyaMwanamke #OktobaTunatiki ✅
Vijana wa tawi la KIUT waliitika hasa 💚
Huu ni mkutano mkuu wa Tawi la UVCCM Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, hapa sio Wilaya wala Mkoa ni Tawi tu tena la Chuo Kikuu hilo ndio nyomi lake, ambapo SG @jokateM alikua mgeni rasmi.
Sasa naelewa kwa nini wale Jamaa wanahubiri kutokuingiza timu uwanjani🙌🙌

















