alluring Avocado retweeted
Naamka napata kuna msee ako kwa floor in a critical condition kumbe ni mwizi alijaribu kunipora akapatana na morning borner kwa mlango ikamdunga kwa oesophagus
alluring Avocado retweeted
Leo my workmate ametupeleka the chuomest chuom, and a customer asked kama kuna matumbo
And the mama asked 'matumbo ya nini'😭
Barcola aliokota milayas hapo Paris wakaenda na yeye hapo designer shop, naskia huyo dem aliokota clothes worth €40,000 in just 15 minutes.
Hio ni kama 5.7M, time wameenda kulipa Barcola akamshow amesahau wallet kwa gari acha aikimbilie ndio arudi alipe.
Venye tu alitoka njee, akaingia kwa his Lamborghini Urus Mansory, na hivyo ndio jamaa alihepa, akapanda ndege akarudi England kutandika United.
alluring Avocado retweeted
Pushed all my exam studying for the week to Sunday, and now Sunday has arrived:



















