ˢᵗᵃʳ ᵇʷᵒʸ🗽🇰🇪 retweeted
Ningekua na watoto sijui wangekula nini leo sapa ju mimi ningekula mama yao😂😂💔
ˢᵗᵃʳ ᵇʷᵒʸ🗽🇰🇪 retweeted
Unaenda kwenye hustle zako za kila siku unarudi unapata loy'alls wako wamekutoroka
ˢᵗᵃʳ ᵇʷᵒʸ🗽🇰🇪 retweeted
wacha sasa nifungue twitter hawa mamorio hapa kwa mat wajue mimi ni intelligent 😅
ˢᵗᵃʳ ᵇʷᵒʸ🗽🇰🇪 retweeted
Nashangaa mbona sioni status zenu kumbe hamjaniweka kwa close friends 😂ni kama am fake

















