Pinned Tweet
Midomo inaumba tunatakiwa kujisemea Mema kila siku.
1. MIMI ni Mshindi All the time.
2. Leo ni Siku Yangu ya Mafanikio.
3. Leo ni Siku ya Kupata Cha jana na Leo.
4. Mungu ni Wetu Sote.
5. Mungu Atupe Mafanikio.
6. Mungu atuepushe na Husda.
7. Mungu atupe Watu wema.
Hatuna Budi Kusema Ameeeen..✊.
KAPETO🇹🇿 retweeted
Je, ni hatua zipi za kuchukua mtu anapopitia na Ukatili wa Kijinsia?
Mkuu wa Dawati la Jinsia Mkoa wa Iringa, ASP Elizabeth Swai, alifafanua hatua muhimu za kuchukua alipokuwa akizungumza katika jukwaa la #ElimikaWikiendi, kwenye mjadala wa Ukatili wa Kijinsia kwenye ndoa na mahusiano na athari zake.
🎥 Sikiliza mjadala kamili kupitia YouTube channel
🔗 tinyurl.com/3kxzn3s7
#ZuiaUkatili #MahusianoSalama #EndGBV
KAPETO🇹🇿 retweeted
The countdown is on.
Are you ready for #JukwaalaUziduaji2026
Join stakeholders in Tanzania for conversations on transparency, accountability, and responsible investments in Tanzania’s extractive sector.
📅 12–13 November 2026
📍 Dodoma, Tanzania.
#HakiRasilimali
KAPETO🇹🇿 retweeted
Good morning hustlers
Shuka 1, foronya 2-25k
Shuka 2, foronya 2 -50k
📌Shuka ni mtumba from UK, Pure cotton💥
0755693113
📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma
Good morning wakubwa...Dinnerset ya mambele🔥🔥
📌Sahani kubwa 4
📌Sahani ndogo 4
📌 Bakuli 4
📌Vikombe 4
Tsh 85,000
0755693113
📍 Riverside, Mikoa yote tunatuma
📌Kulipa kidogo kidogo✅
@Sativa255
Kuamka asubuhi ukiwa hai na mwenye afya ni baraka kubwa na nafasi nyingine ambayo Mungu amekupa ya kupambania maisha yako.
Jana unaweza kuwa ulishindwa, ulikatishwa tamaa au mambo hayakwenda ulivyotarajia, lakini leo umepewa nafasi ya kujaribu tena.
Usiichukulie siku mpya kama jambo la kawaida. Kuna ndoto bado zinakusubiri, malengo ya kuyafikia na maisha ya kuyabadilisha.
Amka, mshukuru Mungu, pambana na usikate tamaa. Kila asubuhi ni mwanzo mpya. – at Dar es Salaam, Tanzania
Wakuu kuna eneo linauzwa. – at Dar es Salaam, Tanzania
Nauza kiwanja changu kina nyumba ya room mbili haijaisha, kina 20 kwa 17. Bei million 17 mazungumzo yapo kidogo,
Kipo Baraa, Sorenyi - Arusha Mjini.
WhatsApp: wa.me/+255623322998
Wakuu leo Mchana wa Saa Sita mliokuwa nje imekuwaje.
Nilitoka Nataka niende Kariakoo Nikaenda mpaka stand nikaangalia juu nikaona Jua linawaka kinoma nikasema kwani Nimemfanya nini Mungu..?
Nikaamua kirudi Nitaenda Asubuhi Kesho mapema. – at Dar es Salaam, Tanzania
KAPETO🇹🇿 retweeted
The second day of the #IGAD Media and Influencer Training in Nairobi, Kenya, focused on the role of media and digital creators in promoting food systems resilience.
Participants discussed how to share accurate information, verify facts, use reliable sources and create content that informs the public and encourages accountability. They also worked in groups to develop content around soil health and climate advisory services.
By equipping journalists and influencers with the right skills and knowledge, IGAD is strengthening communication efforts to support more resilient food systems across the region.
#RisingWithIGAD #OneRegionOneFuture
Mimi nashauri mtu wa mkoani kusoma Dar.
Kijana kusoma chuo Dar es Salaam si kupata elimu ya darasani pekee, bali pia ni fursa ya kujenga mtandao wa watu (networking), kujifunza biashara, teknolojia, kujitegemea na kuona fursa mbalimbali za maisha.
Dar ni darasa jingine nje ya chuo. Ukilitumia vizuri, unaweza kuhitimu ukiwa na cheti, uzoefu, marafiki sahihi na mwelekeo wa maisha.
Soma chuo, lakini usisahau kusoma mazingira yanayokuzunguka. – at Dar es Salaam, Tanzania
Mimi nashauri mtu wa mkoani kusoma Dar.
Kijana kusoma chuo Dar es Salaam si kupata elimu ya darasani pekee, bali pia ni fursa ya kujenga mtandao wa watu (networking), kujifunza biashara, teknolojia, kujitegemea na kuona fursa mbalimbali za maisha.
Dar ni darasa jingine nje ya chuo. Ukilitumia vizuri, unaweza kuhitimu ukiwa na cheti, uzoefu, marafiki sahihi na mwelekeo wa maisha.
Soma chuo, lakini usisahau kusoma mazingira yanayokuzunguka. – at Dar es Salaam, Tanzania
Hii ndio Biashara Vijana wa Sasa wanatakiwa kufanya.
BIASHARA YA KUUZA INTANET.
Hii ni Biashara ambayo unaweza kufanya eneo lenye watu wengi..
Sokoni, Stendi, Chuoni, Uswahilini, Na kwingineko
1. unaweka mtandao (internet) kutoka kwa ISP yoyote nyumbani/ofcn/unapofanyia kazi popote upendapo wewe
2. Unaweka kifaa cha kusambaza Wi-Fi(router/AP).
3. Unaweka mfumo wa hotspot ambapo mtu akitaka kuunganishwa lazima aingize voucher/password.
4. Unauza hizo voucher kwa watu.
Kwa hiyo unakuwa ni kama unauza vifurushi vya data. Hii ni nzuri kwa maeneo yenye watu wengi stend/ vyuo / unaeza hata kuwaekea wapangaji wako pamoja na majirani
Unaweza kuwasiliana nami kupitia WhatsApp kwa maelezo zaidi...
Bonyeza hapa
wa.me/255623322998
Kuanza mtaji wa 1M+



















