EK (@kevarist) profile picture

Striving to make a positive impact 🌍✌️

East Africa
Joined January 2010
Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)Photo by EK (@kevarist)
Nani anajua kwanini bado #TCRA wameifungia Telegram app?
78
If you make your business about helping others, you’ll always have plenty of work. Give people what they really want, not just what YOU think they should have. Create value.
47
Umbali ule boda alikuwa anachaji 1,000 leo ni 2,000. Hii kiti kila mtu ataisikia. Mabosi wangeruhusu watu wafanye kazi majumbani kama wakati wa Covid.
81
Kama una hela, nunua chakula weka ndani. Wiki ijayo hii kitu itapiga sana hio angle.
1
45
Happy birthday baba G @MarekaMalili. Uishi sana 👋
1
26
The world is no longer as kind or forgiving as it once seemed. Predators are everywhere.
11
Siku hizi addictions (bangi, pombe, porn) zinaanza kwa watoto kuanzia miaka 9 badala ya 16 kama ulivyokuwa huko nyuma. Havipatikani gizani kama zamani. Viko kwenye simu/mtaani kweupe.
22
😂😂😂
- Open an account in Netanyahu’s name and insult me.
22
Aseeeww 😩
Cameroonian opposition leader Anicet Ekane died in detention today (Dec. 1, 2025). Arrested in October for protesting the sham reelection of Paul Biya—yes, the same Biya who has been clinging to power since 1982. One can only hope his spirit follows the septuagenarian strongman all the way to his swanky European hotel where he mostly lives, haunting every gilded corridor.
39
Be honest, which footballer made you fall in love with football?
23
We’re canceling madenge while bado tuna-follow accounts za major enablers (Simba, Yanga, Wasanii etc). Tuwe fair
19
Mpaka sasa aliyeleta hii agenda amefanikiwa kutujamisha kwenye agenda kuu. Sasa hivi tunachomana mikuki wenyewe kwa wenyewe. Wahusika wamejifungia wanagonga glass.
20
Kama una vipesa mahali, tumia vizuri na uweke akiba. Tunaenda mahali kugumu sana.
11
One of the darkest chapters. Hatutasahau.
1
133
Ule msemo kwamba utajiri unaodumu vizazi unaanza na jizi moja kubwa inawezekana ni kweli 😩
53
Unapogusa suala la kufakari mantiki ya muujiza…unagusa foundation ya imani/dini zetu. Unaweza kuelezea haya?👇 -Bikra atachukua mimba -Mtu atatembea juu ya bahari -Kulisha 15k kwa samaki 2, chapati 3 -Kufufua mtu aliyeanza kuoza kwa siku 4 -Bahari kupasuka kati watu wavuke -n.k?
1
1
386
Yesu alianza kazi rasmi akiwa na miaka 30-33. Alikuwa kijana mdogo sana. Miujiza aliyofanya ni migumu kuipima au kuelezeka kwa mizania ya dunia ya sasa. Wapo WALIOCHAGUA kumuamini. Wasomi wengi na washika dini sana waligoma. So kuamini miujiza ni suala la utashi, sio akili tu.
39
Watu hawaamini tena katika miujiza. Ina maana hamuamini tena katika Mungu unayeenda kumuabudu katika nyumba yako ya ibada. Jambo la ajabu unamuomba ambaye HUJAWAHI KUMUONA kwa macho au KUMSIKIA. We nawe tukuweke kwenye kundi la punguani.
4
1
547
Dini zote zimejengwa katika misingi ya vitu visivyothobitika kwa misingi ya sayansi au logic. Ikiwemo dhana ya uwepo wa Mungu. Kulazimisha matendo ya miujiza yawe na mamtiki ni kujitoa akili. Muijiza tafsiri yake ni matendo yanavuka viwango vya sheria za asili/uumbaji.
32